ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana waliyohitimu vyuoni

    Mkipata kazi kwanza mjue mlichojifunza Chuoni ni kama 60% hivyo mnahitaji kujifunza kwa haraka majukumu mtakayo pangiwa bila dharau kwa mtakao wakuta. Degree inakusaidia kupata kazi ila haikusaidii kuendelea kubakia kazini. Kitakachokufanya usalie kazini na kuendelea kula mema ya nchi ni kama...
  2. JamiiForums Tanzania Nimechoka kuishi kwa wazazi, naombeni ushauri

    Shikamooni wakubwa zangu mdogo wenu naomba ushauri kidogo kutoka kwenu... Mimi ni kijana mwenye miaka 24 naishi hapa dsm ila mpaka muda huu bado naishi nyumbani kwa wazazi, kwa umri wangu nshaona kuwa najiendekeza sana mana mpaka sasa ningekuwa najitegemea na mimi niwapunguzie mzigo wazee. Ila...
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa kampuni ya Airtel

    Tukiwakopa muda wa maongezi mnatutangaza inabidi ukapigie simu toilet kweli? Yani ofisa mzima nimevaa tai ya kiuongozi nyekundu na shati jeupe mara nikipiga naambiwa salio lako linadaiwa? Hii sio sawa kwasababu no kama mnatuaibisha maana nikama mtu anakukopesha hela halafu kila akikuona...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya China katika usafirishaji na ushauri wake kwa nchi za Afrika

    Na Gianna Amani Kampuni ya utengenezaji wa magari ya King Long iliyopo katika Mkoa wa Fujian imeeleza namna ilivyopenya katika soko la dunia na kuziambia nchi za Afrika juu ya magari wanayopaswa kuchagua hivi sasa. Kampuni hiyo ambayo ilianzishwa mwaka 1988, mbali na kutengeneza magari tofauti...
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure: Utaratibu wa mwenyekiti wa chama cha siasa kuwa Rais wa nchi ufutwe

    Kwa utaratibu wa siasa za Kiafrika ninashauri haraka iwezekavyo katiba ya nchi ibadilishwe na kiongozi yeyote wa chama asiwe au asichaguliwe kuwa Rais wa nchi. Utaratibu uliopo ni ndoto nchi kupata maendeleo na ni ngumu kuondoa rushwa kwenye jamii. Kiongozi wa chama awe kiongozi wa chama ila...
  6. JamiiForums Tanzania Dr. Bashiru, If you are a man of Principles, Hata Wakushukie vipi Stand Firm!, Don't Apologize!, Utaheshimika Zaidi na Zaidi!

    Wananodi, Baada ya Mbunge wa kuteuliwa Mhe. Dr. Bashiru Ali Kakurwa kutoa kauli hii, CCM, kwachafuka, wengi wamemjia juu kama moto wa kifuu, kwa kumshukia kama mwewe, huku wengine wakimbeza, kumkashifu, kumkejeli na hata kumtukana!. Huu ni ushauri wangu wa bure kwake, "Ushauri wa Bure kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Mlio kwenye ndoa naombeni ushauri juu ya huyu mwanamke

    Kiukweli baada ya kuona hii pisi ikirandaranda kutafuta mume nimeamua kujivika bomu nioe mke wa pili. Wanamazengo mnasema? Si wife material kabisa huyu?
  8. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu Tanesco; Wakati huu wa mgao Futeni kwa muda ma group yote ya whatsapp kwa wateja wenu! Mtanishukuru baadae

    Huduma ni pamoja na kujua kuzichanga karata! Cha msingi lengo ni huduma bora! Dakitali mzuri ni yule anaepambana OP room halafu akitoka inje anarudi na jibu la kueleweka kwamba mgonjwa kafa au kapona! Lakini dakitali anaetoka O.P room kila muda kuongea na ndugu kwamba mgonjwa kapiga chafya...
  9. JamiiForums Tanzania Jumaa Aweso ushauri wangu kwako

    Nimesikia una mpango wa kujenga mabwawa kwa ajili ya kuhifadhi maji ya mvua ili kukabiliana na upungufu wa maji Ushauri wangu kwako, Achana na hiyo mipango ya kizamani na ya kimaskini ambayo haiendani na wakati uliopo. Kwa mabadiliko haya ya hali ya hewa, napenda kukuhakikishia kuwa huo mradi...
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wachumba wanaotaka kuja kuwa wanandoa

    Leo niwashauri wale ambao hamjaoa au kuolewa ila mpo kwenye mahusiano sijui uchumba au nini: Onyesheni zile tabia zenu halisi, yaani usiigize chochote, kama wewe unakula sana, kula, kama wewe huwa unaoga kwa wiki mara moja tu basi fanya hivyo, kama huwa husalimii watu basi endelea. Yaani kila...
  11. JamiiForums Tanzania Familia ya Dkt. Rwakatare mtafuteni Mshana Jr wa JamiiForums haraka, ni ushauri wa bure!

    Enyi familia ya Dkt. Rwakatare nawashauri ushauri wa bure bure bure kabisa, mtafutieni mganga wa JamiiForums nchini Tanzania ndugu Mshana Jr awasaidie kumzindika ndugu yenu la sivyo nawambieni huyu Diwani hapotei hivi hivi. Mbona alikuwa hapotei mama yake akiwa hai? Mi nasema mtafuteni mshana...
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa wanasiasa wachanga ndani ya vyama siasa

    Mungu wetu sote na awabariki Kwa nia na madhumuni ya ndoto zenu za kisiasa. Imenipasa kusema haya Kwa kuwa mazingira ya wazi yamezibwa na mnakosa prior visibility Kwa Hazina ya wapiga kura wengi. Hata hivyo Bado zipo fursa ambazo hamzitumii ipasavyo hasa vyombo habari TV, Redio, Blogs, Pamoja...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anataka kuandika jina lake nyumba niliyoijenga

    Habari wadau wa jukwaa hili pendwa, Naomba nienda moja kwa moja kwenye mada. Mimi nimeoa na Mungu amenijalia watoto wawili. Nafanya kazi sekta binafsi na mke wangu sasa ni mama wa nyumbani. Mke wangu kabla sijamuoa alikuwa amenunua kiwanja chake makao makuu ya wilaya na mimi pia nilikuwa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri Serikali sitisheni machine za kamari kwa manufaa ya umma

    Nilienda Bagamoyo Kidomole kuangalia shamba langu. Wakati nasubiri wafanyakazi wangu waje njia panda nikaona gari lina park na wachina wawili wakashuka wakaenda kwenye kibanda na kurudi na mfuko. Nilishangaa kuona wachina wako huko. Nilivyo uliza watu wa pale wakasema ni wamiliki wa machine za...
  15. JamiiForums Tanzania Ushauri nichukue ipi kati ya Onkyo,marantz,Denon na Harman kardon

    Sony home theater bado haijakata kiu yangu katika ulimwengu wa muziki.nataka niruke na moja kati ya hizi music system Onkyo,Klipsch, marantz,Denon na Harman kardon. Nichukue brand ipi iwe alpha na Omega . NB:kwa ajili ya music tu sio movies
  16. L

    JamiiForums Tanzania Nampenda huyu dada ila hataki kuachana na mpenzi wake

    Mimi ni baba ninafamilia ya watoto 3, lakini mimi na mke wangu hatuishi pamoja kutokana na yeye kufanyia kazi sehemu nyingine. Katika pita pita zangu nikakutana na mwanamke mmoja 'black beauty' nyuma kafungasha (Nacy, lakini siyo jina halisi). Sasa kuna mdada mmoja ni rafiki yangu ninafahamiana...
  17. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kumuokoa rafiki yangu, Huu ukarimu wa baba mwenye nyumba umepitiliza, nahisi kamzalisha mke wa rafiki.

    Nahisi baba mwenye nyumba yupo hatua 5 mbele zaidi kuliko rafiki yangu. Ipo hivi, rafiki yangu kapangisha kanyumba kadogo anaishi na mke wake, kwenye kiwanja kuna nyumba ndogo mbili, nyumba nyingine kuna mpangaji mwengine ila hua anasafiri sana. sasa mke wa rafiki yangu alijifungua kama wiki 2...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri jinsi ya kumuapproach aliyenitafutia kazi, nataka kuacha kazi

    Salamu Kwenu Greatthinker(Akili kubwa). Ushauri wako muhimu sana. Two weeks ago nilipewa connection Kwa Mzee wa makamu kidogo nikampigia simu kumuomba kazi the way nilivyoongea naye kupitia simu nilijionyesha kuwa Nina uhitaji sana na kazi hatimaye nikaitwa Kwenye interview japo Kwenye usaili...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Samia, simama uite viongozi wa dini wamuombe Mungu toba na atuteremshie MVUA zenye manufaa. Hali ni tete kwa Taifa

    Amani iwe nanyi Hali ya ukame na ukosefu wa mvua inayoendelea katika sehemu kubwa ya ardhi ya nchi ya TANZANIA sio ngeni hapa duniani. Ukiperuzi historia utaona kuwa dola nyingi huko nyuma zilikuwa zikipata vipindi ya ukame na uhaba wa chakula unaosababishwa na ukosefu wa mvua. Kwa ambao...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri nifanyeje juu ya hili?

    Kwa ambao ntawaudhi kwa hili ntakalolisema mtanisamehe lakini nahisi hapa JF naweza pata ushauri au msaada wa nini cha kufanya kwa hii hali yangu. Mimi ni kijana, umri wagu ni miaka 28 nimetimiza tu mwezi wa tisa mwaka huu. Naishi gongo la mboto, Dar es salaam. Changamoto yangu kubwa ni unene...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…