usawa

Lawndale is a town in Cleveland County, North Carolina, along the First Broad River. The population was 606 at the 2010 census.

View More On Wikipedia.org
  1. SoC03 Kupambana na Ufisadi: Kichocheo cha Mabadiliko

    Utawala bora ni lengo linalotamaniwa na kila jamii inayotamani maendeleo na ustawi. Ni msingi wa uongozi unaojali haki, uwajibikaji, na ushirikishwaji wa wananchi katika mchakato wa maamuzi. Kuleta mabadiliko katika nyanja zote za utawala bora ni changamoto kubwa, lakini pia ni fursa adhimu kwa...
  2. Kampeni ya Rais Samia ya msaada wa kisheria kuleta usawa nchini

    Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Sarah Mwaipopo ameiwakilisha Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali (OWMS) kwenye uzinduzi wa Kampeni ya Mama Samia ya Msaada wa Kisheria iliyozinduliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango mjini Songea yenye kauli Mbiu isemayo...
  3. K

    SoC03 Mizani ya usawa

    Takwimu nyingi sana zimefanyika kuonesha idadi ya wasomi wenye sifa za kupata ajira zimeongezeka kwa kasi kubwa sana mwaka hadi mwaka na hii imepelekea awsomi kuwa wengi sana mitaani huku idadi ya wanaopata ajira za kudumu au za muda mfupi katika serikali kuwa ni chache kulingana na idadi ya...
  4. SoC03 Ubunifu kwa usawa

    Sera ya Taifa ya TEHAMA ya Tanzania (2016) inasasisha mkakati wa serikali wa 2003. Inalenga kuimarisha uongozi na kukuza mtaji wa watu katika nyanja hii, huku ikipanua utoaji wa mtandao wa kutegemewa. Kuanzia mwanzoni mwa 2021, kuna mipango ya kuanzisha shirika la uidhinishaji kwa wataalamu wa...
  5. SoC03 Usawa wa Jinsia, Haki za Wanawake, Watoto, Vijana, na Wazee Tanzania

    Tanzania ni nchi yenye idadi kubwa ya watu, takriban watu milioni 57. Kati ya idadi hiyo, wanawake wanaunda asilimia 51. Hata hivyo, wanawake nchini Tanzania bado wanakabiliwa na changamoto nyingi, ikiwemo: Ukosefu wa usawa wa kijinsia katika elimu, ajira, na siasa. Ukatili wa kijinsia, ikiwa...
  6. SoC03 Haki na Uhuru: Changamoto za Kupigania Usawa katika Jamii

    HAKI NA UHURU: CHANGAMOTO ZA KUPIGANIA USAWA KATIKA JAMII Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Katika jamii yoyote ile, haki na uhuru ni mambo muhimu sana katika maendeleo yake. Hata hivyo, kufikia hali hiyo si rahisi kama inavyoonekana. Kumekuwa na changamoto nyingi katika kupigania haki na...
  7. SoC03 Usawa Wa Jinsia, Jamii Yenye Nguvu

    USAWA WA JINSIA, JAMII YENYE NGUVU Imeandikwa na: Mwl.RCT HISTORIA YA USAWA WA JINSIA Usawa wa jinsia ni suala ambalo limekuwa likijadiliwa kwa muda mrefu katika historia ya binadamu. Harakati za usawa wa jinsia zilianza kupata umaarufu duniani kote katika karne ya 19 na 20, wakati wanawake...
  8. SoC03 Mikataba Yenye Usawa: Jinsi ya Kulinda Maslahi ya Nchi

    MIKATABA YENYE USAWA: JINSI YA KULINDA MASLAHI YA NCHI Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI: Mikataba ni sehemu muhimu ya uhusiano kati ya nchi na nchi, au kati ya nchi na makampuni. Mikataba inaweza kuwa na athari kubwa kwa uchumi, maendeleo na ustawi wa nchi. Kwa hivyo, ni muhimu kuhakikisha...
  9. Kwanini hakuna usawa Ujenzi wa Majengo ya Shule, Kati ya Tanganyika na Zanzibar?

    Majuzi kati hapo nilifika kisiwani Unguja nilishangaa sana kupita huku na huko katika pilika pilika za maisha. MADA; Ukweli Zanzibar pamoja na sensa iliyopita kuonyesha kuwa na watu 1,8mil ambao kwa muktadha wa wingi wa watu na waliopo Tanganyika ni chini ya mkoa wa Manyara yenye watu 1.9mil...
  10. Ludovick Utouh: Hakuna usawa wa Mihimili, Serikali Kuu inafunika Mihimili mingine

