usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania TANESCO Kinondoni yatoa ratiba ya matengenezo ya miundombinu ya umeme

    TANESCO imetoa ratiba ya matengenezo ya miundombinu ya umeme kwa Wilaya mbalimbali. PIA SOMA: TANESCO yatangaza rasmi mgao wa umeme nchi nzima (28/01/2022)
  2. JamiiForums Tanzania Unapiga 'gym' na usiku unakojoa kwenye kopo kitaalamu hii tunaitaje?

    Salama, upo au ndio ivo tena umeme huu bora kibatari. Sasa ni hivi kama ilivyo nadra kwa kanali kuogopa kinyonga, una kitambi unaogopa mende, una Nissan Murano, range halafu umepanga kirahisi tu hakuna usawa hapa kama si mizimu basi bombonya fulani by default. Kijana gym sana, kifua kikubwa...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Barabara za Jiji la Mwanza zakosa huduma za taa za usiku

    Nimepata bahati ya kuingia katika Jiji la Mwanza usiku wa Jana kiukweli mji ni mzuri Sana Cha kunishangaza nimepokelewa na Giza Totoro Sasa najiuliza hivi mamlaka husika hazioni hili tatizo? Nimeongea na wenyeji wangu wadai wamezoea Giza maana Kama taa zote zinatumia mfumo wa umeme jua kwanini...
  4. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi avunja ukimya kwa kuelezea kuhusu covid-19 na umuhimu wa kuchanja

    Amepost tweet hii dakika chache zilizopita, je huo ukimya ni nini? Tusubiri saa 1:00 usiku ==== Update, Joseph Mbilinyi (Sugu) avunja ukimya kwa kuongelea Covid-19 Aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu amejitokeza na kuvunja ukimya kwa kufafanua madhara ya ugonjwa wa...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini Masoko yanaungua usiku tu?

    Taarifa nilizonazo ni kwamba Masoko yote haya yanayowaka huwa yanaungua Usiku tu, wala hatujawahi kusikia kuna mahali moto umewaka mchana ukazimwa kwa vile watu hawakulala. Kama kweli moto huu unatokana na ajali tu ama shoti za umeme, ni kwanini shoti au ajali hizo za akina mama lishe zitokee...
  6. JamiiForums Tanzania Sitausahau usiku huu safari yangu ya kutoka Arusha kwenda Moshi

    Mwishoni mwa mwaka 2018 nilikuwa natokea Arusha kwenda Moshi ilikuwa ni usiku kama saa nne hivi kutokana na changamoto ya magari (coaster) pale stand ilibidi nipande hadi mianzini pale kucheki kama naweza kupata usafiri. Nikiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Ubunge unalipa: Gwajima alishindwa kujenga Kanisa kwa miaka 20, kapata Ubunge juzi tu, Kanisa linajengwa usiku na mchana

    Kama kuna watu wavumilivu ni waumini wa Gwajima, waliabudu kwenye full suit ya mabati pale Ubungo, wakapigwa jua Tanganyika Pakers Kawe, wakarudi kwenye magofu Ubungo. Baada ya ubunge kanisa lake linajengwa kwa kasi usiku na mchana tena ni ghorofa, kweli ubunge unalipa.
  8. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kulihutubia taifa Desemba 31, Watanzania tuwe tayari kumsikiliza

    Tarehe 31 Disemba,2021 saa kumi na mbili jioni Mheshimiwa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa kulihutubia Taifa- kufunga mwaka 2021 kuzungumzia mipango na mikakati ya kuingia mwaka 2022.
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan kulihutubia taifa leo Desemba 31, 2021

    Haya leo baada ya hotuba nzito na makini kutoka kwa Genius Tundu Lissu hatimaye tutakua na kipoozeo kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Naamini itakua hotuba ya kufukia mashimo baada ya ile ya mheshimiwa wa ubelgiji. Stay tuned.
  10. JamiiForums Tanzania Kero: Baa ya La Patrona, Nkuhungu - Dodoma, inapiga muziki usiku kucha

    Kuna hii baa ya La Patrona, karibu na kanisa la Katoliki, Nkuhungu, Dodoma. Iko vizuri kimazingira ila inatupa kero wakazi wa jirani. Inapiga mziki mnene kila siku kuanzia mida ya saa nne hivi hadi saa kumi hivi usiku, tena yupo na DJ anapiga kelele mno. Kuna uzi uliletwa siku chache zilizopita...
  11. JamiiForums Tanzania Wanawake mjitahidi sana pale mnapotofoutiana na wanaume zenu huko kwenye ndoa msikutane na sisi wanaume

    Hii kitu ni mbaya sana kwa wanawake, kwa ufupi nimegundua ndoa nyingi zina mifarakano mikubwa na wenza wengi wanaishi ili siku zisonge tu. Hisia na kujaliana kwa wenza wengi hakupo tena, wanaume wengi pia hawajali kuhusu kujua ratiba za wake zao zipo vipi. Mwisho kabisa niwaase wana ndoa kama...
  12. JamiiForums Tanzania CCM Mara: Bulembo aliiuza Shule ya wazazi Isango saa 2 usiku kwa milioni 70

