ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri umetolewa kuwa, anayetaka mke bora, basi na aoe askari

  2. JamiiForums Tanzania Wape ushauri dereva na utingo wake!

    Hawa jamaa derva na utingo wake, wamechoka kufa mtu. Hebu wape ushauri wa bure!
  3. C

    JamiiForums Tanzania Wenye ujuzi naombeni USHAURI wa jambo hili.

    Mi nataka kweny tasnia ya maafisa usafirishaji lkn nna changamoto kadhaa hivyo ningependa kupata USHAURI kutoka kwenu Kwanza kabisa mi ninajua kuendesha pikipiki lakini sina leseni. Sasa kuna mahali NAFANYA kazi lakini ndo hivyo kipato ni cha kudunduliza, nimejimake nna akiba kama lak 8 hivi...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Derby ya Kariakoo, huu ndio ushauri wangu kwa TFF na Bodi ya Ligi

    Kumekuwapo na mvutano mkubwa sana kati ya TFF, Bodi ya Ligi kwa upande mwingine na Yanga na Simba kuhusu Dabi ambayo ingechezwa tarehe 8 Machi, 2025. Ninaishauri TFF na Bodi ya Ligi kuwa kuanzia sasa kifungu kinachotamka kuwa timu ngeni iruhusiwe kufanya mazoezi kwenye uwanja wa timu mwenyeji...
  5. JamiiForums Tanzania EPUKA ADHABU KWA KUFANYA MAKADILIO KODI KABLA YA KUVUKA 31/03/2025

    Habari wakuu, Napenda kutumia fursa hii kama mshauri wa biashara kwenye eneo la kodi, uhasibu, ukaguzi, kufuata sheria(Business compliances) na ufanikishaji wa biashara (Business facilitations). kwa wafanyabiashara wote kufanya makadilio ya kodi kwa mwaka fedha wa 2025 kabla kupita tarehe ya...
  6. JamiiForums Tanzania EPUKA ADHABU KWA KUFANYA MAKADILIO KODI KABLA YA KUVUKA 31/03/2025

    Habari wakuu, Napenda kutumia fursa hii kama mshauri wa biashara kwenye eneo la kodi, uhasibu, ukaguzi, kufuata sheria(Business compliances) na ufanikishaji wa biashara (Business facilitations). kwa wafanyabiashara wote kufanya makadilio ya kodi kwa mwaka fedha wa 2025 kabla kupita tarehe ya...
  7. JamiiForums Tanzania Epuka adhabu kwa kufanya makadilio kodi kabla ya kuvuka 31/03/2025

    Habari wakuu, Napenda kutumia fursa hii kama mshauri wa biashara kwenye eneo la kodi, uhasibu, ukaguzi, kufuata sheria(Business compliances) na ufanikishaji wa biashara (Business facilitations). kwa wafanyabiashara wote kufanya makadilio ya kodi kwa mwaka fedha wa 2025 kabla kupita tarehe ya...
  8. N

    JamiiForums Tanzania USHAURI KWA WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI

    Naomba kutoa ushauri wangu kwa waziri wa Mifugo na Uvuvi kuhusu upungufu wa samaki ziwa victoria , Tanganyika na ziwa Nyasa . 1. Umuhimu wa uvuvi. Kama tunavyofahamu uvuvi ni biashara kubwa sana kwa wakazi wa pembezoni mwa maziwa yote makuu , nchi zingine hadi kwenye mito, Tanzania tuna bahati...
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri hotpot ambazo hazipozi

    Ndungu naombeni ushauri ni hotpot gani ambazo hazipozi kwa masaa zaidi ya 8
  10. JamiiForums Tanzania Kuipunguza damu ni kuchangia tu au kuna njia nyengine?

    Rafiki zangu nimerudi tena nimeenda hosptal nimepima vipimo wakaniambia nina damu nyingi ambayo ni 17.1 amenambia ndio chanzo naumwa na kichwa pia najiskia vibaya,naomba ushauri kuipunguza damu ni kuchangia tu au kuna njia nyengine?
  11. K

    JamiiForums Tanzania NINA USHAURI KWA SERIKALI ZETU ZINAZOCHANGIA MAJI YA ZIWA VICTORIA

    Serikali ya Tanzania, Uganda na Kenya wote ni wanufaika wa maji ya Ziwa Victoria. Mito yote ya Kanda ya Ziwa na mito yote ya Uganda na Kenya inamwaga maji yake Ziwa Victoria na hatimaye maji hutiririka kupitia Mto Nile hadi Mediterranean Sea. Maji yanayotoka Ziwa vcictoria hupita nchi ya...
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri wa Wananchi wa Jimbo la Moshi Manispaa kwa Mbunge wao

