Nimegundua kwa mara ya pili mapenzi ni upumbavu na upuuzi tu, yalishanikuta mara ya kwanza nikapuuzia na hii mara ya pili nathibitisha ni upuuzi tu!
Baada ya siku kadhaa kuwakejeleli watu hapa JF waliokuwa wakilialia kipuuzi kuhusu mapenzi na mimi yamenikuta aisee!
Unampenda mtu na kumjali na...