usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kariakoo derby kupigwa Saa 1:15 usiku jumamosi, TFF wamezingatia kweli Usalama wa mashabiki?

    Mechi ya watani Simba Vs Yanga itapigwa saa 1:15 usiku kutokana na sababu za mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan. Mechi ikianza Saa 1:15 maana yake itaisha saa 3:00 usiku Vipi usalama kwa mashabiki watakaojitokeza na ambao wengine huambatana na familia zao, TFF wamezingatia kweli suala la usalama?
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini ikifika saa6 usiku network inakata Vodacom?

    Nimekuwa naona mara kwa mara ikishafika saa6 kamili usiku (00:00) au ndani ya dakika kumi za mwanzo network ya Voda inazima kabisa! Inarudi baada ya nusu saa au pengine inarudi saa7! Kwanini inakuwa hivi?
  3. JamiiForums Tanzania Traffic usiku naomba mjilinde msiamini haya malori pls mtaisha

    Leoo nilikuwa nasubiria kaka na gari la kutoka Moshi Saakumi usiku..BAADA ya mda nkashangaa hapatikan Nkakaa mpaka saa mbili akanipigia aisee sorry ndio tunakuja tumepata ajali Hee kivipi mbona MASAA mengi akasema walikuwa wameshapita bagamoyo BAADA ya mda wakasimamishwa na traffic Traffic...
  4. JamiiForums Tanzania Habari za usiku ndugu zangu naomba ushauri

    Nina mtoto wa kike ana MWAKA na mwezi 1 alizaliwa akiwa na changamoto ya kulia sana Tulimuona Dr mara kadhaa Dr wengi hawakuona ugonjwa Ila baadae tuligundua ana TB ya mapafu alipata matibabu Ila bado afya yake bado imedhoofika sana tumempa kila aina ya lishe Ila bado uzito wake ni ule ule pia...
  5. JamiiForums Tanzania Bibi mnaongea usiku kucha

    Hapa kuna jambo kidogo. Mi nipo nakaa kwa kijanamke kimetoka Uganda. Nilikitwanga kweli kweli mwaka mzima. Kinakaa kwangu buree Nikafukuza kiende kilikotoka. Ilikua baada ya ya kuniletea mabalaa kwangu Sasa badae katika maisha huyu hapa Tukakutana. Ikabidi katika maongezi kasema njoo hapa...
  6. JamiiForums Tanzania Brigedi za Al-Qassam ziliamua kukabidhi miili ya mateka wanne wa Kizayuni usiku wa kuamkia leo

    Wanakumbi. Msemaji wa Brigedi za Al-Qassam, Abu Obaida: Ikiwa ni sehemu ya makubaliano ya Mafuriko ya Al-Aqsa kwa ajili ya kubadilishana wafungwa, Vikosi vya Al-Qassam vimeamua kukabidhi maiti za mateka wafuatao wa Kizayuni usiku huu: 1- Itzahi Idan 2- Itzik Al-Jar yake 3- Ohad Yahalomi 4-...
  7. JamiiForums Tanzania KALIBUNI MSOSI YA USIKU WAKUU

    Kalibuni fans wangu wote
  8. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya binadamu kuamka kati ya saa nane usiku hadi saa kumi huwa ina maana gani?

    Nimekuwa na tabia hiyi hata kama nikalala saa 7 usiku ila ukifika kwenye hayo masaa hata kama nilikuwa nimechoka au kuwa na usingizi mzito ukifika huo muda ni lazima nitastuka iwe kwa kwa kupenda au kutopenda Nimejalibu uliza baadhi ya viongozi wa dini wananiambia Mungu anakuamsha umuombe...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa mwaka 1 anakohoa sana usiku

    Habar wakuu msaada wenu bint yangu wa mwaka mmoja anakohoa sana usiku tumejaribu kumpa dawa na kwenda hospital dawa hazijasaidia kitu...anakohoa Hadi inaogopesha ,,na mchana mara Chache hukohoa
  10. JamiiForums Tanzania Huwa unafanya nini ukikosa usingizi?

    Kama usiku ukikosa usingizi unafanya nini? Mimi naimba pambio
  11. JamiiForums Tanzania KERO YAS (zamani TIGO Tanzania) kila ikifika saa moja usiku hadi saa 4 huduma yao ya kifedha inasumbua nini shida?

