usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Byabato, Nape waibukia soko la Kashai usiku, wazungumza na wafanyabiashara

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Stephen Byabato wametinga katika Soko la Kashai mjini Bukoba, usiku wa Julai na kushiriki kikao cha wafanyabiashara wa soko hilo. Wafanyabiashara wa soko hilo...
  2. JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa Usiku anahitajika

    Muda wa kazi Saa 4 Usiku - Saa 4 Asubuhi Majukumu: Wakala Mitandao ya Simu Mshahara 200,000 Mawasiliano: PM Eneo la kazi: Mbezi Mwisho VIGEZO NI VILE VILE KAMA 👇 https://www.jamiiforums.com/threads/anahitajika-binti-mwenye-uzoefu-na-kazi-ya-uwakala-wa-pesa-mitandao-yasimu-na-benki.2212350/
  3. JamiiForums Tanzania Sky News majuzi walikuwa busy Kushangilia kutinga Fainali hadi kusitisha Vipindi vyao Vingine mbona Usiku huu wanajifanya kama bado hawana Matokeo?

    Yaani Msipenga leo kajua kweli kutufurahisha Watu ambao hatupendi Shobo na Sifa za Watu Fudenge Wakoloni wetu.
  4. JamiiForums Tanzania Kuna mdau anauliza hivi jela usiku na mchana wanahesabu kama siku 1 au 2?

  5. JamiiForums Tanzania Yanga yashusha kifaa kipya Usiku huu

    Ni Winga mwenye mapafu ya mbwa... Nasemajeee, Nasemajeee! Watu hawataingiza timu uwanjani..! Mbele Upawa, Nyuma Mwiko
  6. JamiiForums Tanzania HAMAS sasa wanapigana mmoja mmoja, hakuna kundi au kamandi, wamesambaratika, kipigo kiko pale pale

    IDF sasa inapiga hawa magaidi wa uislamu waliojichokea ambapo wamesambaratika mmoja mmoja, hawapo makundi tena, hamna kamandi. Kila mmoja anapigana kivyake.............. Lieutenant Oriel Mashiach, commander of the Sabar Battalion in the Givati Brigade, provided some insight to Maariv on Sunday...
  7. JamiiForums Tanzania Nalipenda draft shida naliotaga usiku nikianza kulicheza badala ya kuota ndoto za kitajiri

    Draft linazingua kinyama ukiliacha kucheza muda mrefu ukirudi kucheza game na wazoefu utafungwa hata kama unalijuaga.. Sasa kitendo cha kutamani kufungua fumbua code za ushindi kinapelekea usiku eti umelala unaanza kuwaza mbinu unaanza kubuni mitego ya draft si ujinga huo? Badala uwaze una...
  8. JamiiForums Tanzania DHARURA: Naitisha kikao cha wanaume usiku huu tujadili bei elekezi ya mahali kwa mchumba

    Leo naingia ofisini nimemkuta kijana wangu mmoja ana manung'uniko sana na nilitegemea awe na furaha sababu alitujulisha anaenda kuchumbia. Kummuliza shida nini akasema story ile ile inayotaka kufanana na nilichokiona humu jf Sikutegemea nilichokikuta ukweni Dogo kaenda kule wamemwambia mahali...
  9. JamiiForums Tanzania Nape: Amuaomba RC Chalamila apunguze doria za Usiku

    Waziri wa Habari Nape Nnauye amemuomba RC Chalamila apunguze zile doria za usiku kwa siku ya leo, Juni 18, 2024 kwa kuwa wadau wa habari watakuwa na mchapalo usiku wa leo. Nape amesema hayo kwenye kongamano la maendeleo ya sekta ya habari linalofanyika Mlimani City. Kwasiku za karibuni wilaya...
  10. JamiiForums Tanzania Mo Dewji: Nitatoa majina ya wajumbe wa Bodi Saa 2:30 Usiku

    Mo Dewji: Nitatoa taarifa kuhusu Wajumbe wa Bodi ya Simba Sports Club kutoka upande wa Mwekezaji, leo saa mbili na nusu usiku. Unahisi jina gani halitokosekana? ===== Kutoka kwa Ahmed Aliy Msemaji wa Simaba: Tajiri yupo kazini, Leo saa 2:30 Usiku anatoa taarifa kuhusu Uteuzi wa Wajumbe wa...
  11. JamiiForums Tanzania Utaondowa chakula gani hapo kipo tofauti na Vyakula Wenzake? Kwa Mlo wa Usiku

