ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: BBC, CNN, VOA au Aljazeera, mumuhoji Erick Kabendera juu ya madai yake kuwa Magufuli alimpiga risasi Ben Saanane

    Huu ndio ushauri wangu kwani naamini kupitia mahojiano ya aina hiyo, Kabendera ataweza kufunguka zaidi na maelezo yake yatasaidia watu kupata picha halisi juu ya tuhuma hizi. Sitegemei ataweka hadharani kila kitu kwasababu inaweza kusababisha ushahidi ukaharibika /kuharibiwa hasa ikiwa...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wadau

    Mi nina wito sana wa kuwa nun ila baba yangu mzazi ni padre na hataki ajurikane kama yeye ndo baba yangu. Sasa nikituma maombi si lazima details zangu zote wazijue? Na je itakuwaje
  3. G

    JamiiForums Tanzania Najutia kufuata ushauri mlionipa kumuonea huruma muuza duka auze bidhaa zake, wachache mlionishauri niweke huruma pembeni mnajua biashara

    Kuna uzi niliweka humu jamiiforums Nilimruhusu msaidizi auze bidhaa zake ndogo ila zinamlipa kuzidi mshahara wake. Je, nifanye maamuzi gani? Summary / Muhtasari: Msaidizi aliniomba aanze kuuza bidhaa zake, Sina uzoefu sana kwenye biashara niliona nitakuwa kauzu nikimkatalia, nilitaka kuonekana...
  4. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Natafuta location nzuri ya kuweka stationery hapa Dar es Salaam. Naomba ushauri wako

    Wakuu naomba ushauri ni sehemu gani hapa Dar es Salaam naweza kuweka stationery ya kawaida tu sio kubwa na nikapata mzunguko mzuri wa pesa. Ukinishauri nitaenda kutembelea eneo na kupima kutazama najua wataalam wa fursa mpo unaweza ukawa umeona sehemu inayofaa nitashukuru ukinipa ushauri. Kuna...
  5. milele amina

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mdahalo wa Wagombea Uwenyekiti Chadema Taifa

    Utangulizi Mdahalo wa wagombea uenyekiti wa Chadema Taifa unatarajiwa kufanyika tarehe 18/01/2025, na ni tukio muhimu linalohitaji maandalizi makini ili kuhakikisha kwamba wagombea wanajitambulisha vyema kwa wajumbe na wapiga kura. Katika muktadha huu, tunatoa ushauri kwa Chief Odemba ili...
  6. Gluk

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kabla hili halijaniua

    Habari zenu, Kwa kweli naomba mnipe ushauri maana ni siku ya tano sasa sili wala silali mpaka nimeamua kuja mbeli zenu mnipe Masada WENU Maana naona sasa naenda kupata tatizo la moyo. Kisa kiko hivi mm nimeoa Kwa ndoa kabsa na ndoa ina miaka 3, tumebahatika kupata mtoto mmoja, Mimi na mke...
  7. wakuishiishi

    JamiiForums Tanzania Bachelor in Applied Geology ina soko kwa sasa?

    Jamani naomba kujua je, bachelor in applied geology ina soko kwa saa hizi??
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa TLS (Mwabukusi) anaikosea heshima TLS

    Nawashauri TLS kumshauri Rais wao Mwabukusi kujiepusha na siasa chafu za chadema. Kweli katiba inamruhusu kushabikia Upande anaotaka lkn yeye kama kiongozi wa mawakili nchini na anaeongoza Taasisi alioita pinzani kwa ccm ni vizuri kukaa kimya katika kipindi hichi, kuegemea kwa LISSU huku...
  9. econonist

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa wajumbe wa CHADEMA, kula kwa Mbowe ila Kura kwa Lissu.

    Naomba niwashauri wajumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA, pesa zikija au kuletwa kwenu kuleni bila huruma ila kura mpigieni mwanamageuzi Lissu. Ushauri wangu kwenu ni kwamba kuleni kwa Mbowe ila kura mpigie Lissu. Asanteni kwa kunielewa.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri ndugu zangu

    Habari za mda huu Nina million 1200000 wazo la biashara nililolipata ni kununu a pikipiki ya laki 8 alafu pesa inayobaki ninunue nguo za ndani za wadada na vigauni vikali niwe nawatembelea masaloon na kuwauzia je kwa hilo wazo nitafeli? Maana nitakuwa na pikipiki nitakuwa na uwezo wa kuuza...
  11. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Kila mwenye ushauri mzuri aje amshauri Lissu. Mimi naanza na ushauri huu

    Habari zenu wanaJF wenzangu Ndugu Lisu kwanza napenda nianze kukusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Najua hatujuani, lakini hilo haliwezi kuwa sababu ya mimi kuacha kukushauri pale ninapoona inafaa mimi kufanya hivyo. Bila kupoteza muda na kuchosha wasomaji ukiwemo wewe...
  12. Truth Bot AI