    Hawa Nyash sorry YAS Yaani ikifika saa 1 usiku basi sio Lipa kwa mix by YAs sio wakala kukuwekea pesa mtandao unakua shida... Ila asubuhi na mchana inakuwa fresh tu! Na ukipiga huduma kwa wateja wanajibu simple tu wanashughulikia.. Lakini tatizo ndio liwe kila siku??
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miezi 11 anakohoa sana ikifika nyakati za usiku akiwa amelala

    Habar wakuu naombeni msaada wenu nna mtoto wangu wa miez kumi na moja na nusu... Ikifika nyakati za usiku akiwa amelala anakohoa mno Hadi asubuh,anaweza kuwa anasumbuliwa na shida gani
  13. JamiiForums Tanzania Nimeacha pombe na sigara lakini napata taabu sana, sipati usingizi hadi usiku wa manane

    habari wakuu. Weekend nyingine ya mwanzo wa mwezi february sasa. mimi ni kijana (me) wa umri wa miaka 27 nilianza kuvuta sigara mwaka 2016 nikiwa advance. NImevuta miaka sasa pamoja na kunywa pombe japo sikuwa addicted sana nilikua naweza kupitisha hata week bila kuvuta wala kunywa...
  14. JamiiForums Tanzania MFANYAKAZI WA SHIFT YA USIKU

    Kama anahitajika mfanyakazi wa shift ya usiku...anapatikana. Ana elimu ya Degree katika Biashara marketing and hospitality Mjuzi na mwenye uzoefu wa matumizi ya COMPUTER, kwenye;- Ms Word Ms Powerpoint Ms. Excel Publisher Graphics Designing Mtu wa dini MchaMungu, muaminifu wa hali ya juu, na...
  15. JamiiForums Tanzania Mhariri wa Habari ya saa mbili usiku UTV kazi imemshinda?

    Tokea jana kuna mkanganyiko mkubwa na muingiliano wa Habari, hasa za kitaifa UTV. Je, Msimamizi wa maudhui ya taarifa ya habari ya saa mbili usiku katika chaneli hiyo ya Azam tv amekumbwa na nini!? Maana imeshaanza kuwa kero kwa sisi watazamaji .😠😠😠
  16. JamiiForums Tanzania Kalala usiku kaamka kanyolewa nywele. Madaktari njooni hapa mtueleze huu ni ugonjwa gani?

    Habari wakuu, Picha hapo juu inajieleza, Ni kijana mwenye umri wa miaka 26, jinsia mwanaume, kazi yake ni mkulima. Alilala usiku akaamka hana nywere baadhi ktk eneo la juu ya kisogo na pembeni, nywere zilizotoka hazikuonekana kitandani wala popote, hii hali ilitokea ghafla tu Hana rekodi...
  17. JamiiForums Tanzania KERO TANESCO wakazi wa Boko magengeni na viunga vyake mnatutesa kwa kutukatia umeme hadi usiku wa manane

    Tangu kuanza wiki hii TANESCO wamekuwa wakikata umeme bila taarifa kabisa kwa wananchi wa maeneo husika Boko magengeni, Bulemawe, Chama,Calfonia, Ndogondogo center na Mtambani. Mfano jumatatu, jumanne, jumatano wanakata umeme kuanzia asubhi unarudi usiku! Na ukirudi tena saa sita au saa 7 usiku...
  18. JamiiForums Tanzania Upelelezi wapiga kalenda kesi vigogo wa CCM wanaodaiwa kumuua Katibu wa chama hicho Wilaya ya Kilolo

    Kesi ya mauaji inayowakabili viongozi watano wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kilolo, imeahirishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Iringa kwa kuwa upelelezi wake haujakamilika. Mwendesha Mashtaka, Wakili wa Serikali Sauli Makori, leo Jumanne, Januari 21, 2025, ameieleza Mahakama kuwa bado...
  19. JamiiForums Tanzania Maono niliyoona usiku wa kuamkia leo 20/01/2025

    Bwana Yesu Kristo asifiwe. Mungu azidi kuwabariki nyote ambao mmependwa na BWANA kwa kuwazidishia afya njema na pumzi yake ya bure. Kabla sijaleta maono haya naomba niseme mimi siyo mwanasiasa wa chama chochote nchini tanzania wala nchi yeyote. "Nilikuwa katika roho, naam ulimwengu ule...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna mwamba usiku huu kaja kwa bimkubwa wake kumwabia mkasa alioufanya mkewe sasa hivi

    Nyieee.... mnapoambiwa kataa ndoa (hasa kwa kijana unaejitafuta) muwe munaelewa. Kuna mwamba kaja kwa bimkubwa wake (jirani yangu) hapa sasa hivi kumsimulia kwamba kamshika ugoni mkewe na muhuni flani hivi hana hili wala lile, kawakuta laivuuu bila chenga. Kasimulia kwa uchungu sana hadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…