ushairi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Tanzania Ushairi

    UKIMWITA MAMA ATAITIKA? 1 Kuna hii nasikia, ati mjomba ni mama Hii ndio nashangaa, hivi nani alisema? Kila nikifikiria, n'ona moyo waniuma Hivi ukimwita mama, ya kweli ataitika? 2.Mama mzazi wa kike, kamusi imeeleza Shida ni kwa kaka yake, waja wakajiongeza Ni huzuni tusicheke, si kitu cha...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Jina lake ni ushairi na ni milele

    . Aliitwa Phillis, kwa sababu hilo lilikuwa jina la meli iliyomleta, na Wheatley, ambalo lilikuwa jina la mfanyabiashara aliyemnunua. Alizaliwa Senegal. Akiwa na miaka kumi na tatu, tayari alikuwa akiandika mashairi katika lugha ambayo haikuwa yake. Hakuna aliyeamini kuwa yeye ndiye...
  3. nentewene

    JamiiForums Tanzania Tungo: Acha tamaa za paka

    acha tamaa za paka, kuparamia majirani. roho ikakutoka, vya watu kuvitamani. mchana umeokoka, usiku hayawani. kila mtu wamtaka, umtupe kitandani. hebu punguza mizuka, na uache uhuni.
  4. nentewene

    JamiiForums Tanzania Tungo: Naogeshwa kwa iliki.

    naogeshwa kwa iliki..nafukizwa kwa ubani.. nisiwe mnaafik..ananipenda si utani.. mtoto shokishoki..anatokea visiwani.. tena amejikoki..haniachi asilani.. penzi lake mshikaki..lina tamu milioni.. mie ndani sitoki ..nimeganda kama lami..
  5. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Nipe like kidogo kwa ushairi huu

    Ukweli ni kwamba waomba ajira ndo wengi juu, Kuliko wanaopambana ili wajiajiri tu! Unaweza miliki pesa ukakosa uhuru juu, tambua huru ndo UTAJIRI pekee huku juu. Mtu akishapata nafasi uku juu, ujikuta anajipa ukuu, atambui atabaki mmoja tu, Na ndo mwenye hukumu na uwezo wa hali ya juu. Mungu...
  6. Vigo Mnyama

    JamiiForums Tanzania Nataka kusoma course ya Fine Arts and Design naomba ushauri

    Niko combination ya science nataka nikasomee Bachelor of fine art and design.. Ninakipaji cha kuchora.
  7. daraja la kigamboni

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu wataalam wa Smartphone kati ya hizi simu

    Baada ya kutumia smartphone za makampuni mbalimbali I. e Nokia/Lumia Samsung/Galaxy S6 Tecno/H6, wx3, F1, J8 ... Xiaomi/Redmi note 8,na sasa natumia note 10 Naomba ushauri kati ya hizi OnePlus Ace Realme GT Neo 3 Galaxy S10 used Bei zinalingana tu
  8. R

    JamiiForums Tanzania SoC01 Shairi: Hili Neno "Ukatili"

    Salaam! Utenzi huu unabeba dhima ya neno "Ukatili" ambalo limekuwa likitajwa sana, lakini watu wengi wameshindwa hasa kuelewa neno hilo lina maana gani. Shairi hili lipo katika mtindo wa masimulizi kuhusu matukio ya ukatili yanayotokea ndani ya familia, ambapo mabinti yatima mapacha waliokuwa...
  9. A

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ushairi: Kulinda maadili na kupinga udhalilishaji

    Kutokana na kukithiri kwa udhalilishaji na kuyasahau maadili yetu . Nimeamua kuja na makala ya ushairi yashajihishayo kulinda maadili na kupinga udhalilishaji TUYALINDE MAADILI KUPINGA UDHALILISHAJI Bismillahi awali ninaandika shairi Naandika bila ukali maneno yangu mazuri Naituliza akili...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia lazima awe Mwenyekiti CCM

    CCM HUWA IMARA ZAIDI INAPOTISHWA KIFO Na Philipo Mwakibinga. 0758910403. Ndugu zangu Wana wa CCM Kidumu Chama Cha Mapinduzi! Nawasalimu kwajina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Naomba niendelee kusisitiza kuwa lazima tuendelee kusimama imara kama sote tunaamini Mungu na tunapokea kila...
  11. Mrdeom

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili niweze kuandika kitabu?

    Salaam wanajukwaa , naitwa omary mkazi wa iringa, ninaweza kuandika mambo yanayohusu fasihi(ushairi, riwaya,tamthiliya na hadithi fupi), sijawahi kufanikiwa kuandika kitabu lakini naishia kuandika tu kwenye madaftari, Ila ndoto yangu nije kuandika vitabu vingi sna na visomwe na watu ,Sasa...
  12. nentewene

    JamiiForums Tanzania Mapenzi si umri

    Kyij
  13. nentewene

    JamiiForums Tanzania Mapenzi miaka ya 90

    Kkk
  14. nentewene

    JamiiForums Tanzania Mke anapokua kitandani

    Ghj
  15. nentewene

    JamiiForums Tanzania Nataka demu mpole

    Ok
  16. nentewene

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza ukiimsubiri demu mliojuana mitandaoni.

    Ok
  17. Filipo Lubua

    JamiiForums Tanzania Tumefikia Utimamu wa Uwazimu

    Twajaa utimamu wa uwazimu, bila dhima twamhukumu imamu Huzunini twajifanyia karamu, Ramadhani twabugia kharamu Wenye wehu tumewapa hatamu, dhiki yetu itadumu dawamu Maumivu yatujia kwa jamu, watoto wetu watatulaumu Isikize yangu nudhumu, niambapo kwa yangu taalimu Niseme hilaze bin-Adamu...
Back
Top Bottom