ushawahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Tafakuri binafsi: Wakati unamhudumia mdada kipesa, ushawahi kutafakari hili

    Mfano, wewe mwanaume una hela, Unasukuma gari nzuri kiasi, laki mbili tatu za bata kila wiki hazikupigi chenga, una kazi nzuri na biashara, una nyumba nje ya mji, kibongobongo watu tunaassume umetoboa.. Unakutana na binti maisha yamemchapa, kwasababu unampenda, unamtakatisha kwa kumpa vihuduma...
  2. Supercomputer

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kutumia mbinu chafu kufaulu masomo?

    Uhali gani mwanaJF, Rejea kichwa cha habari hapo juu. Kuanzia shule ya msingi mpaka a-level nilikuwa mtakatifu (Clean student) nikifaulu kwa juhudi zangu. Hali ilibadilika baada ya kuingia chuo kikuu. Nikaanza kuwa muhuni na kuwa top cheater nikitumia mbinu zufuatazo I) Kuandika mkononi au...
  3. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Huu ni utapeli au sio utapeli? Je, ushawahi kukumbana na hii hali?

    Thread was deleted
  4. Uboboh

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kula ugoro wewe?

    Hahaha enzi za ujana wangu niluenda mtembelea bibi huko Tanga, Alikua anamiti ya ugoro na tumbaku + ule ugoro wa kununua Nilikuwa na gonga nae pasu pasu alinipenda sana soon nitaenda kumuona tena Ni feel the difference Gily mshamba_hachekwi Mshawahi pata hii kitu Na members wengine toeni...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kushuhudia wizi wa kipumbavu?

    Wahalifu wengi huiba pesa, vito, magari na vitu vya thamani kama hivyo Lakini mhalifu huyu ni tofauti kidogo. Mnamo Oktoba 2016- mtu huyu alikwenda kwenye duka la furniture na kuiba ''window blinds'' kisha akaificha kwenye koti lake kama unavyoona hapo juu! Wafanyikazi walimuona kupitia CCTV...
  6. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kushindwa kula chakula kwa uchafu wa mazingira au mpishi?

    Kuna watu wanaishi maisha ya ajabu sana, na wao wanaona ni sawa. Kuna sehemu nilienda wakaanza kuandaa chakula, mara nikaona mpishi anapika mara akafutia sufuria na kanga aliyojifunga, nikasema tobaa hiki chakula siwezi kukila tena. Usafi ni muhimu sana kwa mpishi kwani ukizingua kwenye usafi...
  7. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Vituko vya jikoni, ushawahi fanya kitu gani wakati unapika?

    Mko poa? Salaam, Jikoni kuna wakati yanatukia matukio jikoni wakati unapika mpaka unatamani unashangaa, mwenzenu nilimwaga mboga wakati napika ugenini kisa kapita panya na sikuwa najua kama nyumba ina panya. Nimeaza kupika ile naipuka mboga Panya kakatiza nikaona mkia tu nikadhani nyoka...
  8. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kuziona picha zisizo na caption, zenye maana chochezi?

    Wasalaam wandugu, Mwajionaje na Hali? Nyuzi hii ni kwa ajili ya picha ambazo hazina Caption au text yoyote kuielezea lakini zina ujumbe unachochea, kuvuta, kuelimisha, na Kutafakari. USISITE KUTIRIRISHA HAPA PICHA YOYOTE YENYE KUFANANA NA MRENGO WA Nyuzi KARIBUNI
  9. Maleven

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kuishi na mtu usiempenda / unaemchukia nyumba moja?

    Yani unaishi na mtu, ukimuangalia unasikia hasira, kila anachofikifanya kinakukera, did you? Waeza omba dunia iyeyuke
  10. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kuwa na mwanamke mrembo ukagoma kuimiliki jumla au kuoa kwa kuhofia uhakika wa kuchapiwa?

    Wasalaam, Umofia kwenu! Eeh bana eeeh were were mwaka jana nilipata bonge la demu mtoto wa kipare bonge la pisi ukanda huu wa pwani alikuwa mdent wa chuo fulani anatokea kati ya Makanya, Same au Hedaru sina hakika, demu black beauty, trackoo hana mpinzani, kichwa kidogo dogo, hana tumbo...
  11. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Je, ushawahi fanyiwa jeuri au dharau na mpenzi anaedhani umedata na umahiri wake ndani ya 6x6?

