ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu nini cha kusoma ngazi ya Shahada

    Habari wanajukwaa Naomba ushauri wenu hapa Kuna mdogo wangu ananiomba ushairi kati ya Architecture technology au ualimu wa mathematics na economics unaweza mshauri huyu dogo asome coz gani kati ya hizi
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri: Uume wangu unatoka ute ute

    Jamani naomba ushauri, nikisimamisha uume haya kidogo tu vinatoka vi ute ute kama maji mazito kama matone, nifanyaje kuzuia hiyo hali?
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri gani ukipewa unaona ushauri wa kifala? Hascana

    Mtangazaji: Kwako ni ushauri gani ukipewa unaona ushauri wa kifala? Hanscana: Kuoa! Mtangazaji: Kwa nini? Hanscana: Mtu anakushauri uoe utafikiri ni lazima. Ukiuliza kwa nini nioe? Unaambiwa eti ni utamaduni toka enzi za mababu! Sasa kwani mimi ni babu? Kama ni utamaduni maana yake...
  4. JamiiForums Tanzania Naombeni Ushauri wakubwa: Nina mpango kuoa Binti wa Kimeru Dada yake Maghayo

    Moja kwa moja . Mimi ni kijana wa Kiume umri miaka 24 nipo Dar , Moja kati ya ndoto zangu kubwa katika maisha ni Kufunga ndoa kwani naamini ni katika njia kuu ya kujizuia na zinaa , kujenga heshima na kuishi maisha Bora ya kiuwanadamu na kujenga familia imara pamoja ya yote ndoa ni ibada kubwa...
  5. JamiiForums Tanzania Kati ya TIA, CBE na IFM

    Kati ya IFM- Insurance and Risk Management TIA- Business administration CBE- Banking and Finance Kati ya hvyo vyuo na hzo courses ni chuo gani niende guys naombeni na reason Ila nina diploma ya insurance and Risk management kutoka IFM
  6. F

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wagombea Urais wawe wabunifu kwenye hotuba zao, waache kurudia rudia sera zao

    Ni siku chache zimepita tangu Kampeni za kutafuta Kura za Urais, Ubunge na Udiwani wanapokuwa katika majukwaa wanakuwa wanarudia sana Sera zao ambazo nyingi zimezungumzwa awali na watu wengine Ushauri wangu wawe wabunifu zaidi watasikilizwa na hatimaye watapata kura za kutosha
  7. JamiiForums Tanzania Pombe inanitesa toka juzi nilichanganya pombe kali,na Mabia

    Wakuu habari, Pombe inanitesa toka juzi nilichanganya pombe kali,na Mabia yani nipo kitandani tu hapa sielewi kichwa kina mawenge ndoto za ajabu ajabu, Wazoefu mtupe mbinu jamani nini chakufanya kurudi kwenye hali ya kawaida NATAMANI NIACHANE NAYO KABISA HII KITU NATESEKA MNO SIKU YA 3 LEO...
  8. JamiiForums Tanzania Wanaume waliojipata kimaisha. Kitu gani kinafanya sisi wengine tuchelewe kufanikiwa? Tunaomba ushauri wako

    Wanaume waliojipata kimaisha. Kitu gani kinafanya sisi wengine tuchelewe kufanikiwa? Tunaombaushauri wako utatusaidia na sisi tunaojitafuta. Najitajidi kufata kanuni zote za biashara na kanuni za biashara lakini hakuna hatua. Kitu gani kinatufanya tusifanikiwe?
  9. JamiiForums Tanzania Kipato cha Tsh. 3000 kila siku ni poa au napoteza muda na nguvu?

    Niaje? Mimi ni mwanaume, Nina miaka 28 ,Niko single kwa 7bu ya kuogopa majukumu na matatizo zaidi. Kwa kweli siko vizuri kimaisha kuanzia pesa hadi familia.Niko singo na wala sina mpango wa kuwa na mtoto. Kwa siku naingiza sh 3000 tu. Ni kazi ya kuajiriwa ,natumia masaa 8 kufanya kazi. Sasa...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi mazoezi yanalainisha viungo vya mwili? Au ndio basi tena....

