usikate tamaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nrangoo

    Japo mwaka 2025 unaisha usikate tamaa

    Habari wakuu.. Awali ya yote nimshukuru Mungu Kwa wakati huu aliotujalia na vilevile nitoe pole kwetu sote Watanganyika kwa madhila yaliyotokea wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, kila mmoja ameathirika kwa namna moja ama nyingine lakini zaidi kwa familia zilizopoteza wapendwa wao, Mungu...
  2. R

    Mchungaji Dkt. Godfrey Malisa, USIKATE TAMAA, refile your case kama imekuwa struck out!

    Rekebisha hicho Jaji alichokisema kuwa umekikosea, then refile. Kama imekuwa struck out, hiyo inakuwezesha ku refile your case! Let history have it that you fought for what you believed to be Unjust/wrong/unconstitutional!
  3. Prof_Adventure_guide

    Msomi usikate tamaa – badilika, usibadilishwe

    Wasomi wengi wameishia kuwa na huzuni ya ndani, hali ya kisaikolojia inayoitwa existential frustration, kwa sababu waliaminishwa kuwa vyeti ni tiketi ya maisha bora. Ukweli ni tofauti – dunia ya sasa haiangalii tu cheti, bali uwezo wako wa kutatua matatizo na kuleta thamani. Elimu uliyonayo ni...
  4. Tauceti Rigel

    Ukitaka Kuwa Mjanja Maishani, Haya Ndio Mambo 14 Ambayo Watulivu Huwaza Usiku na Kuyafanyia Kazi Wakiamka

    Maisha haya hayana ramani. Hakuna aliyewahi kuyaelewa kwa ukamilifu. Kadri tunavyoishi, ndivyo tunavyogundua kuwa yale tunayoyachukulia kuwa kweli—mara nyingi si kweli kabisa. Ni kana kwamba maisha yana kauli yao ya chinichini: “Utakapodhani umeelewa, ndipo tunapokudanganya.” Katika makala hii...
  5. Muuza madafu wa Ikulu

    USIKATE TAMAA KIJANA: Kesho yao ni bora zaidi.

    Nikutie moyo kijana unayepita katika majaribu. Inawezekana umemaliza chuo na huna ajira. Nikutie Moyo, kuna jamaa yangu kapata ajira akiwa na miaka 41 na sasa ni mtu mkubwa tu. We bado sana kwa umri wako. Mungu yupo atakukumbuka na kuna majira ya kila jambo chini ya jua. Majira yako...
  6. Dr leader

    Ni mwiko kukata tamaa

    USIKATE TAMAA Hakuna kitu kibaya kwa maisha ya mwanadamu kama kukata tamaa. Mtu aliyekata tamaa humtengenezea shetani kuwa makao yake. Haijalishi ni kipi umepitia usikate tamaaa. Ni dhambi yoyote umefanya usikate tamaa hakika Mungu husamehe dhambi zote Amka sasa tuanze upya bila kukata...
  7. NGOSHA13

    Usikate tamaa! Kiilichonitokea katika safari ya elimu kimenipa ujasiri wa kutokata tamaa

    Miaka kadhaa iliyopita nilifanikiwa kusoma Elimu ya sekondari lakini nilivyomaliza sikubahatika kufaulu kujiunga na kidato cha tano kwani nilipata daraja la 4, hivyo nilikua sina tumaini lolote na nkaona mimi na mambo ya kusoma ndio hivyo basi tena, ikabidi nijiunge na chuo kilichopo chini ya...
  8. Pdidy

    Kwenye maisha usikate tamaa

    Mungu ndie mpaji wa yotee All d best br
  9. M

    Changamoto zikikunyoosha usitafute wa kumlaumu, komaa mpaka uwe kati ya waliofanikiwa kwenye mazingira magumu

    KILA SIKU KUNA WATU WANAFANIKIWA KWENYE MAZINGIRA UNAYOONA NI MAGUMU. 1. Kipindi unalaani mahusiano kuna ndoa kila siku zinafungwa. 2. Kipindi unasema hakuna ajira kuna wanaoajiriwa kila siku 3. Kipindi unasema biashara ngumu kuna ambao wanauza mpaka wanakataa wateja. 4. Ukisema mshahara mdogo...
  10. Tlaatlaah

    Poleni sana wasaka ajira, msikate tamaa

    inasikitisha sana, ina uma sana, na kwakweli inatia huruma na kukatisha tamaa mno, lakini daima usichoke wala kukata tamaa. kumbe ni hali halisi ya maisha na ukosefu wa ajira, ndio inawachochea na kuwavutia kujiingiza katika hali hizo za fedhaha na aibu kubwa kiasi hicho. pole sana rafiki...
  11. Fundi manyumba

