Hivi karibuni waziri wa mambo ya nje wa Marekani Anthony Blinken alitembelea nchi tatu za Afrika, Kenya, Nigeria na Senegal. Katika ziara hiyo, alijaribu tena kuichafua matope China ili kuimarisha ushawishi wa Marekani barani Afrika, lakini China na Afrika haziwezi kutenganishwa kutokana na...
Hivi karibuni, shirika maarufu la uchunguzi wa maoni la Afrika la Afrobarometer limetoa ripoti ya uchunguzi wa maoni, ikionesha kuwa ushawishi wa China barani Afrika unashika nafasi ya kwanza duniani, mbele ya Marekani, mashirika ya kikanda, mashirika ya Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika. Haya...
Na Caroline Nassoro
Huu ni mwaka wa 21 tangu Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) lilipoanzishwa. Katika kipindi hicho, mambo mengi yamefanyika na kuimarisha uhusiano na ushirikiano wa pande mbili za China na Afrika.
Mkutano wa kwanza wa ngazi ya mawaziri ulifanyika mjini...
Na Caroline Nassoro
Mkutano wa mwaka huu wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) unatarajiwa kufanyika mjini Dakar, Senegal, kuanzia tarehe 29 hadi 30 Novemba, mwaka huu.
Kaulimbiu ya mkutano huo kwa mwaka huu, ni “Kuimarisha Uhusiano wa China na Afrika na Kuboresha...
Na Fadhili Mpunji
Katika muda mrefu miaka karibu mitano sasa, mawasiliano kati ya China na Marekani yamekuwa katika hali ambayo wachambuzi wengi wameiita si ya kawaida. Tangu Rais Donald Trump alipozusha mvutano usio na maana na China, mawasiliano ya kidiplomasia na hata uhusiano wa kiuchumi...
Na Kelly Ogome
China ni mshirika mkubwa wa kibiashara na kimaendeleo wa nchi za Afrika. Pande hizi mbili zina uwezo mkubwa wa ushirikiano katika nyanja za miundombinu, uchumi wa kidijitali na huduma za kifedha.
Takwimu iliyotolewa na serikali ya China inaonyesha kuwa, kuanzia Januari hadi...
Serikali imeanza mchakato wa utafiti wa kuwapima afya baadhi ya watu waliopata chanjo ya kuzuia Uviko-19 ili kujua maendeleo ya afya zao.
Lengo la utafiti huo ni kubaini mwenendo wa afya za waliochanjwa ili kuona wastani wa kinga zao na namna wanavyoweza kujikinga.
Kauli hiyo imetolewa leo...
Wikiendi hii iliyopita, chombo cha kubeba binadamu cha anga za juu cha Shenzhou-13 kilifanikiwa kuwapeleka wanaanga wengine watatu katika Kituo cha Anga za Juu cha China. China ni nchi kubwa zaidi inayoendelea duniani, na maendeleo yake kwenye sekta ya safari ya anga za juu ni hamasa kubwa kwa...
Katika miongo kadhaa iliyopita, ujenzi wa reli umekuwa sehemu muhimu ya ushirikiano wa kirafiki kati ya China na Afrika. Kuanzia Reli maarufu ya TAZARA iliyojengwa zaidi ya miaka 50 iliyopita hadi Reli ya SGR ya Kenya, Reli inayounganisha Addis Ababa na Djibouti, na Reli ya Abuja–Kaduna ambazo...
Hii nafasi naona itamfwaa sana huyu baba maana kila sifa anayo
Kuanzia uwezo wa kuzungumza vizuri lugha ya wazungu,ufahamu mzuri wa sheria za kimataifa,kuielewa dunia,kufahamiana na wakubwa & ujasiri wa kukabiliana na mtawala katili kuliko wote kwenye historian ya Tz
Maonyesho ya kimataifa ya biashara ya Guangdong awamu ya 130 ambayo ni maarufu kwa jina la Canton Fair yamefunguliwa tarehe 15 Oktoba mjini Guangzhou. Maonyesho haya yanatajwa kuwa ni maonyesho ya muda mrefu zaidi na endelevu zaidi kati ya maonyesho yote ya kimataifa ya biashara duniani hadi...
Aisee kuna binti mmoja hapa mtaani kwetu wakishua sana nimetokea kumpenda sana lakn kila nikimpa Hi haitikii.
Kitu hicho kinaniumiza sana wadau.lakn leo asubui natoka senta naelekea home nikaona nae yupo na mdogo wake mdogo wa kike wanatoka sokon wanaelekea home nikampa hi kaitikia fresh tuu...
Maonesho ya pili ya Uchumi na Biashara kati ya China na Afrika yamefanyika huko Changsha mkoani Hunan, China, na kushirikisha zaidi ya nchi 40 za Afrika na karibu kampuni 900 kutoka China na nchi za Afrika. Katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na maendeleo ya uhusiano wa kirafiki kati ya...
Na Fadhili Mpunji
Katika miaka ya hivi karibuni bara la Afrika limekuwa na maendeleo makubwa kwenye sekta ya teknolojia ya habari na mawasiliano (ICT) na mambo ya kidigitali kwa ujumla, na sekta hii inatajwa kuwa ni moja ya sekta zenye maendeleo ya kasi zaidi katika nchi za Afrika, na kuwa...
“Msimu wa kutangaza bidhaa za Afrika kwenye mtandao wa internet” wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika kwa mwaka 2021 umezinduliwa hivi karibuni na utaendelea katika miezi mitatu ijayo. Hili ni tunda la mapema lililopatikana kwa China kutekeleza ahadi yake ya kusaidia Afrika kuhimiza...
Habarini wanaJamiiForums
Ni imani yangu mko salama. Leo napenda kuangazia suala zima la collabo au partnership katika kutafuta mitaji. Kutokana na ugumu uliopo katika kupata mtaji wa kuanzishia biashara, hasahasa kwa wahitimu wa chuo, collabo baina ya watu wawili au zaidi inakuwa ni moja ya...
Wiki chache zilizopita zimeshuhudia ongezeko la usambazaji wa chanjo za covid-19, hasa kwa nchi zinazoendelea. Foleni ndefu za watu wanaojipanga kupewa chanjo zinaendelea katika vituo vingi vya afya.
Nchi za kipato cha chini, hasa kutoka barani Afrika, kwa miezi kadhaa zimekuwa katika hali ya...
KATIBU MKUU WA CCM DANIEL CHONGOLO AFANYA MAZUNGUMZO NA ZITTO KABWE
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amefanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Ndg. Zitto Kabwe.
Mazungumzo hayo yamefanyika leo tarehe 08 Septemba, 2021 Makao Makuu ya...