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri Kwa Huyu Msichana Nimefanya Kosa Au Ni maringo yake tu

    Ebwaana Eeh Kilichonikuta jana Kabla ya mkesha wa Xmass Ni balaa! Kuna kimchepuko kimoja nilikipenda kutokana na kuwa ni kizuri sana na kina umbo zuri sana nikaona sio mbaya nikitongoze.. Mtoto yule nimemtongoza Ila akawa ananitolewa nje ooh Mimi nakupenda sana ila ningependa tuwe kama kaka na...
  13. Sakascom

    JamiiForums Tanzania Napenda kutoa ushauri Kwa taasisi za umma panapokuwa na changamoto au marekebisho ya kimfumo iwe inatolewa taarifa

    Napenda kutoa ushauri Kwa taasisi za umma panapokuwa na changamoto au marekebisho ya kimfumo iwe inatolewa taarifa kuwa kuanzia saa Fulani Hadi Fulani kutakuwa na jambo Fulani kwahiyo hamtakuwa hai wakati huo. Lakini Kwa sasa asilimia kubwa ya mifumo mingi ya taasisi za Umma kukiwa na...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Huduma za Uhasibu na Ushauri wa Kodi (Kudeal na TRA) - Arusha

    Mfanya biashara wa Arusha Je, biashara yako inakutana na changamoto katika kudeal na mambo ya TRA, usimamizi wa fedha, uhasibu, au masuala ya kodi? Tunatoa huduma za ushauri wa kitaalamu zinazotolewa kwa biashara katika mkoa wa Arusha. Huduma Zetu ni Pamoja na: Kufuatilia mambo yako ya TRA...
  15. kindikinyer leborosier

    JamiiForums Tanzania Naelekea kupoteza mafao yangu, ushauri wenu Wanasheria

    Habari ndugu zangu, Niende Moja kwa moja kwenye tatizo langu. 1. Mwaka 2017-2019 niliajiriwa sehemu nikawa nalipwa ujira wangu, nilikuja kuachana nao na kujiunga na taasisi nyingine, Hawa maboss wangu waliniahidi kiasi Fulani Cha fedha wanapeleka NSSF lakini hawakuwa wakifanya hivyo, na kibaya...
  16. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Tatizo la CHADEMA ni kukosa wazee wa ushauri ndiyo matokeo ya kinachoendelea sasa

    TATIZO LA CHADEMA NI KUKOSA WAZEE WA USHAURI NDIO MATOKEO YA KINACHOENDELEA. Utakubaliana na mimi kwamba chama kikubwa cha siasa aina ya Chadema ambacho uhai wake ni zaidi ya miaka 30 kukosa wazee wa Ushauri ni aibu na ndio matokeo ya minyukano inayoendelea kipindi hiki cha Uchaguzi wa wao wa...
  17. Surya

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Asanteni Kwa Ushauri, Mtego ulikuwa kweli.

    Kiukweli ningefanya maamuzi ya kukurupuka, huwenda kwa sasa ningekua na adui moyoni ambaye kala vya kwangu na kukimbia.. https://www.jamiiforums.com/threads/msaada-wa-mbinu-ya-kuluka-mtego.2287176/ Baada ya washauri kuniambia ni achane na huyo pasua kichwa hakupendi, basi nikaamua kufunga...
  18. T

    JamiiForums Tanzania USHAURI WA BURE: CHADEMA MSIPUUZE MAONI YA WANANCHI

    Msipuuze maoni ya wananchi. Kuna yale ya moja kwa moja na haya yanayotolewa kwenye mitandao ya kijamii. Msikilizeni pia Baba wa Taifa kwenye hii clip.
  19. Trainee

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa NMB kuhusu miamala na mikopo

    Nilichoona na kuamua kuzinduka ni kwamba ukiwa na hoja yoyote kwenda popote basi taarifa inafika vizuri, haraka na kwa uzito kupitia Jamiiforums kuliko njia zingine za kiprotokali zinazowekwa na wahusika Leo naomba NMB wachuje ushauri huu 1. Mtu akifanya miamala kwa nmb mkononi huwa mnatoa...
  20. chakii

    JamiiForums Tanzania Ushauri : Lisu imetosha kubali yaishe, Jiengue kwenye nafasi ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

    Wadau ... Nipende kumshauri mpinzani wa kweli na Muumini wa Demokrasia Mh Tundu A. Lisu kuwa ni busara kujiengua mapema kwenye kiini macho kinachosubiriwa cha uchaguzi CDM, watu ambao wanaenda kupiga Kura wanakula , wanalala kwa gharama za Mbowe. Wewe Nani atakupigia Kura japo wanafahamu uwezo...
Back
Top Bottom