usaliti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jokajeusi

    JamiiForums Tanzania SoC01 Namna ya kuondoa Usaliti ndani ya ndoa

    Moja ya mambo yanayovunja ndoa za siku hizi ni ongezeko la wanandoa kutokuwa waaminifu. Usaliti unaumiza, Usaliti unaua, Usaliti ni moja ya majanga yasiyosemwa ndani ya jamii yetu yaliyomo kwenye ndoa. Ndoa ni muunganiko wa mwanaume na mwanamke, walioamua Kwa hiyari yao wakiwa na akili timamu...
  2. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Huu ni Usaliti kwa Taifa, Wahariri jitazamemi mara mbili

    Hivi kweli wahariri zaidi ya 50 mliohudhuria mkutano wa Rais Samia suluhu Hassan mmeshindwa kuuliza maswali mazito yanayotesa taifa kwa miaka mitano mizima ambayo mwenye majibu ni Rais wa Nchi ya Tanzania? Mfano hata hili la kikatiba juu ya Wabunge waliopo bungeni bila kuwa na chama cha siasa...
  3. JF Member

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Atakayefanya usaliti hata kama ni mkubwa, tutamshughulikia

    Moja kati ya maelezo ya Lissu wakati akihojiwa na kituo cha Habari huko nchini Kenya alieleza kwamba atakae fanya usaliti hata uwe mkubwa aina gani tutakushughulikia. Maelezezo haya yalitokana na kile kinachoonekana kwamba wale wabunge 19 wamesaliti Chadema na wameshawashughulikia. Haraka...
  4. ismail hassan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wake za watu mna nini?

    Kumekuwa na wimbi kubwa sana siku hizi kuhusu wake za watu kutongoza vijana. Mara nyingi mimi kama kijana nakumbana na hii kadhia mara nyingi sana, na hasa hasa kutoka mitandao ya kijamii na mitaani pia. Unakuta mmama mtu mzima anamtongoza kijana bila hata ya hofu na aibu, mama kimtazamo...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Bandari Bagamoyo bila uwazi wa ubovu wa mkataba, ni usaliti wa Bandari zilizopo

    Tunataka Miradi mingi katika taifa letu, Lakini tunataka miradi ambayo kiukweli italeta ukombozi wa maisha ya wananchi Mradi wa Bandari ya Bagamoyo, ni mradi mkubwa na unaumhimu wake, Lakini kwa nini usiwe wazi? kwa nini tunadhani JPM pamoja na aliyekuwa mgombea Uraisi kupitia Chadema 2015 mh...
  6. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla: Serikali haimsaliti Rais aliyepita kuhusu Nyungu

    "Huwezi kusema serikali nzima inamsaliti Rais wetu aliyetangulia mbele ya haki. Mwaka jana wakati tunatumia ‘nyungu’ kulikuwa hakuna taarifa za chanjo, kulikuwa hakuna hata mmoja wetu aliyejua dawa za kutibu UVIKO-19, kirusi kilikuwa kipya na taarifa zake hatukuwa tunazijua vizuri" Mh. Hamis...
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nani alishatokewa na hii situation?

    Habar za J2 wana MMU. Niende moja kwa moja kwenye mada ambayo kiukweli iliniacha kwenye situation....niseme tu nliangukia kweny upendo kwa binti mmoja ambaye tulikutana mwaka 2019, kipindi hicho ndo anakarbia kumaliza form six, bac kijana wa watu nikajitoa kwel na kuonesha care ya hali ya juu...
  8. Fohadi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jifunze njia pekee ya kupamabana na USALITI kwenye mahusiano

    Nimeamka asubuhi leo na kukutana na threads kadhaa za watu wakilalamika kuhusu usaliti unaoendelea kwenye mahusiano yao. Na kwa miaka ya karibuni, 'uaminifu' kwenye mahusiano imekuwa ni kitu adimu sana na ukikipata basi ni bahati na itabidi upambane usikipoteze. Kila mtu ataongea mengi na atatoa...
  9. tamuuuuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sidhani kama nitakuja kuoa katika maisha yangu yote

    Yani kwa namna nilivyoumizwa na huyu dada, sidhani kama nitaoa katika Maisha yangu. Nimempa heshima zote, nimejitoa sana Kwa miaka 4 but ukiwa umebaki muda mfupi niende kwao nimvishe Pete mbele ya wazazi wake ananisaliti na kukiri kuwa ameliwa na hana bikra tena?! Nimekaa kimya,nimemwachia...
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume huwa mnahitaji nini?