    Kama una mpenzi ambaye yupo mbali yataka moyo sana

    Ni sehemu ndogo sana ya wapenzi wanaoishi mbalimbali ambao hudumu kwenye uhusiano wao kwa muda mrefu. Hiki kinaonekana kuwa ni kitendawili kigumu sana kwa wapenzi wengi kuvumiliana kwenye uhusiano bila kusalitiana. Ninapozungumzia umbali ninamaanisha wilaya na wilaya, wilaya na mkoa au mkoa na...
  12. Tlaatlaah

    Usikate tamaa, kuwa mkakamavu na mwenye bidii ya kutafuta

    Ukiwa mvivu, mlegevu na asie na bidii, maarifa wala kujituma katika kufanya kazi, kila kitu kwako utaona kimekosewa, kina makosa, dosari au kasoro nyingi sana... Utaishia kulala sana magetoni nyumbani na ukiamka utakunywa chai ya mama na kuanza kulalamika tu, kulaumu, kughadhabika na kuhemka...
  13. andremg10

    Kamwe usikate tamaa

    Nimeona kushare na wanaJF
  14. M

    Tujifunze kitu kikubwa hapa

    Pichani:Muanzilishi wa KFC(Kentury Fried Chicken) HISTORIA YAKE.. Akiwa na miaka 5 Alifiwa na Baba yake... Akiwa na miaka 16 aliamua kuacha shule. Akiwa na miaka 17 tayari alikua kapoteza ajira 4. Akiwa na miaka 18 aliamua kuoa. Akiwa na miaka 19, alifanikiwa kuwa Baba. Akiwa na miaka 20...
  15. AnyWayZ

    Kila mtu kwa wakati wake jf wote Tutatoboa. Amin

    Habarini ndugu zangu..! Kizuri kula na Mwenzio, kwa maana hiyo ndio njia pekee ambayo mimi na wewe tunaweza itumia kugusa maisha ya wengi na sote tukatimiza malengo yetu kwa kasi. MAISHA NI MCHEZO WA KUIGIZA Akiwa na miaka 5 Alifiwa na Baba yake... Akiwa na miaka 16 aliamua kuacha shule...
  16. The622

    Usikate tamaa, kuna siku bahati yako nawe itang'ara

    Mambo wakuu, Tunafanikiwa kwa kuhangaika kila moja ajuavyo katika Maisha yetu. Kuna wakati unahisi kukata tamaa na kujiona si mtu mbele ya watu, ila nikwambie Ndugu yangu, Mungu hana choyo wala kukusahau, bali ni suala tu la muda. Tumia ulichonacho kufika utakapo. Una cheti Cha form four...
  17. kitoto wa vitoto

    Kamwe! Usikate tamaa!

    Naomba usome kidogo!!! Hii ni real siyo utani! Mimi ni kijana wa miaka 32 Mnamo mwaka 2014 nilitoka nyumbani rasmi kuja mjini kutafuta maisha, Niliaga vizuri wazazi wangu nikawaahidi kuwa naenda mjini na nitapokelewa na rafiki yangu na ndie nitakayeishi nae. Nilifika mjini na begi yangu ndogo...
  18. C

    Kuna Siku Itafika Kazi Zitakua Nyingi Hutajua Uchague Ipi

    Aaaa
  19. mwakavuta

    Maisha yangu, ushuhuda wangu; Sijafika sijachoka usikate tamaa Mungu yupo.

    Ni kawaida kwa watu kutafuta hamasa kutoka kwa waliofanikiwa peke yao kwa sababu tunaamini ndio wanaijua njia sahihi ya mafanikio. Binafsi sijafanikiwa kiwango cha kutoa hamasa hiyo kwa wengine lakini nina Imani kuna mtu aliyekata tamaa kabisa atapata nguvu ya kupambana kwa kujua kuwa hayupo...
  20. MALCOM LUMUMBA

    Safari ya mafanikio ya Mwanamuziki Lauryn Hill: Usipuuze na kudharau watu na Usikate Tamaa

    Lauryn Hill Leo hii ukizungumzia orodha ya wasanii wakubwa wa kike nchini Marekani na duniani kote, basi huwezi kumkosa Lauryn Hill. Huyu ni moja kati ya binadamu wenye vipaji vikubwa sana vya utunzi wa mashairi na sauti ya kipekee kabisa. Anaweza kuimba muziki wa aina mbalimbali, kuanzia...
Back
Top Bottom