ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania habari za mda huo jamani naomba ushauri

    Habari zenu wana jamii forums mimi ni kijana kutoka zanzibar naomba ushauri wenu juu ya biashara ya nyanya kutoa daa kuleta zanzibar na conection maana zanzibar tunapigwa sana
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri mnaojua shule inayosaidia watoto wenye Uelewa wa taratibu (slow learners) nimpeleke mtoto wangu.

    Habari wanajamvi, Kwa masikitiko makubwa nawaomba mnisaidie kunielekeza ni shule gani hapa Dar es salaam inauwezo mkubwa kuwasaidia watoto wenye Uelewa mdogo yaani slow learners?? Kijana wangu wakiume ambaye Yuko timamu kabisaa anachangamoto darasani tuu, Yaani Yuko darasa la tatu kusoma kwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Form 6 leavers mliopata division 2 na 3, mjitahidi kuomba vyuo vingi hasa vya makanisa na private, Vya serikali ni vigumu kuingia.

    Kumbuka Division One ni zaidi ya elfu 60, Division Two karibu elfu 40, na Division Three zipo chache zaidi elfu 10. Hii inaonyesha ushindani mkubwa sana kwenye udahili unaoendelea vyuoni, hasa vile vya serikali (Udsm, Mzumbe, Udom, Must, Dit, Tia, Ifm, Mipango, Mweka, n.k) si kwamba ukiwa na...
  4. JamiiForums Tanzania Nimepata kisonono kizembe sana naomba ushauri

    Ni wiki 3 sasa tangu nimekutana na mwanamke na hii ni baada ya kupima nae kabla na kukuta hana maambukizi, baada ya siku kadhaa nilikutana nae baada ya kumuamini na ndipo nilipo ona usaa kwenye uume wangu, nilienda hospital nikaanzishiwa Ceftriaxone na tabs Ciproflaxin pamoja na Dox. Nimetibiwa...
  5. H

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia itafute hekima, ukiwasikiliza waovu, utajutia ukiwa peke yako

    Kwa hapa tulipo, Rais Samia unahitaji sana hekima yako binafsi kuliko ushauri wa uovu kutoka kwa waovu waliokuzunguka. Ufahamu kuwa kila uovu unaoendelea nchi hii, yakiwemo matukio ya ushetani mkubwa kama vile kuteka na kuwaua wanaokukosoa, kumbambikia kesi Lisu, watu wanaoenda kisikiliza kesi...
  6. JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma tupeane ushauri kuhusu mikopo inayotolewa na Taasisi mbali mbali za kifedha

    Moja kwa moja kwenye mada. Leo ni mapumziko nikaamua kuzurula kwenye akaunti yangu ya ESS(Watumishi Portal). Kilichonishtua hadi kuandika mada hii ni kitu kinaitwa "Processing Fee" baada ya kuona ni Tsh871,053.93/= wakati mkopo unaombwa kwenye mfumo. Na gharama zingine kama bima ni kubwa...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Polepole Amuonya Chalamila. Asema Amemtukana Rais

    Polepole amemuonya Chalamila kuwa hana mamlaka wala uwezo wa kujibu hoja zake. Yeye Polepole alikuwa mjumbe wa kamati kuu akiwa na majukumu maalum, anayejua mambo mengi. Kaeleza kuwa Chalamila indirectly amemtukana Rais aliposema kuwa eti yeye Chalamila anaenda kufuata mafaili ya Polepole huko...
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu eneo la kupanga chumba/vyumba

    Habari za muda huu ndugu zanguni, niende moja kwa moja kwenye mada husika; Naomba msaada au ushauri wa haraka kuhusu mahali pa kupanga chumba au vyumba kwa maeneo ya karibu na kambi ya Jeshi ya Mgulani au Uwanja wa Taifa. Nimepangiwa kufanya kazi eneo la karibu na hayo niliyoyataja, na...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa chama changu cha CCM

    Naomba kukishauri Chama changu cha CCM kuwa tuheshimu maoni ya Wajumbe wa CCM waliowapigia watia nia kura. Kama kweli mtia nia ameibuka kidedea na vigezo anavyo basi huyo ndiye ateuliwe kupeperusha bendera ya CCM. Tusiwe na upendeleo kuwapendelea watoto wa wakubwa hata kama ameshika nambari 2...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kati ya kilimo na kuuza mazao kipi kina faida?

