Kuna pisi moja ya kishua naipenda sana lakini hata nikiisalimia haioneshi ushirikiano, nifanyeje?

Kipunga

JF-Expert Member
Mar 8, 2021
262
573
Aisee kuna binti mmoja hapa mtaani kwetu wakishua sana nimetokea kumpenda sana lakn kila nikimpa Hi haitikii.

Kitu hicho kinaniumiza sana wadau.lakn leo asubui natoka senta naelekea home nikaona nae yupo na mdogo wake mdogo wa kike wanatoka sokon wanaelekea home nikampa hi kaitikia fresh tuu.

Nikamwambia naitwa fulani waitwa nani wew?akajibu.

Yey."ili iweje!
Mim."naomba tuwe marafk
Yey."urafki feki uo
Mim."kama huta jali naomba namba yako ya simu
Yeye."akaguna tu then akaingia getini.

Sasa wadau naombeni msaada wenu ni namna gani ya kumnasa huyo binti.anamatako makubwa usipime kias kwamba hata kutembea unaona kabsa yanampa shida.kiuno kidogooo

Wadau wamenambia dingi ake ni OCD
Mabaharia nitumie mbinu gni huyu mtoto.
 
Kazi ndogo sana, tengeneza kibaka feki ampige kabali akiwa njiani, then wewe unatokea na kumtimua kibaka feki na kumdhibiti ili kumnusuru binti husika na kumrejeshea vitu alivyomuibia na amani yake.

Unamsindikiza kidogo mkiwa njiani usimuombe namba bali unachukua simu yake unajibeep, unamuaga na kumsisitiza akifika nyumbani akutaarifu.
 
Mkuu huyo sio muhindi ni mbongo
 
Hashoboki na hela huyo maana hapo nyuma brother aliniachiaga ka gari lkn hata hakushoboka ndio kwanza haitikii salamu
Ok vizuri,Basi tengeneza mazingira akuelewe Ila Kama Hana hisia na wewe bro your wasting your time.Take it from me narudia your wasting your time.Ishawahi nitokea same situation miaka Fulani huko nikiwa amateur kwenye masuala ya relationship.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom