ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ushauri: Usithubutu kumpa mwanamke mtaji. Kama mke wako mpe biashara aisimamie na usimpeumiliki kwa 100%.

    Habari! Sasa tumechoka kusikia vilio vyenu enyi wanaume wenzetu. Nature ya mwanamke ni kutawaliwa, ndio maana mtawala akiwa mwanamke kwa level yoyote ile lazima ichukuliwe special issue. Binti ukimpa mtaji na akauukuza na akili yake ataikuza kuona vile ambavyo hajaviona kabla ya mtaji kukua na...
  2. Ushauri kwa Wizara ya Kilimo-Fursa zinazotakiwa kufunguliwa ni za mazao ya biashara sio chakula

    Salamu! Mada inajieleza, Fursa zinazotakiwa kufunguliwa na ambazo nitaziona kama kipimo cha wizara ni zile za mazao ya biashara mfano pamba,kahawa,mwani na mazao ya wanyama kama ngozi ,pembe na kwato. Nadhani nimeeleweka!
  3. D

    Naomba ushauri wa kuhusu kozi ya kusoma katika vyuo hivi

    Habari za majukumu ktk ujenzi wa Taifa? Kati ya Bachelor of Sociology Udom, Bachelor of Sociology SAUT Mwanza na Bachelor of Public Administration Mzumbe Campus ya Dar, na Community & Development Studies Ardhi bora wapi? Ni mtoto wa kike anaomba ushauri aconfirm wapi. Ahsante
  4. Onyo na ushauri wa bure kwa Panya Road, ndugu na wazazi wao

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu zangu nimepata taarifa kutoka kwa baadhi ya ma homeboyz kwamba kuna baadhi ya vijana wa panya road wako katika process za kutaka kuikimbia nchi ili waje Kaburu kwa lengo la kukwepa mkono wa...
  5. T

    USHAURI: TFF ni muda sasa umewadia wa kuanzisha Reserve league (Professional development league)

    Ahlan wa Sahlan Katika kuzunguka kwangu katika mataifa ya ulaya nimekutana na mfumo huu wa ligi za reserve wengine hupenda kuuita professional development leagues.Ni mfumo wa ligi unaohusisha wachezaji vijana kutoka academies za timu zinazoshiriki ligi kuu za nchi husika,hujumuisha vijana wa...
  6. Nini tiba ya uume unaosinyaa kabla ya tendo?

    Wakuu habari ya wakati huu. Naombeni ushauri au anayejua tiba ya uume kusinyaa kabla ya tendo la ndoa. Limekuwa tatizo ambalo linanipa mawazo sana. Msaada tafadhali
  7. Kama una zaidi ya watoto wanne, na unaishi mjini, kuna ushauri wenu hapa

    Kama wewe ni muajiriwa, na una watoto wanne nakuendelea, na unaishi mjini, fanya yafuatayo:- Tafuta chanzo kingine cha mapato, iwe biashara, udalali n.k Tafuta shamba ulime, au nunua chakula kwa wingi pale kinapokuwa kimeshuka bei na uweke stock, ili kuweza kupata chakula cha kutosha; haya...
  8. Msaada wa ushauri wa masega

    Gari yangu ni Toyota Kluger, Kuna siku ilileta shida nikapeleka gereji pale kariakoo Kuanzia hapo imeanza kuwa na mlio mbaya, haina nguvu, na consumption ya mafuta imekuwa juu Sana Sasa nikaambiwa masega yameibwa ndio maana Iko hivyo Sasa swali langu Kwa wataalam, Hivi vibuyu ninavyoviona...
  9. Ushauri KWA Tundu Lisu;-Samehe yote,Rudi nyumbani,ujumuishwe kwenye kikosi kazi cha mkandala mchango wako ni muhimu,Muda wa kukaa ughaibuni umeisha!

    Wazalendo wote popote mlipo!nitumieni ujumbe huu kwa ndugu yetu Tundu lisu,Taifa lako linahitaji uchapakazi wako na taaluma YAKO ya sheria, sahau yote na urudi NYUMBANI ufanye kazi ya kulijenga Taifa lako Tanzania. Team yenye Warioba ndani yake,Tundu Lisu,Mkandala na wadau wengine ni team nzuri...
  10. SoC02 Visa vya watu kujiua: Sababu kuu na ushauri wa nini kifanyike

    Utangulizi Kwa mujibu wa taarifa ya WHO (2019) ni kwamba kila baada ya sekunde 40 kuna mtu anajiua kwa sababu kadha wa kadha. Tatizo la watu kujiua limekua kwa kasi na linaongezeka kila kukicha na sababu zinazokusanywa za waliojiua hutofautiana kati ya mtu mmoja na mtu mwingine. Nina rafiki...
  11. K

