usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Mke anatoa mashuzi usiku kucha; Kuna madhara ninayoweza kuyapata?

    Naombeni ushauri wadau, si kwa lengo la kumdharirisha mke Bali kusema ukweli ya kinachojiri. Aisee mke anayaachia mashuzi, kha!!! Yaani kazi inaanza dakika hiyo hiyo anayofumba macho na inaisha tu pale anapofumbua, yaani asubuhi anapoamka! Ajabu ni kuwa Kuna wakati unaweza kudhani anayatoa...
  2. Kingsmann

    Undisputed Boxing Fight: Beterbiev vs Bivol, Jumapili 13.10.2024, Saa 01:15 Usiku

    Manguli wa ndondi kutoka Urusi, Artur Beterbiev na Dmitry Bivol watakutana usiku wa leo (Saa 01:15, Jumapili) katika pambano lisilopingika (Undisputed) la Uzani Mwepesi (Light Heavyweight) mjini Riyadh, Saudi Arabia siku ya Jumapili. Ikumbukwe kila mmoja hajawahi kupoteza pambano hata moja...
  3. Matulanya Mputa

    LGE2024 Viongozi wa CCM wa Kata wakishirikiana na madiwani wao wameanza kuzunguka usiku na kutoa pesa kwa watia nia wa upinzani wajitoe

    Hii tarifa ni sahihi na si muda mrefu tutaweka majina ya Viongozi ambao wanazunguka na pikipk za Samia kwa lengo la kuwarubuni watia nia wa upinzani wajitoe. Baadhi ya maeneo wameanza kufanikiwa hasa maeneo ya vijijini. Angalizo kwa vyama vya upinzani tafuteni wagombea ambao wanajielewa...
  4. MK254

    Iran yasimamisha safari zote za ndege usiku wa leo

    Jamaa wanaweweseka balaa! Ndege zote kutoka viwanja vya ndege vya Iran zimefutwa kuanzia saa 3 usiku leo hadi saa 12 asubuhi kesho kwa saa za huko, kwa mujibu wa shirika la habari la Mehr la Iran, likinukuu msemaji wa Shirika la Usafiri wa Anga la Iran. Taarifa kwa marubani, au NOTAM...
  5. Heart Wood.

    Ukifuatilia sana yanayojiri huko Israel, Lebanon, Iran, Palestina, Russia na Ukraine unaweza fikiri Dunia itawaka moto usiku huu na Kuteketea kabisa

    Wakuu, Kichwa cha thread chahusika. Yaani ukijifanya kuwa mfuatiliaji sana wa kinachojiri huko kwa wenzetu unaweza pata wasiwasi na kuhisi dunia itafikia mwisho usiku wa leo. Kumbe maisha yapo tu na yataendelea kuwepo sana. Mwanzoni wakati nasikia Russia ikiwapiga beat Ukraine pamoja na...
  6. Perry

    Iringa mjini mtu ukiumwa usiku unaweza kufa, hakuna Hospitali au Zahanati wanayokesha.

    Habari Zenu wakuu. Nimekuja Iringa mara moja kikazi, sasa usiku wa kuamkia leo mwili ni kama ulibadilika nikapata kitu kama homa kali sana, ilikua ni kama saa 9 usiku hivi nikasema ngoja nivumilie kukikucha tu niwahi hapo Aga Khan. Lahaula kwenye saa 12 alfajiri na madakika hivi nikamchukua...
  7. tamuuuuu

    Yah:kuibiwa usiku wa tarehe 3.09.2024

    Wakuu mimi bado masikini,nipo napambana najitafuta.Kwa muda mrefu nimejichanga kutafuta ka mtaji nikapata. Nikatafuta kasehemu nikafungua local grocery,yani ni ya kawaida sana.Biashara ikaanza kwa mwitikio mzuri tu si haba. Siku kadhaa baada ya kuanza,mama mwenye nyumba ambaye anaishi hapohapo...
  8. C

    Meseji za bando zimekwisha usiku wa manane

    Hizi meseji za mitandao ya simu kujulisha bando ya internet imeisha zinakera sana. Kuna haja gani ya kutuma meseji tatu usiku wa manane kwani bando ikiisha sinitajua mbaya zaidi zinakuja sms tatu kwa mfululizo unaweza kupuuza kwa kudhani ni SMS za mtandao ila ukiacha kusoma na umesikia ikiita...
  9. Abraham Lincolnn

    PreGE2025 Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea

    NUKUU "Kuanzia Jumatatu [Septemba 23] sisi tutaingia barabarani kudai tunachoona ni uhai wa watu wetu waliopotezwa, vinginevyo serikali imechukua hatua za haraka na za makusudi kuwarejesha, watu kujiuzulu, na watu wote kuwajibika.” - Freeman Mbowe, Mwenyekiti CHADEMA Pia soma: Kuelekea 2025...
  10. GENTAMYCINE

    Kumbe jana Kakesha JamiiForums Usiku Kucha na hajaamini kuwa kuna Watu wanapiga Spana za Ukweli na wana Akili

    Cheza na Watu wote, ila siyo wa JamiiForums kwani kuna Wengine hapa wanakujua ndani nje hivyo wakiwa hapa wanapiga Spana za maana lakini ukiwa nao tu Wanakuzuga kwa Kukuonyesha wapo nawe (nimesahau namaanisha) wapo nami GENTAMYCINE.
  11. Pdidy

    Unajua mapanya ya usiku yanaua ndoa zetu na uchumi wetu?