    Wakati mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Wazazi ukiendelea, alisimama Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara, Mrida Marocha aliyemtaja Abdallah Bulembo kuwa yeye na kundi lake walishiriki kuiuza Sekondari ya Isango. Alisema walifanya hivyo saa mbili usiku kwa bei ya Sh70 milioni. Marocha alisema shule...
  13. JamiiForums Tanzania KERO TAZARA (Mfugale FLYOVER) kutofatwa sheria na utaratibu wa barabarani hasa wakati wa usiku imekuwa donda sugu

    Wanajamvi salaam, kwa kipindi nmekuwa mtumiaji wa barabara ya nyerere road inayopita Tazara hasa pale flyover ,wakati wa usiku kumekuwa na changamoto kubwa ya kutofata utaratibu wa sheria barabarani pale kwenye Junction ya kutokea airpot, taifa , au mjini na yale magar yanayotoka buguruni kila...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Usiku wa kisamvu cha kopo

    Wakuu naomba muongozo, nimekuta haya matangazo kadhaa mitandaoni yakiongozwa na bidada Al-maaruf Mariam Biriani yene jina la USIKU WA KISAMVU CHA KOPO. Kwa kweli hilo jina na hizo picha za matangazo zimenisisimua kidogo. Kuna nini huko naomba kujua, kama nini nijiandae tu
  15. JamiiForums Tanzania Mtoto wa shangazi ana kiburi kwenye kufata sheria zangu nyumbani kwangu, nitatue vipi?

    Nyumbani kwangu ikifika wakati wa chakula cha usiku (dinner) ni lazima tule pamoja kwenye chumba kimoja, Sasa kuna mtoto wa shangazi ni kama miaka 20 hivi hapendi kufata sheria ya mda wa dinner. Sheria ya muda wa mlo wa usiku ni kwamba simu hazitakiwi kutumika, simu inabidi ziachww vyumbani...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ihefu FC hiyo Gari ya GSM tokea Jana Usiku hadi Mchana huu inazurula hapo Kambini Kwenu kufanya nini? Ole wenu mfungwe na Yanga GSM SC leo!!

    Kocha Zubery Katwila Wewe ni Mwanangu kabisa tena tokea tukiwa tunacheza pamoja Soka pale Magunia Msasani ( japo baadae ukaniacha na kuendelea Kucheza Soka la Ushindani ) na akina Marehemu Ally Yusuf Tigana, Msela Monja Liseki Mawe na Fundi Gwakisa Mwandambo ( aishiye Mji Mpya Kawe ) na nakujua...
  17. JamiiForums Tanzania North Korea Night life/Maisha ya Usiku Korea Kaskazini Msidhani kuna Misambwanda

    Ni maisha fulan amizing . Tumeaminishwa Mengi yasiyo sahihi Nimepita maeneo wanayosema hatari kwa mweusi nikiwa Mwenyewe bila escort, nimefanikiwa kupiga piga vi video kidogo japo kwa kujiiba sana 1. Pombe wanakunywa kawaida na wana Uhuru kwa hilo wanaopiga Maji hawabughudhiwi, Bar ziko open...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania kupokea zaidi ya wawekezaji 300 kutoka nchini Misri

    Serikali ya Tanzania tarehe 04/12/2021 inatarajia kupokea zaidi ya wawekezaji 300 kutoka nchini Misri ambao watawekeza nchini katika sekta za Usafirishaji, ujenzi, uzalishaji wa bidhaa za petroli, kilimo, kemikali, ujenzi na madawa. Haya yote ni matokeo ya Diplomasia ya Uchumi ya Tanzania chini...
  19. JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole kuongea Star Tv saa 3:30 usiku

    Nimealikwa na Star ⭐️ TV nimekubali kwa sharti moja kwamba Mjadala ujikite katika kujenga na kuweka mbele Maslahi Mapana ya Nchi yetu! NB: Ukitaka kujua NB ya leo fuatilia Star ⭐️ TV saa 3:30 Usiku na tutakuwa hewani pia! Mjuze na mwingine! https://t.co/HOoJjoCh4K
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini ninachelewa kusinzia nikisikiliza hiizi nyimbo? Nipo peke yangu

    Kuna playlist yangu nikijiroga kuiweka huwa kulala ni saa tisa kama muda huu niliopost Huenda kuna wanasaikolojia hhumu waniambie chanzo Saa 2 kasoro iabidi niwe kazini, hapa kuamka saa 1 kasoro 2 berry - Na Wewe Tu Mike tee - Sintobadilika JI - Kidato Kimoja MB Dogg - Natamani Mr Paul -...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…