Arsenal yaibuka na Ushindi Old Trafford baada ya miaka 14

Shadida Salum

Journalist at JamiiForums
Sep 11, 2020
69
104
20201101_213723.jpg


Washika Mitutu wa London, Arsenal the Gunners wameibuka na Ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Mashetani wekundu, Manchester United

Goli lililofungwa na P. Aubameyang kwa mkwaju wa Penati kunako dakika ya 69 lilitosha kuiandikia Arsenal ubingwa katika Dimba la Old Trafford kwa mara ya kwanza ndani ya kipindi cha miaka 14
 
Back
Top Bottom