usaliti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Muuza simu used

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kutokumuamini mpenzi wako japo hajakuonesha dalili yoyote ya usaliti?

    Yaani una date na mdada fulani hajawahi kukuonyesha dalili yeyote ya kucheat wala hujapata aina yeyote ya ushaidi lakini moyo wako haumwamini hata kidogo unahisi tu sio mwaminifu, anaweza kuwa na simu yake mara kwa mara ukapekuwa kila kitu na bado tu moyo wako ukakwambia hapana kuna kitu hakipo...
  2. April26

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usitumie usaliti kama suluhisho

    "USITUMIE USALITI KAMA SULUHISHO" Elewa tabia za kudanganywa na mpenzi wako. Watu hudanganya kwa sababu nyingi na sio kila wakati kuhusu ngono. Wakati mwingine watu hudanganya (usaliti) kwa sababu wanatafuta uhusiano wa kihisia, kujaribu kukabiliana na hasara au migogoro au kutafuta ku escape...
  3. Liverpool VPN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nikiwaambia msioe muwe mnasikia; kwa miezi 4 mwamba kaishi maisha magumu bila mshahara kumbe mkewe ana laki 8 ndani, na usaliti juu kaambulia

    Eeeh bwana ehh ni Mimi Mr. Liverpool Tena. Weekend hii tumempiga Manure na nyundo Kali sanaa mpaka kapoteana.!! Sasa jiulize ile ilikua Old Traford, je wakija Anfield..!!! Turudi kwenye mada .... HIVI KWANINI HAMSIKII NIKIWAAMBIA MSIOE ??😳😳😳 Sasa Kuna mwenzenu yamemkuta huku ...
  4. MulegiJr

    JamiiForums Tanzania Uzalendo, Itikadi za vyama na Usaliti

    Sitamani kuingia ndani Sana katika maana ya maneno matatu hapo Juu, #Uzalendo ni dhana ya mtu kusimama kwa ajili ya Taifa lake na si kwa maslahi ya kikundi au yeye mwenyewe. #Itikadi ya vyama vya siasa ni Mlengo wa uendeshaji na usimamizi wa Mwenendo mzima wa utawala, imani itegenezayo mifumo...
  5. Mchokozi wa mambo

    JamiiForums Tanzania TARURA huu ni uhuni na usaliti kwa kata ya Kitunda, Mzinga na maeneo jirani

    Kwakweli inasikitisha kweli kwa kinachofanywa na TARURA katika barabara za Kata ya Kitunda, Mwanagati na maeneo jirani na kata hizo naweza kusema ni uhuni na kutukosea wananchi. Wameweka bango kubwa la ukarabati wa barabara na kushangaza wamepitisha greda na kumwaga kifusi cha vumbi. Hata kama...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Mume aua mke wake kwa Panga akimtuhumu kusaliti Ndoa yao

    Mwanaume anayejulikana kwa jina la Heneriko John (53) mkazi wa Manispaa ya Shinyanga, amedaiwa kumuuwa mke wake Regina Jiyenze (45) kwa kumkata mapanga kichwani na mabegani, kisha kujisalimisha kwa Jeshi la Polisi. Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga George Kyando, amesema tukio hilo...
  7. mchakavumlasana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake, mnaponyaje maumivu ya kusalitiwa na wenza wenu?

    Habari za jioni. Swali kwa Wanawake, mnawezaje kupona maumivu ya usaliti? Mnawezaje kurudisha ule upendo ulioisha mioyoni mwenu? Umeolewa, mna zaidi ya miaka 15, jamaa matukio ya hapa na pale, zaidi akaanza dharau. Mnasuluhisha maisha yanaendelea ila sasa anakuwa amekutoka tu rohoni...
  8. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niliingia kwenye mahusiano na binti wa miaka 19

    Habari zenu wakuu, Nimekuwa na mahusiano na binti mmoja,Ambaye tulikutana akiwa na miaka 18 nikiwa nimemzidi miaka 12 tukaishi naye pamoja (pika pakua) mpaka alipotimiza miaka 19 mapema mwaka huu.Naweza kumsifia kuwa ni binti ambaye hakuwa na makuu wala tamaa maana alinikubali na maisha yangu...
  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wenye funzo kwa wanawake *Majuto ni mjukuu*

    MAJUTO NI MJUKUU Dada zangu kuna kitu cha kujifunza hapa Niliolewa na mwanaume mpole sanaaaaaa miaka mitano iliyopita, yani nikisema mpole ni mpole mno, hakunifatilia hata siku moja, hakuniuliza nini wala nini, alinpa uhuru wa kutosha, nikiaga naenda mahali anasema nenda, hata kama narudi saa...
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Is she still in love au nipo pending?