    Wananchi wa malawi hii wiki tukikaa kizembe tutafaint na hizi bandika bandua, haya tupumzike kidogo. Naandika kwa masikitiko, kwa mnaofanya mazoezi, naombeni mnijibu kwa experience na ushuhuda kabisa ili nijue niruke kichura au niache. Mi umri hapa ushasogea mwenzenu (marahaba), viungo vya...
  11. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Wanawake na pia Wanaume. Jambo hili litakomesha yasiyofaa

    Nawashauri katika kubalance shobo na mambo mambo kwenye mahusiano. Ikitokea mwanaume ameomba papuchi nawe lipiza omba mjiti/skinned pipe. Hapo hutasikia mwanaume akilalamika kuwa una tabia za hovyo au unajiuza. Na mwanaume pia ukiombwa pesa nawe omba pesa. Ili mtu ajifunze kutoomba kitu...
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Chadema kuelekea 2030

    Hongera Sana CHADEMA na pia poleni Sana na changamoto mnazopitia . Mimi kama mwananchi, nimeona niwape ushauri ambao unaweza kuwapeleka nchi ya ahadi ikulu . Kwa hapa mlipofika mmekwama kisiasa ,mnabidi kukubali ukweli huu. Nini mnabidi kufanya ? Tengenezeni kizazi kipya ambacho kitakuwa na...
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa ACT na sarakasi la Msajili wa vyama: waitishe haraka mkutano mkuu utakaobadili kanuni za chama chao na kumteua tena Mpina kuwa mgombea wao

    Hii sarakasi aliyofanya Msajili wa vyama vya siasa nchini la kumkata mgombea uraisi wa ACT Wazalendo kwa kutumia katiba na kanuni za chama hicho, mbona ni rahisi tu kwa wao ACT Wazalendo nao kuicheza hiyo sarakasi. Katiba na kanuni za chama ni mwongozo wa mkutano mkuu wa chama husika kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri wa simu nzuri kwa bajeti ya shilingi milioni moja

    Salaam Wakuu, Naombeni mapendekezo ya simu the best kwa bajeti isiyozidi tsh milioni moja [1,000,000]. Nilikuwa natumia samsung a52 5g kwa bahati mbaya kioo kimeenda. Vigezo navyozingatia ni storage (8+256) and above ,powerful chip, camera nzuri,kioo,fast charge capacity muonekano.Nimekuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Nyuma ya ukosoaji na ushauri unaotolewa na Wananchi kwa Serikali ndipo pa kuangaliwa kwa kina.

    Kumekuwa na wimbi kubwa la washauri na wakosoaji wa masuala mbalimbali yanayofanywa na Serikali jambo ambalo linaloteteresha utangamano wa Kitaifa. Tumeshuhudia Wazee ambao kwa kweli ushauri wao ni muhimu wakishauri kwa kukosoa au wakishauri vijana kukosoa pale wanapoona kuna ukakasi...
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa yeyote anayefikiria kuingia katika ndoa

    Kama tendo la ndoa halina maana kwako, basi ndoani sio sehemu yako. Katika ndoa, tendo la ndoa sio hiari - ni msingi. Ikiwa unapenda kutenga pesa zako peke yako, basi baki mseja daima. Ndoa ni maono ya pamoja, pochi ya pamoja, na dhabihu ya pamoja. Ikiwa unawapenda wazazi wako zaidi...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure: Kwa tuhuma nzito hizi za Polepole kukuhusisha wewe, mstaafu Kikwette, staafu siasa, sasa na hadharani!

    Umekuwa huku, umekuwa kule: Umekuwa ni mstaafu asiyestaafu? Kwamba chaguzi zimekuwa zikiibiwa chini ya uangalizi wenu! Kwa hakika wewe na CCM kwa ujumla wenu mmetukosea sana. Angalia ya stadium Mkapa na Morocco, yanakupa furaha gani wewe? Nyerere alikuwa huyu: Mheshimiwa, kumbe wewe...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri. Kupata stahiki zangu za kuachishwa kazi kutoka NSSF

    Habari wana jukwaa wa jf. Mimi naomba ushauri juu ya swala langu kama ifuatavyo. Kuna kampuni nilikuwa nafanya kazi kwa kipindi cha miaka minne sasa mpaka ilipofika tarehe 11/7/2025 nilipoachishwa kazi kwa kosa la upotevu wa mafuta Lita 20 kwa kuambiwa nimeweka Lita 60 badala ya Lita 80 ambazo...
  19. JamiiForums Tanzania Humu itafika kipindi tutaogopa kueleza matatizo yetu ili kupata ushauri au msaada

    Ni kweli kabisa! Kwa tabia hizi za kulipuana na kufukua makaburi itafika kipindi hata kama una shida wahitaji msaada utashindwa kuleta humu jukwaani Ni hayo tu
  20. JamiiForums Tanzania Uchawi wa Kisasa : Je, Ushauri wa Kupata Mpenzi Unafanya Kazi?

    Nilitumia mbinu ya uchawi wa kisasa(Hyposis) kutoka kwenye YouTube kwa wiki moja. Nimekuwa nikikuta video mbalimbali za wanaume na wanawake wakitoa " Ushauri wa Uchawi ". Mfano, mbinu za kuongea, Kutoa Mapendekezo ambao ni ngumu kukataliwa. Mazoezi ya kujenga ujasiri, Hata " miiko" midogo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…