Nataka demu mpole

Usijitie ulamba mwiko,yatakukuta mazito!
Sio mchezo wa Biko,utampata kwa mshiko!

Unyumbu watakunyumbua,usipone kwa mvua!
Jeraha wataliibua,tukulishe kwa pua!

Tuliza limoyo lako,ukome kivyako
Funga bakuli lako,wapole watakutoa kimaso!.
 
Usijitie ulamba mwiko,yatakukuta mazito!
Sio mchezo wa Biko,utampata kwa mshiko!

Unyumbu watakunyumbua,usipone kwa mvua!
Jeraha wataliibua,tukulishe kwa pua!

Tuliza limoyo lako,ukome kivyako
Funga bakuli lako,wapole watakutoa kimaso!.
mh
 
nataka demu mpole, ila mtata kitadani.
Nje kolekole, mwenye kupenda utani.
asiependa kelele, nakushida vijiweni.
asiwe kimbelembele kama anaoga uwani.
mwenye mapenzi tele, kama mtoto wa pwani.
Ukimpata nitag...
 
Mimi nitamsumbua mimi sio mpole
Okay.. Basi mi napenda wakorofi Kama weye natumai nitaipata nafasi maana bwana wa majeshi kateta nami nakunionyesha uwaridi weye,nami ni nani mpk nilipinge neno la bwana..?!

Nipe moyo wako niufutike kwa huba.. nikuvishe na taji uwaache wenye kuruba..😉
 
Back
Top Bottom