ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri wa wazee kwa vijana kuna wakati unatatiza sana

    Tuko kwenye nyakati ambazo vijana wanawaona wazee ni washamba wasioelimika na wasiojua kitu.. Lakini pia tuko kwenye enzi ambazo kuna wazee waliogoma kuzeeka na wayafanyayo hawana tofauti na vijana.. Ila hili si la mada hii Muktadha wa mada hii ni kuangazia baadhi ya ushauri wa wazee kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri: Kwa hali hii maamuzi ya kuuza nyumba yatakuwa sahihi?

    Mimi ni baba wa watoto watatu Na mke mmoja Nina miaka 34. Mtoto wa Kwanza ni kwa mwanamke wa Kwanza na Hawa wawili ni kwa mke niliyenae sasa ambaye naishi nae hapa nyumbani. Nimezaliwa Na kukulia mkoa X, nimekuja Dar kutafuta Maisha lakini mji huu unahitaji uwekezaji Na connection Za biashara...
  3. JamiiForums Tanzania Trump aishauri Israel ilipue nuclear sites za Iran, kinyume na ushauri wa Biden

    My take; Just take the Islamic republic out, weaken them enough for the people of Iran to take care of the rest. When the people get rid of the Islamic republic and the Ayatollah goverment nobody needs to worry about any nuclear wars.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kuongeza Tax base, Rais na Wabunge walipe Kodi

    Salaam, Shalom!! Akiongelea Suala la Kodi, Mh Rais amesema kuwa tax Base ya nchini petu ni chini ya milioni mbili. Hili limefika hapa Kwa sababu nyingi ambazo tumekuwa tukizipigia kelele Kila kukicha, Kwa kuwa kiongozi wetu amedhamiria kuongeza Tax base Ili wengi zaidi wapate hamasa ya kulipa...
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa gari la kwanza

    Naombeni ushauri wataalamu, nataka kuchukua gari, gari ambalo ni reliable, less costly and low fuel consumption, kwasababu ndo gari la kwanza nataka gari ambalo halitaniumiza kichwa then badae mambo yakienda sawa nita upgrade. Kwa uchunguzi niliofanya nimekuja kugundua mafundi wengi wa magari...
  6. JamiiForums Tanzania Ipi ni njia sahihi ya kuendelea kutoa pesa kwa ajil ya matumizi ya mtoto?

    Ipi ni njia sahihi ya kuendelea kutoa pesa kwa ajil ya matumizi ya mtoto? Nimezaa na Binti mmoja kutoka SINGIDA kiufupi Nalazimishwa kufunga ndoa na mhusika lakini Binafsi sipo Tayar ktk Hilo kutokana na tabia alizokuwa kuwa NAZO. Huyu Binti amekuwa Jeuri, kiburi, hashauriki kwachochote Mm...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) wajutia tuzo waliyompatia Rais Samia mwaka 2023

    "Leo (Jumatatu, Septemba 30.2024) Bawacha tumewaita (wanahabari) hapa (makao makuu ya zamani ya CHADEMA) kufanya tukio la kuonyesha hasira zetu dhidi ya Rais (Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania), mwaka jana tarehe 3/8/2023 BAWACHA tulimualika kwenye kongamano la...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya Maziwa mtindi na Maziwa fresh

    Habari za wakati huu ndugu zangu wa JF, tukiendelea na mapambano ya kila siku Kwenye harakati za mapambano nimefikiria kutafuta eneo kwa ajili ya kuuza maziwa ikibidi kuongeza na bites na vitu vingine. Nimefikiria kupata maziwa fresh, maziwa mtindi, Asas (pamoja na yogurt), Tanga Fresh na...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini benchi la Simba wanapuuzia ushauri ninaowapa mimi mzee mutu ya boli?????

    Baada ya mechi ya Azam nilisema wazi kuna wachezaji hawastahili kuchezea Simba na wengine nilisema wakalishwe kitako (Naskitika sana ushauri wangu ni kama wanautekeleza taratibu kwa kuanza na yule m Zambia alikuwa anacheza kama ana degedege) Baada ya hii mechi ya Dodoma leo, conclusion yangu...
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri: CHADEMA iite miundombinu na vitega uchumi vyake majina ya makamanda wake waliouwawa wakikipigania chama

    Vitega uchumi kama majengo yaitwe majina ya makamanda mfano Ali kibao complex Alfons mawazo complex Ben saa nane memorial hall Tundu lisu road nk
  11. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa TANROADS

    Nimepita daraja la Wami Dakawa, nikapita daraja la Ferry Dumila, nikapita madaraja ya Kitete, Msowero, Mvumi na Rudewa barabara ya Dumila Kilosa nikajifunza kuwa madaraja ya njia hiyo yaliinuliwa juu sana kiasi kwamba siyo rahisi kuathiriwa na mafuriko ikiwa mvua kubwa zitanyesha Kiteto, Gairo...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri. Mwili wangu unawasha ukipatwa na mtikisiko wa muda mrefu

    Ikitokea sijafanya mazoezi (mfano ya jogging) angalau mara mbili kwa wiki, mwili huniwasha unapokumbwa na mtikisiko. Mfano: kama sijafanya mazoezi angalau mara mbili kwa wiki, siku nkifanya mazoezi tena, mwili huanza kuwasha, then huacha baada ya kutokwa jasho jingi wakati naendelea na...
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri na maoni yenu juu ya huu mchoro.

    Habari wana bodi! Tazama huu mchoro kisha uniambie umeona mapungufu gani na nini kipunguzwe au nini kiongezwe ili kuleta kitu kizuri zaidi. Eneo: 40m x 20m = 800sqm Ninatanguliza shukrani.
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri: Jeshi la Polisi liajiri watu wenye angalau Degree 1 yenye GPA ya kuanzia 3.5 na kuendelea

    Tunataka jeshi la wasomi wenye GPA kubwa ili wakifanya mambo ya hovyo tuwe na haki zote za kuwanyooshea kidole. Mtu aliyeishia form 4 na kupata division 4 hawezi kulaumiwa kwani upeo wake hauwezi kuwa wa juu. Muda wote atahitaji kutumia nguvu kuliko akili katika utatuzi wa changamoto...
  15. JamiiForums Tanzania Tusaidiane Ushauri Hapa

    Habari za wakati huu!! Mimi ni mhitimu wa Bachelor of Engineering in Civil (uhandisi wa ujenzi) mwaka huu kutoka chuo cha DIT. Miaka kadhaa nyuma nilipomaliza elimu ya diploma (2017) nilifanya kazi katika kampuni tofaufi tofauti za ujenzi. Kwa sasa mara baada ya kutoka chuo nimefikiria kufanya...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri

    Nimechaguliwa kusoma Bsc of science in human nutrition ,naomba nishaurini chochote kuhusu hii course kama ni nzuri # Natanguliza shukrani zangu za dhati wakuu#
  17. S

    JamiiForums Tanzania Wadau ninasoma bachelor of science in chemistry sion future katika hii kozi naomb ushauri

    Wadau mimi ni mwanachuo nasom bachelor of science in chemistry mwaka wa pili lakini sioni future katika hii kozi kutokana na uhaba wa ajira na msoto wa waliomaliza naombeni ushauri
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri wa kufungua kampuni ya transportation and logistics

    Salaam JF. Nimekuja hapa nikiwa na imani ya kuwa jf ni uwanja mpana uliosheheni watu wenye ujuzi tofauti. Nimeanzisha huu uzi kwa malengo ya kupeana elimu na uzoefu katika masuala mazima ya kumiliki pamoja na uendeshaji kupitia kampuni inayohusia na Transportation and logistics. Nakarabisha...
  19. JamiiForums Tanzania Uwekezaji TEMESA (PPPs) kama Watanzania tuwekeze hata kwa Ushauri

    Baada ya kuona tunaitwa kuwekeza kwa UBIA kwenye VIVUKO; nikaingia kwenye TOVUTI yao kuona hawa jamaa wanafanya nini katika Huduma ya VIVUKO Home | TEMESA Kwa haraka haraka naona kama kazi za hawa watu nyingi ni za administration / Usimamizi (Hivyo wanaweza wakasimamia kwa uchache au...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Bajaji aliyoacha marehemu mama imeanza kunigombanisha na baba yangu mzazi pamoja na dada yangu tumbo moja nifanyeje?

    Heshima yenu! Wanajamii Jf! Ushauri kwa kijana wenu Nina miaka 24 tu na ndio nimemaliza Chuo miezi miwili Sasa! Katika harakati za kuona nisikae kinyonge Daslamu niliamua kurudi nyumbani bwana! Geita Basi dada yangu akawa amenipa 260000/=, nilimwambia nitafanya biashara ya kutembeza mayai...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…