    Habari wanazengo Nipo na gal tumedate since high school lakn recently nmekuja kugundua anaongea na mchizi mwingne na mchizi yupo very close na dogo.. nmejaribu kumkanya lkn naona dogo yupo attached. Lakin kila ntakacho ananipa.. except to unajua mnshare romantic moments and presence na mshikaj...
  11. Nigga What

    JamiiForums Tanzania Wanawake kuweni makini

    Kuna rafiki yangu wa karibu ameanza kuhangaikia talaka baada ya kukaa kwenye ndoa kwa miaka mitatu. Amejaaliwa maisha mazuri kiasi na mwanamke mzuri sana ambaye amepata nae watoto wawili. Kisa cha bwana huyo kuhangaikia talaka ni mwanamke kumsaliti na mwanaume mwingine ambaye amethibitishwa...
  12. incredible terminator

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ku - date na mabinti wa 18-28 ni mateso tupu hamna furaha kabisa

    Habari wakuu, Kwa uzoefu nilioupata kutokana na kupitia mahusiano mbalimbali hatimae leo nimeona nilete hitimisho kuwa kudate na mabinti hakuna furaha kabisa, yaani hawa watoto maisha yao katika mahusiano yamejaa vioja na mateso chungu nzima, yaani ni mahusiano ya wasiwasi tupu, Kwanza haupati...
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekaa muda mrefu bila mahusiano ila sasa kuna mwanaume ananitaka na mimi sijavutiwa naye

    Jamani nifanyeje na Mimi nataka kutulia na mwanaume wangu ambaye hajulikani nilikuwa na mwanaume ambaye alijitambulisha hadi nyumbani. Lakini badae akaanza kuninyanyasa kimapenzi kunisaliti na kuitoa tu thamani yangu akaniona simfai, sasa kuna mwanaume anaonesha dalili ya kuwa na mimi ila mi...
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kosa kubwa mno mwanaume kukiri kosa la usaliti kwa mkeo

    Wanaume wenzangu nasisitiza iwe jua au mvua usiku au mchana iwe bara au visiwani usijaribu kukiri kosa la uchepukaji kwa mkeo hata siku moja. Eti anakuta tu sms kwenye simu yako unakiri kweli umechepuka mwanaume wa wapi wewe kukiri kwako kunamthibitishia na kunampa uhalali wa yeye kuchepuka ili...
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimpenda sana mpenzi wangu ila kanisaliti

    Kwema wakuu Niko kwenye kipindi kigumu Sana ni hv nilikuwa na uhusiano na dada mmoja wa kichaga yeye wakati huo anaishi na dada yake wakati mahusiano yako hot Mara nyingi alikuwa ananambia anelaenda kusali kwa mwamposa. Sasa Kuna siku Niko kazini nikapigiwa simu na jamaa ananiuliza unamfahamu x...
  16. Alexjohn1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maumivu ya kuachwa katika mapenzi hayana mfano

    [emoji24][emoji24][emoji24]Siku zote maumivu ya mapenzi, huwa ni zaidi ya maumivu ya kitu kingine chochote kile... Yaani haya ni zaidi ya maumivu... Ama kwa hakika... Kwani haya ni maumivu ambayo huja wakati ambao tayari umekwisha mpoteza mtu umpendae kwa dhati... Pengine... Zaidi hata ya neno...
  17. smartdunia

    JamiiForums Tanzania Usaliti (simulizi ya kusisimua)

    Na Smartdunia. ‘’FURAHA NILIYOKUA NAYO TANGU NIKIWA MDOGO,ILIANZA KUFIFIA’’,Jessica alisema huku akifuta machozi kisha akaendelea. Nakumbuka siku ile, tarehe za mwanzoni mwa mwezi wa saba miaka kumi iliopita,niliamka asubuhi nikiwa nimechoka sana. "Uchovu wa leo sio wa kawaida...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kukubali Chanjo, na Rais Samia Kuchanja, Kiongozi yeyote anayepinga Chanjo hadharani ni 'Insubordination' na usaliti

    Wanabodi, Hii ni mada mwendelezo wa mada hii ya wiki iliyopita Kwa vile zoezi la chanjo ya Uviko linaendelea, Kwa Maslahi ya Taifa inaendelea kujikita kwenye chanjo, leo nikiangazia hoja ya uhiari wa Chanjo. Japo chanjo ni hiari, hiari ya chanjo ni hiari ya consent kama ilivyo kwenye...
  19. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Baada ya tafakuri, nachelea kusema Freeman Mbowe amesalitiwa na wenzake

    Kuna maneno ameyaandika "Bwana yule" siku ya leo yanafikirisha kidogo. Lakini ukiyatazama kwa undani haya maneno nadhani ndo kilichomkata nguvu Mange Kimambi kuendelea kushikamana na wanachadema katika the so called "Harakati wa kudai demokrasia Tz" Bwana yule ameandika katika Twitter yake kama...
  20. Bazazi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tembea na hisia zako

    Uhusiano wa mapenzi ni aina ya mohawapo ya magonjwa ya akili. Unapoingia msombweni hakikisha unatembea na hisia zako. Siku moja nilikutana na sms ya betterhalf akimlalamikia mchepuko wake kuwa asiwe na hasira, apokee simu yake kwani ana hamu ya kusikia sauti yake. Ugomvu kuntu uliibuka maana...
Back
Top Bottom