    Wananchi wa Jimbo la Moshi kwa ujumla wamewasilisha maoni yao kuhusu uongozi wa mbunge aliyepo madarakani. Wameeleza wasiwasi wao na kumshauri asichukue fomu kuomba kugombea tena ubunge kupitia CCM. Sababu za ushauri huu ni nyingi na zinaashiria kutokubalika kwa mbunge huyo katika jamii...
  13. JamiiForums Tanzania HUDUMA ZA BILA MIPAKA-TUNAKUFIKIA POPOTE ULIPO TANZANIA

    Tuanze kwa kuwashukuru makampuni(Companies), Ubia (Partnerships), Biashara binafsi(Sole proprietors) na Taasisi zisizo za kiabishara (Not for profit entities) kwa kutupa fursa na ushirikiano wa kufanya kazi, tunawahakishia siku zote tutafanya kazi kwa uaminifu na kitaalamu ili kuhakisha ustawi...
  14. JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Usajili wa Biashara ya Ushauri Tanzania

    Utangulizi Urasimishaji wa biashara nchini Tanzania ni hatua muhimu kwa wajasiriamali wanaotaka kukuza shughuli zao na kuhakikisha wanaendesha biashara zao kwa mujibu wa sheria. Kwa mtaalamu wa ushauri ambaye anapata wateja wengi na mapato yanayoongezeka, kurasimisha biashara sio tu kunampa...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ma brother wa miaka 35+ hebu tupeni wadogo zenu, ushauri wowote wa kuhusu maisha

    Ma brother wa kuanzia 35+ najua nyinyi tayari ni watu wazima na mme pitia mengi kwenye haya maisha. Hebu tupeni ushauri wowote iwe kwa uzoefu au Kama angalizo litakalo tufaa wadogo zenu. Iwe kiuchumi, mahusiano, elimu, au vyovyote itakavyo kuwa poa. I mean no malice to nobody.
  16. JamiiForums Tanzania Ukiona mtu anayefanyakazi mgodini(Miner) anatumia hela zake, punguza ushauri na wivu

    Wakuu Ni Vyema Na Haki ushauri wako ukajikita zaidi katika kujenga na kuboresha Familia yako. Sio sahihi kutoa ushauri kwa mtu usiyekuwa na mchango wowote ule katika uchumi wake kama hajakuomba umshauri. Nitajikita sana kwa wafanyakazi wa mgodini maarufu kama Miner.Hawa watu wanasemwa sana...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimegundua mtu anapokuja kukuomba ushauri wa mahusiano unakuta anataka umuelezee yote ili apate faraja tu ila sio kugusia yeye kuachana na huyo mtu

    Yani mtu akija kukuambia maswala yake ya kimapenzi ujue tu anataka faraja ya kuwa huyo wanaezinguana nae labda anaweza kubadirika ila ukimwambia ukweli kwa jinsi kete zilivyo unaelekea kuliwa, unakuta mtu anakukubalia kishingo upande alafu alnarudisha masheji. Ndio maana watu walisema mapenzi...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mchumba wangu anataka kunipeleka kwa Mchungaji wake kabla

    Mwaka huu tuna mpango wa kufungw ndoa na huyu mpenzi wangu na tulikubaliana nitume mshenga apeleke posa kwao, Sasa naona amekuja na hoja kwamba kabla ya yote anipeleke kwa Mchugaji wake wa miaka mingi na ana muhamini sana huyu mchugaji wake kwa maono ya mambo ya Nyuma ya pazia, je ni sahii...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Wakuu habari za wakati huu,natumaini mpo salama. Mtanisamehe,mimi sio mwandishi nzuri. Wakuu nina changamoto ambao nimeshindwa kulitatua hivyo nahitaji msaada wenu. Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Kilimanjaro,nimekuwa nikipitia vipindi vigumu sana kiuchumi,ni mengi ninayapitia...
  20. JamiiForums Tanzania Kijana anaomba ushauri

    Ana shida na milioni mbili akafanye biashara ana uzoefu nazo lakini kuipata hio pesa ni mtihani ana shamba heka kumi amekosa wateja ili apate mtaji. Wazo lake akachukue pikipiki ya mkopo marejesho ni laki tatu kila mwezi kwa miezi 15 jumla milioni 4.5,akishakopa aiuze kwa shs milioni mbili na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…