    Habarini zenu ndugu zangu? Kwa kweli inafikia kipindi nakuwa sielewi hizi ishu za mahusiano. Mwenzenu nimekuwa kwenye mahusiano na mkaka wa miaka 33. Amenizidi miaka 4. Na tumekuwa naye kwa muda mrefu sana. Katika mahusiano yetu hayo, kiukweli sijisifii lakini nimejitahidi kuwa mwema sana...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Daniel Chongolo, anza na haya mambo ili kuepuka usaliti wa Bashiru

    Wanabodi, hili andiko ni kutoka kwa Mwandishi Nguli Bollen Ngetti FaceBook page yake. Naisukuma kwenu. _____________________ Daniel Chongolo, anza na haya kuepuka usaliti wa Bashiru Na Bollen Ngetti KWAMBA Katibu Mkuu mpya wa CCM Ndugu Daniel Chongolo ni mtu sahihi kwa nafasi hiyo, halina...
  12. joshydama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimegundua mchumba wangu kanisaliti baada ya kuona meseji za mapenzi kwenye simu yake

    Habari za asubuhi wakuu. Ni matumaini yangu kwamba hamjambo humu ndani. Wakuu bila kupoteza muda ni kwamba leo asubuhi nikiwa tumelala, mpenzi wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa mwezi wa tano aliniomba nimsaidie kutengeneza simu yake kwa sababu ilikuwa na matatizo katika upande wa WHATSAPP...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Makamba: Kurekebisha alichofanya Hayati Magufuli sio usaliti. Dalili nilizoanza kuziona si nzuri

    Mbunge wa Bumbuli, January Makamba amesema kifo cha Magufuli kimeleta kipindi cha mpito chenye wasiwasi ila Rais Samia Suluhu ameanza vizuri kuendeleza yale aliyoacha Rais na kufanya marekebisho na mashahihisho pale panapostahili Makamba ameongea kauli za kutiliana shaka, utengano, kuhukumiana...
  14. funaku

    JamiiForums Tanzania Sikutegemea Elisha Osati na H Kigwangalla kuonesha usaliti wa mapema hivi

    Watu hawa wameandaa au kuandaliwa mjadala wenye maudhui ya usaliti kwa Hayati Rais wetu Dkt John Pombe Magufuli. Nimewashangaa wataalamu hawa wa tiba ambao hawana weledi wala uzoefu wa maswala ya chanjo kujivika joho la utaalamu na kuongelea chanjo ya covid 19 Tanzania. Kwa ufupi hawajui...
  15. shalet

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usaliti wenye ulazima

    Habari ndugu zanguni, ni miaka mitatu sasa tangu niingie kwenye ndoa, toka mwanzo wa mahusiano na mke niligundua tabia ambayo sikuipenda ,mke wangu alikuwa bado anawasiliana na ndugu wa ex wake hasa dada zake na mamake yake yaani kwenye mambo ya kifamilia/sherehe watamshirkisha japo yeye na...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Sielewi kwanini Maalim Seif ameenda Chato kuonana na Rais Magufuli

    Sikupata jibu na niliwaza sana kilichompeleka Maalim Seif Ikulu kukutana na Magufuli ni nini? Niliwaza sana, nikamlinganisha kitendo hicho na say, Museveni kukutana na Bobi Wine, his main rival au enzi hizo PW Botha kukutana na Mandela kwa faragha. Watu wasingelielewa. Kumbe usaliti wa Maalim...
  17. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Kuwabana Wakurugenzi kuhusu V8 ni usaliti wa CCM na Serikali yake kwao. Bila wao hali ingekuwaje?

    Wakurugenzi wa Majiji, Manispaa, Miji na Miji Midogo ndiyo waliopanga na kupangika kwa mipango iliyoiwezesha CCM kushinda kwa kishindo. Wao ndiyo walioratibu taratibu bila tabu mbinu zote za ushindi wa CCM kwa mwamvuli wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Wakurugenzi ndiyo walipokea maagizo ya...
  18. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo yaridhia kushiriki kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar na Vyombo vya Uwakilishi

    ADO SHAIBU: Kamati kuu ilikutana jana jijini Dar es Saalam Tarehe 5 Disemba katika hoteli ya Onomo ambayo iko Posta kwa ajili ya kutafakari hali ya kisiasa inayoendelewa nchini kwetu. Tumetoka katika uchaguzi uliofanyika tarehe 28 ya mwezi Oktoba, uchaguzi ambao ulitawaliwa na uchafuzi mkubwa...
  19. paul sylvester

    JamiiForums Tanzania Tukubali tukatae, CHADEMA haikuzichanga vema karata zake wakati wa kushughulikia usaliti wa Wabunge 19

    Tukubali ama tukatae, ukweli ni kwamba, CHADEMA haikuliangalia suala hili la kina Mdee na wenzake Kwa umakini kama chama Hoja ya kina Mdee ni kwamba! waliapa kulitumikia Taifa kama wabunge wa kuteuliwa kwa sababu ipo barua iliyotoka Kwao CHADEMA yenye Baraka zote ya wao kufanya hivyo! Ndugu...
  20. Replica

    JamiiForums Tanzania BAVICHA: Tumesikitishwa sana na walioenda kuapa, ni kitendo cha usaliti, hujuma na hakiwezi kuvumilika. Wataka hatua kali zichukuliwe

    Leo baraza la vijana wa CHADEMA Taifa limetoa msimamo kufuatia wabunge 19 ambao wamekwenda kuapa bungeni kinyume na msimamo wa chama. MWENYEKITI: BAVICHA tulikutana katika kikao chetu tulichokifanya kwa njia za kidijitali kujadili mustakabali wa chama chetu kufuatia kadhia hii iliyotokea katika...
Back
Top Bottom