usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Kwa wanawake; uko huru kutembea peke yako mtaani wakati wa mchana au usiku?

    Wakuu, Kila mtu anapenda akitoka kwenda mahali fulani ajisikie salama na awe huru kutoka sehemu moja au nyingine bila bugudha yoyote. Hii ni changamoto kidogo kwa wasichana/wanawake wanapotoka kwenda sehemu mbalimbali iwe ni kwaajili ya kutafuta riziki au mtoko wa sherehe, huku wakati wa usiku...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awataka majaji, viongozi kuwa waadilifu ili Zuhura asiwahusu saa nane usiku

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewataka majaji wapya aliyowateua hivi karibuni na viongozi wengine wa kiserekali kisha kuwaapisha leo kufanya kazi kwa uadilifu, weledi na uaminifu. Rais Samia ametoa kauli hiyo leo Ikulu jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwaapisha majaji wapya wa...
  3. JamiiForums Tanzania Naanza kuamini Bundi kulia usiku Mahali palipo na mgonjwa ni ishara mbaya

    Ni wiki 2 mfululizo maeneo nayoishi kuna jamaa alimleta mkewe kwao ambaye alitoka kujifungua mtoto wa kike. Ndani ya hizo wiki mbili katoto hako kachanga hakakua na afya nzuri usiku kalikua kanalia sana. Cha kushangaza Kanapolia au anamaliza tu bundi naye akawa analia sana hasa mida ya kuanzia...
  4. JamiiForums Tanzania Kumbe ni mchawi amechukua nguvu zangu za kiume kuendeshea ungo usiku...

    Kuna mwamba hapa amekamatwa, ni mchawi Anasema kuwa yeye hutumia mguu WA kiume kuendeshea ndege yake ya usiku ya ungo kwenda kuwanga Dah ila wanaume jamaan poleni Sana Mnalia Lia hamna nguvu za kiume kumbe mchawi anazitumia kuendeshea ndege yake usiku kama usukani, kusafiri kwenda ulaya So...
  5. JamiiForums Tanzania Simuungi tena mkono Rais Samia kwa haya yanayoendelea na kadhia ya Mafuta

    Nimekuwa nikimtetea Sana Rais Samia kwenye mambo mbalimbali. Hata kwenye issue ya DP world nilikuwa naona wanamuonea, nimesimama Daima kuona alifanya uamuzi sahihi Kwa hakika alikuwa na Kura yangu ya kumsogeza mpaka 2030, lakini leo rasmi natangaza simuungi mkono tena na nimeona udhaifu wake...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki katika Usiku wa Samia na Kizimkazi - Paje

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki usiku wa Samia na Kizimkazi - Paje tarehe 30 Agosti, 2023 visiwani Zanzibar. https://www.youtube.com/watch?v=CU8Y0ALcmVw Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiangalia vikundi mbalimbali vya Sanaa...
  7. JamiiForums Tanzania Moscow hakulaliki, drones za Ukraine zimeshambulia majengo usiku

    Supapawa anaendelea kupokea mapigo.... The Russian capital was once again attacked by drones on the night of 21-22 August, with a high-rise building and cars damaged in the city of Krasnogorsk, Moscow Oblast. Russian news agency Astra on Telegram; Russian Telegram channel Baza; Russian...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Usilolijua ni kama usiku wa Giza, mdau huyu kapotoka tumsamehe

    Kuna Uzi umepandishwa na mdau wa kuitwa Sexless wenye kichwa kinachosomeka Watanzania wanafiki sana. Tazama sasa wamewatelekeza Mwabukusi na Dkt. Slaa. Kinachonisikitisha juu ya mdau huyu na Uzi wake ni kuwalaumu watanzania na kwa kupima uzito wa lawama zake anawalalamikia watanzania wote kwa...
  9. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mabomu ya machozi yanarindima Magu mjini

    Habarini wanajamvi, Leo kuna gari Moja ndogo ya abiria (hiace)imegonga watoto wawili wa shule na kuwaua karibu na sheli moja hivi. Sasa kuanzia asubuhi wananzengo wamefunga Barabara zote kuu hasa Ile ya Mwanza-Musoma. Gari linalolazimisha kupita linapigwa mawe balaa. Magari mengi yashaharibiwa...
  10. JamiiForums Tanzania DOKEZO Kwa mara nyingine tena Kituo cha Daladala Mwisho Mbezi Luis hakuna mwanga, taa zimezima usiku

    Kama kawaida Kituo cha Mbezi Luis maarufu kwa jina la Mbezi Mwisho, leo tena Agosti 11, 2023 hakuna mwanga, giza limetawala na kusababisha usumbufu mkubwa wa watumiaji. Hii sio mara ya kwanza wala ya pili kwa hali hii kutolea katika Kituo hiki kilichopo karibu na Stendi Kuu ya Mabasi ya...
  11. JamiiForums Tanzania Mwenge, Dar: Mapambano ya Polisi na Wamachinga. Mabomu ya machozi yatembezwa

