Usilolijua ni kama usiku wa Giza, mdau huyu kapotoka tumsamehe

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
2,590
4,603
Kuna Uzi umepandishwa na mdau wa kuitwa Sexless wenye kichwa kinachosomeka Watanzania wanafiki sana. Tazama sasa wamewatelekeza Mwabukusi na Dkt. Slaa. Kinachonisikitisha juu ya mdau huyu na Uzi wake ni kuwalaumu watanzania na kwa kupima uzito wa lawama zake anawalalamikia watanzania wote kwa unafiki.

Kwanza, Mimi kama mtanzania ambaye nmejumuishwa kwenye kundi la wanafiki kwa kuwatelekeza Dkt Slaa na wakili mwabukusi wakati sikuwahi kuafiki walichokipigania tangu mwanzo, nimesikitishwa sana.

Pili, asilimia Zaidi ya 85 ya watanzania wanakubaliana na uwekezaji na hata uamuzi wa mahakama kuu kanda ya Mbeya umethibisha hilo. Hao watanzania wengi waliopiganiwa na Dkt.Slaa ni wakina nani kama Zaidi ya 85 iliwakataa?

Tatu, kusema kauli hiyo mleta Uzi ni kutaka kututhibitishia Kila mtanzania ni CHADEMA maana kimantiki hao wote ni wanaCHADEMA.

Nne, mleta Uzi kutaka watanzania wawapiganie hao watu ni kusema ni kweli watanzania wamekubali wameuzwa wakati ukweli hauko hivyo.

Kwa hoja hizo nne, nachukua nafasi hii kumwombea msamaha ndugu yetu sexless maana hajui akisemacho. Tumsamehe tu maana tumefahamu uhalisia wa mjadala huu, amani ni msingi wa maendeleo.
 
Hiyo asilimia 85 ya watanzania wanakubali uwekezaji umeipata vipi?
Good points, huyu kihiyo akijibu hili aje tujadili mada hii, judiciary Tanzania ni viwete wanaotegemea politicians kuwashibisha njaa yao ya matumbo, Amani bila HAKI ni unafiki mwingine, ccm nipeni nini mmeifanyia nchi yangu?,elimu mmeua, afya ipo ICU ndio maana mnapokaribia kufa mnakimbilia india, UK,usa na netcare millpark ,mimi poor of the poorest huku lingusenguse ndio nikafie kwenye zahanati ya kijiji, royal families ni zile zile ndio zinagawana 🥧 ya taifa, it's craze
 
Wewe nae Kama mpumbavu Sasa Kama huafiki unafiki wake unatakaje kutuunganisha wengine kwenye hizo 85% za wanaoafiki huo upuuzi wa DW?. Acha utahira pumbavu zako......
 
Kuna Uzi umepandishwa na mdau wa kuitwa Sexless wenye kichwa kinachosomeka Watanzania wanafiki sana. Tazama sasa wamewatelekeza Mwabukusi na Dkt. Slaa. Kinachonisikitisha juu ya mdau huyu na Uzi wake ni kuwalaumu watanzania na kwa kupima uzito wa lawama zake anawalalamikia watanzania wote kwa unafiki.

Kwanza, Mimi kama mtanzania ambaye nmejumuishwa kwenye kundi la wanafiki kwa kuwatelekeza Dkt Slaa na wakili mwabukusi wakati sikuwahi kuafiki walichokipigania tangu mwanzo, nimesikitishwa sana.

Pili, asilimia Zaidi ya 85 ya watanzania wanakubaliana na uwekezaji na hata uamuzi wa mahakama kuu kanda ya Mbeya umethibisha hilo. Hao watanzania wengi waliopiganiwa na Dkt.Slaa ni wakina nani kama Zaidi ya 85 iliwakataa?

Tatu, kusema kauli hiyo mleta Uzi ni kutaka kututhibitishia Kila mtanzania ni CHADEMA maana kimantiki hao wote ni wanaCHADEMA.

Nne, mleta Uzi kutaka watanzania wawapiganie hao watu ni kusema ni kweli watanzania wamekubali wameuzwa wakati ukweli hauko hivyo.

Kwa hoja hizo nne, nachukua nafasi hii kumwombea msamaha ndugu yetu sexless maana hajui akisemacho. Tumsamehe tu maana tumefahamu uhalisia wa mjadala huu, amani ni msingi wa maendeleo.
Wewe ndo wale wajinga wanao kula kutegemea matapishi ya maccm lumumba
 
Soma Uzi huo nilionukuu kwenye Uzi wake wangu ili uilewe vizuri hoja yangu. Kama 85% wanasapoti uwekezaji basi hiyo 15% ni very insignificant kuweza kufanya lolote
 
Good points, huyu kihiyo akijibu hili aje tujadili mada hii, judiciary Tanzania ni viwete wanaotegemea politicians kuwashibisha njaa yao ya matumbo, Amani bila HAKI ni unafiki mwingine, ccm nipeni nini mmeifanyia nchi yangu?,elimu mmeua, afya ipo ICU ndio maana mnapokaribia kufa mnakimbilia india, UK,usa na netcare millpark ,mimi poor of the poorest huku lingusenguse ndio nikafie kwenye zahanati ya kijiji, royal families ni zile zile ndio zinagawana 🥧 ya taifa, it's craze
Kunywa maji kwanza unaonekana umepaniki mpaka unashindwa kueleweka
 
Back
Top Bottom