    Habari ya leo ndungu zanguni, Jackson hapa. Naitaji ushauli ndugu zangu Hivi kati ya kujikita kwenye kilimo au kujikita kwenye kununua mazao kipi kinafaida kubwa? Na kipi kina risk kubwa? Kwa maoni yako wewe kama wewe let’s say una mtaji wa 20M TZshillings unaweza kuwekeza kwenye kilimo au...
  11. JamiiForums Tanzania Ushauri wa Ukweli kwa Vijana Kuhusu Maisha

    1. Jifunze Kujijua Kabla Ya Kujitangaza Usijaribu kuwa mtu mwingine ili ukubalike – jua wewe ni nani, unataka nini, na thamani yako iko wapi. Ukiwa original, huna ushindani. 2. Pesa ni Muhimu – Lakini Tabia ni Zaidi Unaweza kupata pesa leo na kupoteza kesho. Lakini ukiwa na nidhamu, heshima...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya biashara za minadani

    Habari zenu wana JF. Naombeni mnisaidie ushauri kwa wale mliowahi kufanya biashara katika minada mbali mbali hasa kwa Dsm mpaka Kibaha. Nataka kuanza kuzungusha bidhaa kwenye minada je inalipa? Au ni bora nitafute meza tu sokoni?! Na vipi kwenye minada utaratibu upoje pengine kuna kulipia...
  13. JamiiForums Tanzania Nawashukuru wakazi wa Sikonge kwa kufanyia kazi ushauri wangu na kumuondoa Joseph Kakunda katika kura za maoni

    Here we go ! Tunahitaji viongozi wanofikika wasomi na ambao Elimu yao haina utata. Asanteni wanaSikonge kwa kumpuunzisha Bwana Joseph Kakunda. Cc Pascal Mayalla.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kijana anaomba ushauri kwenye hii changamoto yake

    Habari wana JFs, Nina rafiki angu wa miaka mingi ambae tumekua karibu kama ndugu ameniomba ushauri kama mtu wake wa karibu, lakini nimepata mtihani kidogo katika kumpa majibu kutokana na uzito wa jambo lake. Nilimshauri kulileta humu kwa kutotaja majina yake ilimradi tu aone ushauri na busara...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania NAOMBENI USHAURI

    Naombeni ushauri Mimi ni kijana wa miaka 23 nipo na uhusiano na mdada wa miaka 32 ananionesha ananipenda ila mbaba wake Mimi ni mtumishi wa JWTZ yeye ni Askari police Nataka kumuacha ila nashindwa sijui Ananifanyia dawa
  16. JamiiForums Tanzania Wanasheria na Wataalamu wa Miliki (mali) Njooni mnipe ushauri Kuhusu hii Kampuni yangu na Warithi wangu.

    INTRODUCTION:- Salam sanaaa? HUU NI UKWELI WA MAISHA YANGU, KUHUSU MAHUSIANO NA MALI. Naitwa Mr. Liverpool ni kijana wa kiume mwenye Diploma, Degree, Masters, na PhD Candidate dropout (Nilipata Scholarship ila biashara ikanipenda zaidi kuliko shule..!!) Ni mtumishi wa umma mwenye miaka 35...
  17. JamiiForums Tanzania Uzi wa ushauri, mapendekezo, maoni, ujumbe, changamoto, masuali, na duku duku kuhusu siasa za Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu.

    Kila mwenye maoni ushauri changamoto mapendekezo duku duku suali kuhusu kinachoendelea katika siasa za Tanzania na kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu aje hapa
  18. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa Kampuni inayotoa huduma ya mortgage hapa nchini

    Naomba kujua huduma ya mortgage hapa nchini Hali ikoje,ni wapi watoa huduma wazuri kwa mtu mwenye uzoefu. Najua JF ni kisima cha Taarifa. Nawasilisha!
  19. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nina Tsh. Milioni 25, nifanye biashara gani?

    Ndugu zangu naitaji ushauli wenu. Nina 25 million TZshillings naitaji kuanzisha biashara ambayo inaweza ikanipa faida kubwa ndani ya mwaka mmoja. Yani biashara yoyote ambayo inatembea kwa kasi zaidi. inaweza ikawa mkoa wowote ule. Asanteni.
  20. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kupandikiza mmea wa chainizi (Chinese cabbage)

    Habari wakuu. Naomba kujua kama ni sahihi kupandikiza mimea miwili ya chainizi kwa shimo Moja, endapo nitaweka mbolea nyingi zaidi ya sehemu niliyopandikiza mmea mmoja.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…