used

  1. nipo online

    JamiiForums Tanzania Nimenunua decoder used inanisumbua (inapoteza software)

    Ya DSTV mafundi wanadai kwa sababu ilitumia kitambo ndio maana ilipoteza software, inaandika booting waiting for some times. kila mara booting, naomba ushauri nirudishe au kama inatibika, nimepiga simu niliko nunua kasema nisikilizie kwanza labda kitaretrive
  2. willy ze great

    JamiiForums Tanzania Natafuta compressor used

    Natafuta compressor used ya kutumia engine ya diesel zile za migodi midogo.
  3. Hot27

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenye feni aina ya LOFIDA (mpya au used) tuongee biashara

    Habari wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji feni aina ya LOFIDA mfanano kama hio pichani. Kwa mwenyenayo naomba tuweze zungumza na kuelewana. Mimi nipo Buguruni, Dar es salaam.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Bajaji used TVs no D zinauzwa bei nzuri zipo Dar

    Bajaji Tvs no DGK inauzwa , kwa sasa IPO inafanya kazi mbezi Bei 3M Contact: 0675336219
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nauza Gari used na container

    Habari.. unahitaji kununua gari used au mpya chassis no na hujui utapata wapi kwa Bei nzur? Gari ninazouza bado ziko vzr mpya na zmetunzwa vzr.Je unahitaji container za 20ft na 40ft zenye VAT na bila VAT? karibu nikuhudumie +255764423726
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nauza container na used car

    Habari.. unahitaji kununua gari used au mpya chassis no na hujui utapata wapi kwa Bei nzur? Je unahitaji container za 20ft na 40ft zenye VAT na bila VAT? karibu nikuhudumie +255764423726
  7. C

    JamiiForums Tanzania Tunauza used kontena (Used shipping container)

    Tunauza Used Kontena (used Shipping containers) hapa dar es salaam unaweza kutupigia 0674252659
  8. presider

    JamiiForums Tanzania Nanunua Genetator mbovu au Used kuanzia kva 10 had kva 2,000

    Nanunua Generator Mbovu au Used kuanzia 10kva to 2,000 kva. Npo Tabata Dar es salaam. Lakn nnafika popote kununua Mali. Kwa mawasiliano zaid ntafute kwa namba 0693296809
  9. Barakha John

    JamiiForums Tanzania Matatizo/Mambo 7 Ya Kukagua kwenye Simu Used Kutoka Dubai , Uk , USA Kabla ya Kununua Kwenye Maduka ya Kariakoo.

    #Mwanakidigitali utajisikiaje umetoa pesa yako kununua simu kisha ukauziwa simu yenye matatizo kibao. Moja kati ya hofu ya Wateja wengi kutoka Tanzania wanapotaka kununua simu / Laptop used kutoka Dubai ni kuuziwa bidhaa zenye shida kedekede na pia bidhaa feki. Nimekuwa kwenye soko la...
  10. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Jaman mbona magari used yameshuka sana bei sikuhizi nini shida

    Wakuu sikuhizi gari used zimeshuka sana bei shida nini ? Au mimi ndio sielewi yaaan unaweza kuona crown namba dz inauzwa 9m Au Ist ds mil 10 kipind chanyuma bei zilikuwa zimechangamka sanawakuu
  11. Sauti ya amani

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Toyota Probox used Nina 5.5M 0749442229

    Mwenye hyo gari nitafute ukiwa dar itapendeza zaidi
  12. C

    JamiiForums Tanzania Nanunua simu used

    Habari, natafuta simu, kwa yeyote aneuza simu yake anicheki. Bajeti yangu mwisho 200,000 Nicheck whatsapp 0622905303 Kampuni yoyote we njoo na sim yako inbox. Ahsante Muuzaji uwe dar
  13. P

    JamiiForums Tanzania Milango ya mninga au mkongo used au mipya

    Habari zenu wanaJF Kama kichwa cha habari, naombeni mwenye used au mipya milango na frame zake kama naweza kupata kwa bei nafuu, nipo Dar ES SALAAM mbezi kavu au kibamba. Asanteni
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nauza Gari used na container

    Habari.. unahitaji kununua gari used au mpya chassis no na hujui utapata wapi kwa Bei nzur? Je unahitaji container za 20ft na 40ft zenye VAT na bila VAT? karibu nikuhudumie +255764423726
  15. E

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza Slightly Used Laptops

    Hp Dragon🐉 Fly Mnyama🥶 Kwa Offer Price: 1,280,000/= tu✅ badala ya ❌1.5M❌ Super slim laptop with 99% metallic strong body structure💪 Core i5✅ Ram 8GB✅ Ssd 256GB✅ Processor based 1.9GHz and Turbo 3.0GHz✅ TouchScreen and x360’✅ Generation 8✅ Backlight keyboard✅ Kioo inches 13.3🔥 Fingerprint✅...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza Laptops Used Clean as New

    Hp Elitebook x360 830 g8 , Core i5-11th Gen, Ram 16gb, Ssd 256Gb, Display size 13.3” , Touchscreen x360 , Backlit Keyboard, Price 1,550,000/= CALL/SMS/WHATSAPP 0683731404 MAWASILIANO BUS STAND
  17. Rubo Motors Tanzania

    JamiiForums Tanzania Agiza Used SANY Min Excavator SY60C

    Used SANY Excavator SY60C Operating weight 6,100Kg Bucket: 0.22Cubic Meter Bei: 91,000,000/= pamoja na usajili. Malipo ya awali: 66,000,000/= Malipo ya pili: 25,000,000/= Mashine ipo China Inachukua wastani wa siku 45 kufika Tanzania Ofisi ipo Buhongwa, Mwanza Piga/What's up: 0757930069
  18. kimara Kimara

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kununua usafiri kwa mtu (used) kunaweza kuwa na mikosi ya kupata ajali?

    Habarini Waungwana, kutokana na changamoto ya usafir, ivi Karibuni nilimshirikisha rafiki yangu kua nataka nijichange ninunue Pikipk used, TVS (angalau namba D). Yeye alishauri Bora ninunue MPYA. Aliniambia Used sio Nzuri, zinaweza kua ma mabaa ama mikosi, Hujui kwanini ameiuza huenda imegonga...
  19. ADESIGN

    JamiiForums Tanzania Nauza tv used, inches 43, Moelectro ni smart tv bei 300,000

    Nauza tv used, inches 43, Moelectro ni smart tv bei 350,000 namba yangu ni 0684101707
  20. Haruni Kassian Kadege

    JamiiForums Tanzania Je Biashara ya Simu used inalipa?

    Naomba Kupata Experience Ninatakiwa Kuwa na Shilingi Ngapi Kuuanzisha Biashara ya Simu Used From another Country? Faida Yake Ipoje? Na Changamoto Zake? Ahsante Sana!
Back
Top Bottom