Minadani kuna ushirikina je ni kweli

Minadani kuna ushirikina je ni kweli

Muyabi colors

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2024
Posts
2,690
Reaction score
3,841
Screenshot_20260618-200608.jpg

Check hapo juu🙌😂🤣
 
Ushirikina upo tena sana tu kwenye minada. Waogope sana wa wasumukuma wanaonunua ng'ombe. Ukoenda kichwa kichwa unaweza ukajikuta umebakiwa na fedha chache wakati haujafanya manunuzi yoyote yale
 
Basi, nitahesabu mara 1 nipate hasara ya 5% kisha nifiche bila kurudia hadi nipate wa kumwachia mzigo... Bank, kwa wakala au kwa muuzaji ili nae ahesabu ili kama itapungua tena 5% nimwambie sawa kisha niokoe 90% ya hela yangu.

Kwaakili zangu za tamaa nitataka ng'ombe wa milioni 20 nimuuze kwa milioni 2 na laki 1 ili kufidia hasara itakayosababishwa na washirikina wa mnadani 😄

Kipenzi Seran nipo sahihi au nimeshalamba kilambo?
 
Nyinyi ambao hamwamini ndio watam kwakua kila mkitendewe mnaona ni bahati mbaya tu kumbe mnachezewa.
Nawe kila likikupata jambo unaamini umechezewa unaenda kutoa pesa kwa mganga kumbe unapigwa tu.
 
Basi, nitahesabu mara 1 nipate hasara ya 5% kisha nifiche bila kurudia hadi nipate wa kumwachia mzigo... Bank, kwa wakala au kwa muuzaji ili nae ahesabu ili kama itapungua tena 5% nimwambie sawa kisha niokoe 90% ya hela yangu.

Kwaakili zangu za tamaa nitataka ng'ombe wa milioni 20 nimuuze kwa milioni 2 na laki 1 ili kufidia hasara itakayosababishwa na washirikina wa mnadani 😄

Kipenzi Seran nipo sahihi au nimeshalamba kilambo?
Sijaelewa kitu🫢
 
Back
Top Bottom