    Akizungumza katika Mjadala wa Uwajibikaji na Bajeti, Utouh amesema licha Katiba kueleza kuwa Mihimili 3 (Serikali, Bunge na Mahakama) iko sawa, kiuhailisia haiko hivyo na hali hiyo imedhoofisha Uwajibikaji na Utendaji wa Mihimili mingine. Amesema ili kuwepo kwa Uwajibikaji na Utawala Bora...
  11. Kuongeza Kazi Zenye Hadhi/Staha ni Muhimu Katika Kupunguza Pengo la Usawa Duniani

    Kazi zenye hadhi/staha (decent work) ni kazi zinaofuata misingi ya haki, usawa, usalama, na fursa za maendeleo kwa wafanyakazi. Mpango wa Kazi zenye Hadhi ni wazo lililopendekezwa na Shirika la Kazi Duniani (ILO) na linalenga kuhakikisha kuwa kila mtu anapata kazi bora na inayostahili, ambayo...
  12. Haki za Binadamu ni Muhimu Kulindwa kwani Zinahakikisha Usawa, Heshima, na Hadhi ya kila Mtanzania

    Haki za binadamu ni msingi muhimu katika maendeleo na ustawi wa jamii. Ukiukaji wa haki za binadamu si jambo la kuchukulia mzaha, na inahitaji tahadhari na hatua thabiti. Katika muktadha wa Tanzania, takwimu zinaonesha umuhimu wa kukabiliana na suala hili kwa dhati. Katika Ripoti ya Haki za...
  13. SoC03 Natamani viongozi wote wangekuwa na mimi utotoni

    Usichomoe! "Nimekwambia usichomoe kabla haijafika mwisho, aya irudishe alafu upunguze sauti kidogo saivi ni usiku tusisumbue majirani" Muda wote huo baba kwani huchoki? "Hapana hadi ifike mwisho ndo nitakuruhusu uichomoe" Hayo...
  14. Asanteni kwa kusikia kilio chetu cha foleni Mwenge asubuhi. Jioni pia ruhusuni magari kwa usawa pande zote

    Ndugu zangu kwema? Kama kuna jambo zuri limefanyika sio mbaya tukipongeza. Barabara ya Mwenge kama mwezi hivi umepita kulikuwa na tabia ya magari yanayotoka Tegeta kupendelewa zaidi kwa kuruhusiwa kupita barabara zote. Soma: Adha ya foleni katika makutano ya barabara ya Mwenge Pamoja na...
  15. Watanzania wengi wanaamini Rushwa ni kikwazo cha Haki na inachangia kutokuwepo kwa Usawa

    Rushwa ni tatizo kubwa nchini Tanzania na inaathiri maeneo mbalimbali, ikiwemo sekta ya umma, miundombinu, afya, elimu, na biashara. Hali ya rushwa nchini inaweza kuelezewa kama changamoto inayosababisha ukosefu wa uwazi, upendeleo, na matumizi mabaya ya rasilimali za umma. Rushwa inapunguza...
  16. Ile harufu Kali ya Kinyesi iliyoko usawa wa Hostels za Magufuli za UDSM na TCRA kwanini haitafutiwi Ufumbuzi?

    Kwa Wapanda DalaDala ( Bayankata ) Wenzangu najua hapa watakuwa Wananielewa sana tu. Ni harufu ya Kinyesi ( na inaonyesha kuna Shimo Taka ) ama la Magufuli Hostels au za TCRA limejaa hivyo linatema na kuwa Kero katika Pua zetu. Tafadhali Mamlaka ifanyie Kazi hili.
  17. Noah Saputu asisitiza usawa ajira za TAMISEMI

    NOAH SAPUTU MOLLEL - ASISITIZA USAWA KATIKA AJIRA ZINAZOTANGAZWA TAMISEMI Mbunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi Mhe. Noah Lemburis Saputu Mollel wakati akichangia bungeni katika vikao vinavyoendelea amesisitiza pawepo na usawa katika kugawa ajira pia ameiomba Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kuwa...
  18. Ajira za TAMISEMI 21,200 Kila Halmashauri Inaweza Kupata Nafasi 115 kama Zikigawiwa kwa Usawa

    MHE. EZRA CHIWELESA - AJIRA 21,200 KILA HALMASHAURI INAWEZA KUPATA WATUMISHI WAPYA 115 KAMA ZIGAWIWE KWA USAWA Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Mhe. Eng. Ezra Chiwelesa ameunga mkono hoja na kuchangia katika bajeti ya Wizara ya Ofisi ya Rais - Utumishi na Utawala Bora. Mhe. Chiwelesa amesisitiza...
  19. Ukuaji wa Sayansi na Teknolojia uzingatie Usawa pasipo Kubagua Wanawake

    Wanawake wanahitaji teknolojia kwa sababu sawa na wanaume: kukuza ujuzi wao wa soko, kuboresha fursa zao za kiuchumi, kushiriki katika kufanya maamuzi sahihi, kujitangaza kama watu binafsi au Kwa nia ya kujifurahisha tu. Wanawake wanahitaji teknolojia kushiriki katika ulimwengu wa kisasa kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…