  12. JamiiForums Tanzania Tuzo za Baraza la Michezo la Taifa (BMT) ukumbi wa the Dom Masaki Leo

    Leo ndio usiku ambao wanamichezo mbalimbali Tanzania watapewa tuzo katika shughuli inayoendelea Sasa hapa ukumbi wa the Dom Masaki. Mgeni rasmi ni Kasim Majaliwa na MC ni msemaji wa Azam NB Nje ni gari tupu ============= Ahmed Arajiga: Ameshinda tuzo ya Mwamuzi bora wa kiume Esther Chabruma...
  13. JamiiForums Tanzania Kukata umeme usiku huu inaashiria nini?

    Ni usiku mwingi Hakuna mvua hakuna upepo Jamani wanasiasa unatutafuta nini?
  14. L

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Samia amteua Dkt. Ally Milanzi kuwa Naibu Katibu Mkuu Tume ya Mipango masuala ya Mipango ya Kitaifa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan,mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali katika...
  15. JamiiForums Tanzania KERO TANESCO mmeanza kukata umeme mchana na kurudisha usiku wa manane

    TANESCO hivi kiangazi ndo kimeanza hata wiki haijapita mmeanza kukata umeme na kusingizia kina cha maji. Tafadhali sana mnatupa hasara, biashara haziendi tuna mikopo ya benki, nyie mpo ofsini mnasubiri mishahara ya serikali sisi hatuna hiyo mishahara tunaitafuta wenyewe na Kodi tunalipa TRA...
  16. JamiiForums Tanzania Wachawi na waganga wote wakutana usiku huu kuinusuru Geita Gold isishuke daraja

    Moto umeshawashwa,masufuria tayari kwa ajili ya nyama la kafara. Mgeni rasmi kutoka Gambush, anasubiriwa ili kuanza ibada Rais wa wa wachawi lake zone Azam ama zao ana zetu
  17. JamiiForums Tanzania Je, na Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vingine Tanzania walishangilia Usiku Kucha jana baada ya Kuingiziwa 'BOOM' lao kama walivyofanya wa UDOM?

    Nikisia kuwa na Wanafunzi wa Chuo Kikuu changu cha Majiniasi tupu cha SAUT Mwanza nilichosoma kati ya mwaka 2006 hadi 2009 nao wamefanya huu Upuuzi na Ushamba nitaumia, nitasikitika na nitaanza kuona kuwa sasa Wakatoliki wamepunguza Umakini wa Kitaaluma na Malezi kwa Wanafunzi. Kama hujasoma au...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Watanzania wapendekeza Gari la Tundu Lissu lipelekwe Makumbusho ya Taifa, Mwenyewe amshukuru Mungu kuwa hai hadi leo

    Akiongea na wananchi Mkoani Singida nyumbani hapo jana jioni Tundu Lissu ametoa wito kwa Watanzania wengi kuungana na wenzao waliopendekeza Gari lipelekwe Makumbusho ya Taifa. Akiwa anafafanua na kuonyesha namna gari lilivyoharibika kwa Risasi kwenye Mlango mkabara na kiti cha mbele alipokuwa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Saa 3 usiku mpaka saa 11 asubuhi simu inatumika

    Wadau naomba ushauri wenu. Nina mpenzi. Anakaa kwingine anakofanyia kazi. Hivi juzi kati nilimpigia simu usiku kama saa 3 mpaka saa 7 hivi nikawa najibiwa SIMU INATUMIKA. Nikatuma na message lakini hazikujibiwa. Ilivyofika saa 12 na robo asubuhi akanipigia. Akasema eti aliblock namba yangu kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Traffic police morogoro road tunaomba maroli yaruhusiwe usiku

    SIku za karibuni maroli yamekua kero sana njia ya Morogoro na traffic police wao wame focus zaidi kukamata magari yenye faini badala kuongoza magari ili tuwahi kwenye shughuli za kiuchumi. Foleni imekua kubwa sana kupitiliza kawaida na hakuna juhudi zozote zinafanywa na police ili kurekebisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…