    Salale Wanawake Mungu anawaona, acheni visa chezeni game fair, sio poa unatumia mchezo wa kujiviringisha sana na mpapaso kama wote mwanzo wa mechi hadi mwisho wa mechi mgongo massage mwanzo mwisho, mtu unagugumia maraha na mautamu hadi mwisho. Khaa sio poa. Baada ya hapo mnatumia hio fimbo...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ushawahi panda gari za kusafirisha magazeti ?

    Aiseee zile gari acha kabisa Yani kabla hujakaa tayari upo Kibaha mana Dar - Moro ni lisaa tu 😂😂😂😂 Kupanda zile gari inahitaji uwe na roho ya paka 😆😆😆 Sishauri kabisa wanawake kupanda zile gari mana sisi wanaume tu tunapanda kwa dharura Embu tupe uzoefu wako mara ya kwanza kupanda zile gari...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kusikia kampuni inayouza gesi ya kupikia mpaka Tsh. 1000?

    Katika dunia ya leo suala la habari (Information) ni muhimu sana hasa kwa kutumia teknolojia ya kisasa. Ukosefu wa habari sahihi juu ya inshu fulani iwe ya kijamii, kisiasa au kiuchumi itakufanya ushindwe kufanya maamuzi sahihi ama itakuwa na athari kwako kwa namna moja ama nyingine. Moja ya...
  14. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kupendwa kimapenzi na mpenzi wa rafiki yako wa damudamu?

    Habari wana jukwaa. Nataka kuuliza kitu hapa maana najua Dunia ina vitu vingi na kila kinachotokea siyo kipya, ujue kimeshatokea sehemu. Nataka kupata uzoefu kwenye hili. Je, ilishatokea ukapendwa na mpenzi wa rafiki yako, yaani yule rafiki yako ni damudamu? Kama ilishatokea ulifanya vipi...
  15. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kwa mliowahi kupanga chumba, ushawahi kunatana na mpangaji mwenza mwenye kiburi?

    Harakati za hela ya umeme nyumba za kupanga zenye kushare Luku. Few years ago, nilipanga chumba, wapangaji tulikua wawili na mtoto wa mwenye nyumba, kwakua mtoto wa mwenye nyumba alikua anatatizo la akili, tulimtoa katika kuchangia umeme, pia hakua na matumizi makubwa. Mwanzoni mambo yakawa...
  16. Ibrahimeliza

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kufeli katika biashara?

    Watu wengi wanaanzisha biashara lakini wengi pia wanafunga biashara, sababu na shauku ya kuanzisha biashara mara nyingi ndio hiyohiyo ya kufunga biashara ila nina wazo au kanjia kadogo ambacho labda kanaweza kukusaidia. Kama umefeli katika biashara yako, swali la msingi kujiuliza nimefeli mara...
  17. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Je, ushawahi kuugua hadi ukawa unawaonea wivu ambao hawaumwi?

    Maisha ni fumbo na fumbo lenyewe Lina kuja pale unapougua na hujui utapona au ndo mazima. Kuna magonjwa yanayoeleweka yanakupa hope kwamba ni suala la mda tu mambo yatakaa sawa. Ila Sasa kuna haya magonjwa ambayo mtu unakuwa uncomfortable mda mwingi unameza dawa hadi mwili unanuka dawa. Yani...
  18. Samatime Magari

    JamiiForums Tanzania ⛽Hivi Ushawahi kuazima gari au umenunua gari halafu hujui pa kuwekea mafuta [fuel tank cap] ni upande gani?

    Yani unaingia kituoni unapark gari uwekewe mafuta unajikuta umegeuza pump iko kulia wewe umeweka gari kushoto, Fuel attendant anakuona kama dish lako linayumba hivi hafu hakuelewi elewi. . Kuna wale wasee huwa hawataki aibu ndogo ndogo huwa wanashuka wanachungulia kwanza, Yani kabla hajafika...
  19. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kujiuliza kwanini wanawake matajiri ni wachache sana duniani?

    Sasa acha nikusanue leo hii ukitazama orodha ya watu matajiri zaidi duniani basi kwenye top 20 yao. Utakutana na wanawake watatu na wanaume 17. ✓ Wanawake ao ni Bi Francoise Bettencourt ambae yupo nafasi ya 14. Ni mfaransa mrithi wa kampuni ya vipodozi ya L'Oréal ambaye anamiliki 33% ya...
  20. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kumfanyia mwanamke hii mbinu?

    Kwa mlioelewa picha! Hii handshake ni kwa mabazazi tu😅😅
Back
Top Bottom