    Kama unaona ndoa yako maisha yako kiuchumii yanasuasuaa Angalia na fukuza hawa Panda Mende Mijusiiii Mapaka Kwa gharama zozote waondoke hapo kwako else utapigika mbaya yaana wanavyoendelea kuzaliana ndipo na wewe wwanakunyoshaaa kirohoo na kimwili mpaka unyokekekee @fanyiakazi C2 Tumeellewana
  12. Muuza madafu wa Ikulu

    Baraza la Sanaa lasimamisha shughuli zote za sanaa na burudani kupisha Maulid Zanzibar

    Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni Zanzibar (BASSFU) limesimamisha shughuli zote za sanaa na burudani Visiwani Zanzibar kupisha usiku wa mkesha wa kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) Maulid ya Mtume, leo Jumapili September 15,2024 kuamkia kesho September 16,2024 (Maulid...
  13. K

    Unaweza kumruhusu mkeo akae nje mpaka saa 4 za usiku na anaowaita rafiki zake?

    Kwema wajumbe? Ebana last night nilimkung'uta wife haswa kwa kuchelewa kurudi home. Mchezo mzima ulianza hivi,me nilirudi jana mapema kutoka job,nikategemea nae atarudi muda wake niliouzoea ambao ni saa 11 jioni. Mara ghafla nikaona kwenye saa 2 usiku mtu ananipigia eti ananiambia upuuzi...
  14. mirindimo

    Eneo la Jangwani ni tishio kwa usalama kuanzia mida ya saa 5 usiku na kuendelea

    Kama ilivyokuaga Salenda pale darajani sasa uhalifu umehamia Jangwani ikifika usiku saa 5 na kuendelea si eneo salama kupita hasa ukiwa na pikipiki, kuna wezi na vibaka wenye silaha na wasio na huruma. Eneo lile pana giza zito na hakuna ulinzi wa aina yoyote mida hiyo hali inayopelekea wahalifu...
  15. Waufukweni

    Kenya: Kanisa lapewa onyo kwa kupiga kelele usiku, waenda na kipimo alfajiri

    Baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa raia Mkuu wa Idara ya Mazingira Geoffrey Mosiria, ameliomba moja ya kanisa nchini Kenya, kudhibiti kiwango cha kelele ili kuepuka usumbufu kwa jamii. Mosiria amesisitiza umuhimu wa kanisa hilo kuhakikisha kuwa viwango vya kelele vinazingatia sheria na...
  16. julfox

    Sativa: Kisa cha kutekwa na kuteswa

    Scene 1: Mji wa Dar es Salaam, Usiku Maelezo ya eneo: Usiku wa Dar es Salaam, mitaa yenye mwangaza mkali kutoka kwa biashara za usiku na vilabu vya michezo ya kamari. Sativa ni kijana maarufu anayejulikana kwa kupenda michezo ya kamari. Usiku mmoja, huku akicheka na marafiki zake na akifurahia...
  17. Fazzah5x

    Naweza pata gari za kwenda Morogoro usiku huu kutokea hapa Dar?

    Habari hivi naweza pata usafiri huo kwa usikuu huu? Na shida kidogo kwenda Morogoro
  18. Introvert Music

    Usiku wa leo Harmonize anaenda kuachia ngoma kali sana

    Harmonize jeshi katangaza balaa usiku wa Leo Kwa mashabiki zake wanaenda kufurahi kwakua anaenda kuachia ngoma Kali sana mbili harmonize ndio mfalme wa bongo fleva ukibisha download ngoma zake halafu Kaa home sikiliza
  19. sanalii

    Unaujua usiku mrefu?

    Ni usiku ambao hauchi, kulala hulali, usingizi hauji. Leo nimekuja sehemu imebidi nilale, kuna mbu na joto balaa, hakuna fan, hakuna dawa za mbu, ni kaz juu ya kazi. Nimekumbuka sana nyumbani. Pia soma: Faida na hasara za kusafiri mikoani na mabasi ya usiku Usiku umekua mrefu sana.
  20. kyagata

    Kwa nini iringa mjini pamoja na kuwa na baridi kali nyakati za usiku lakini kuna mbu wengi?

    Wakuu Ni siku ya tatu leo niko iringa mjini..ebana huu mji una mbu wengi tofauti na nilivyodhania. Hapa nilipo ni baridi lkn kuna mbu sio poa.. Nauliza ni sehemu zote hapa iringa mjini kuna mbu hivi au ni hii sehemu niliyofikia tu mimi?
Back
Top Bottom