    Polisi wanapiga mabomu ya machozi muda huu hapa Mwenge. Wanapambana na Wamachinga ambao wanajihami kwa mawe. Chanzo cha vurugu ni kwamba wamachinga wanagoma kuondoka maeneo waliyoamuriwa kutoka na kwenda kwenye eneo walilopangiwa katika barabara ya kwenda Cocacola. Nguvu kubwa inatumika...
  12. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu na wengine sita wakamatwa usiku wa manane wakihisiwa kujifunza ugaidi na hatujui waliko hadi sasa

    Habari ndugu wana JF, Jamani hii nchi kamatakamata haijaisha. Nina kaka yangu ambae ni wa kwanza kuzaliwa, miaka 31 amekamatwa usiku wa manane yapata wiki mbili sasa na watu tunaowahisi ni Usalama wa Taifa. Walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani. Walikuwa na bunduki...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Mke aiba namba za siri za mumewe na kujitumia pesa kila mwezi na kujinunulia vocha kila siku. Nimemwambia amwache usiku huu huu

    Baada ya kuinasa amekuwa akijirushia 5,000-10,000 mara mbili kila mwezi na muda wa maongezi wa tshs 1,000-2,000 kila siku. Mume anataka amuache sasa hivi na mimba yake akilalamika kuwa ni mwizi na asiye na shukrani kwani amekuwa akimtunzia ndugu zake na mtoto aliyemkuta kwa miaka mingi tu huku...
  14. JamiiForums Tanzania Nilichokiona Usiku ule

    Hi ni kwa wale wanao amini busara nyeusi zipo. Soma Kama stori ila usipuuze. Kama una tabia ya kula vinavyosalia kuamkia siku nyingine iwe kwako au kokote kule "ACHA". Hasa ukiwa huna nguvu ya ziada kaushaga tu. Nilichokiona usiku kwa siku tofauti ndio kinanisukuma kukuambia haya. TUKIO...
  15. JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwalimu wa Shule ya Loleza Girls afunga Bweni na kuwalaza Darasani Wanafunzi

    Katika hali isiyo ya kawaida wanafunzi wa Kidato cha sita katika Shule ya Sekondari ya wasichana Loleza (Kombi ya HGL) usiku wa kuamkia Julai 11, 2023 walilazimika kulala darasani ikidaiwa kuwa ni baada ya mwalimu wa bwenini kuondoka na funguo za bwenini kwao. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera...
  16. JamiiForums Tanzania Usiku kama mchana tu, mnaopiga kazi usiku kulijenga taifa pokeeni maua yenu

    Wale ambao usiku hatulali kama popo ambao kwetu usiku ni kama mchana tu tujuane hapa, Mimi napiga mishe zangu usiku yaani full kuingiza maokoto, wakati wengine wamelala mie napiga mzigo huku naperuzi zangu Jamiiforums inipe kampani. Njoo tupige stori kuusindikiza usiku wetu
  17. JamiiForums Tanzania Anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukutwa na mwanafunzi chumbani kwake saa tano usiku

    Kijana David Ruya mkazi wa Tunduru Mjini – Ruvuma anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukutwa na mwanafunzi chumbani kwake saa tano usiku. Baada ya kukamatwa mwanafunzi huyo mwenye umri wa miaka 12 alikana kuingiliwa kimwili na mtuhumiwa huyo, lakini baada ya vipimo ilibainika kuwa walisema...
  18. JamiiForums Tanzania Diva 'divatheebawse' amekimbia kwa mume wake usiku huu na ameamua kuwaaga fans wake. Wakubwa wenzangu huyu tumshauri au tumwache?

    Bandiko liko Instagram
  19. JamiiForums Tanzania NEMC mko wapi wakati Mwamposa anatupigia kelele usiku kucha?

    Usiku wa kuamkia tarehe Julai 8, 2023 mpaka muda naandika hii thread Mwamposa anafoka tu kutokea pale Kawe anapofanya maujinga yake. Ni wazi NEMC haina meno kwa kuwa inaweza kuzifungia baa tu za Kitambaa Cheupe au Juliana na Wavuvi Camp lakini huyu wameacha atunyime usingizi wakazi wa Kawe...
  20. JamiiForums Tanzania Tutaomba katika Matamasha mbalimbali hasa ya Kiinjili ya Usiku Wakifa Watu wa 'Stampede' Wananchi tusiwe tunafichwa

    Huu ni Ushauri tu ambao GENTAMIYCINE a.k.a Muona Mbali nimeona niutoe hasa baada ya Kunusa HATARI fulani mahala fulani (East Africa) ambako sasa tunafurahi ila huenda Asubuhi wengine Wakalia. Ngoja niendelee Kufurahia zangu Usajili mzuri na wa Kiufundi unaoendelea kufanywa na Klabu yangu pendwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…