    Ushauri wa bure kwa PSRS

    Juzi kati ilibidi nigombane na ndugu yangu baada ya kunipigia ghafla akiniomba nauli ya kwenda kwenye usaili wa psrs huko Dar. Kwa kifupi ndugu yangu huyu alinishtukiza na sikua na kitu mfukoni, hivyo ikabidi niingie madeni kwa kumkopea pesa mahali. Ushauri wenyewe ni huu: Nashauri kwamba...
  12. MSAADA: Nahitaji ushauri ni friji aina ipi bora kati hii HISENSE au BRUHM

    Wakuu salaam, Nahitaji kununua friji kwa bei ya hizi zetu watu wa hali ya kawaida,sasa ktk pita zangu nimeona angalau HISENSE na BRUHM ni bora kidg kulingana na pesa niliyonayo naomba ushaur je ipi ni bora kati izo ya izo mbili hapo je zile za condeser nje yaan nyuma ya friji na zile...
  13. Ushauri kwa serikali kuhusu tembo waharibifu

    Jana nimefungua facebook nikaona mkurugenzi mmoja wa wanyama pori ametoa wazo kuwa serikali itoe kibali tembo wanaoharibu mazao kwa sasa wauwawe. Mimi kama mzalendo sikubaliani na wazo hili kwa sababu tutakuwa tunatatua tatizo moja tunaunda lingine.Tutajenga mawazo mabaya kwa majangili kuwa...
  14. Ushauri wangu, ukinunua gari used nenda kabadilishe jina la umiliki

    Kuna jambo moja ambalo watu wengi huwa ni kama wanachukulia poa lakini kiuhalisia lina maana kubwa, jambo hili ni kubadili jina la umiliki wa gari au chombo chochote cha moto Nazungumza haya kwa kuwa nimeona mambo kibao yakitokea huko mitaani na menginie ni kwa watu wangu wa karibu. Unakuta...
  15. T

    Naomba ushauri kuhusu 1995 MITSUBISHI Pajero Y-V26WG BM530139

    Greetings wadau wangu, Please Naomba ushauri sahihi kuhusu gari tajwa hapo juu, Mimi ninahitaji gari SUV ya diesel ambayo Ina reliability ya Hali ya juu, durability ya Hali ya juu, stability ya Hali ya juu, comfortability ya Hali ya juuu barabarani, haitumiii umeme kabisa yaani old school...
  16. E

    Ushauri kwa Waziri wa Michezo - Andaa watoto kuwa wanamichezo achana na samaki wakavu

    Nimemsikia waziri wa michezo akisema majina makubwa yataachwa kwenye timu ya taifa, na anasema wataenda kijiji kwa kijiji kutafuta wachezaji. ukweli ni kwamba Waziri hata kwa mbinu hiyo hutapata timu. Mpira au mchezo wowote duniani ulishatoka kwenye vipaji. Kanuni ya kupata wanamichezo ni...
  17. Naomba ushauri: Niko njia panda

    Habari! Mimi ni mwajiriwa wa serikali ofisi X kwa kada ya ulinzi. Nina miaka 7 sasa tangu niajiriwe. Nimejenga nyumba ya kawaida sana. Na nina second hand car, namaanisha namiliki gari ya kuungaunga. Ninapenda sana magari. Nimechoka kulinda. Yaani nimechoka sana maana ni kazi ambayo hata mke...
  18. Ushauri kwa zao langu la nyanya

    Wataalamu wa kilimo mnishauri,Nimelima nyanya Miche 5000 .Ina mwezi mmoja Toka nimeipanda mbegu nimetumia. Tomato mwanga. Kuna changamoto imejitokeza majani kubadilika rangi .ngoja niambatanishe picha ,hali hii ilijitokeza baada ya kupilizia sumu aina ya power Cron, snow tiger ujazo wa...
  19. Naomba ushauri kwa ajili ya huyu binti anaetaka kusoma Diploma

    Amemaliza kidato cha 4. Akachaguliwa kozi ya ualimu ngazi ya cheti. Alisoma arts ana ufaulu wa division 3. Ameshindwa kuendelea na diploma ya education kwa sababu utaratibu hauruhusu. Anataka kusoma Diploma ya kitu kingine lakini hajui asomee nini. Hivyo anahitaji ushauri wa kusoma kozi...
  20. Ushauri: Epuka kufanya haya kwenye uhusiano wako

    Katika harakati zako za kutafuta mpenzi, unaweza kukutana na mwanamke ambaye kwa sababu moja au nyingine anakuondolea uwezo wako wa kufikiri, kutumia mantiki na pia kutumia akili yako ya kuzaliwa. Si lazima awe amekufanyia kitu, lakini inaweza kuwa ni ulevi wako tu unaosababisha ufanye mambo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…