usaliti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila asisitiza kutomtambua Ruto kama Rais, awaambia wabunge wa Azimio 'Usaliti hautavumiliwa'

    Kiongozi wa Chama cha Azimio la Umoja, Raila Odinga amesema umoja huo hautamtambua Rais Wiliam Ruto kama Rais wa Kenya. Odinga ametoa ujumbe kuwaonya wanachama wa umoja huo kuwa hawatavumiliwa kwa usaliti wa kumtambua Ruto kama Rais. === Azimio la Umoja One Kenya Coalition party leader Raila...
  2. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu 6 kwanini wanawake/wake za watu hutoka nje na kufanya mapenzi na wanaume wengine

    Kwanza ijulikane kuwa kuna aina mbili za wanawake, wanawake wanaojiheshimu, wanaojithamini na kutunza utu wao kwenye jamii (wife materials) na wanawake wengine wote waliobaki. Wanawake wengine waliobaki ni rahisi kukusaliti kwa kuwa haridhiki, hawa ndio wale tunaambiwa tusioe/ tusitengeneze...
  3. ITR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake uzinzi una gharama kwenu kuliko wanaume

    Kwanza niseme uzinzi si kitu kizuri kwa jinsia zote ila mwana mke ana athirika kwa kiasi kikubwa kutokana na maumbile yake. (1)Kwanza nianze kwa kusema kuwa wanawake wazinzi ni mabingwa wa kutoa mimba yaani ni wauwaji na magaidi ,kama ww umetoa mimba huna tofauti na boko haram. (2) Wakati ww...
  4. Jbst

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ni upuuzi

    Nimegundua kwa mara ya pili mapenzi ni upumbavu na upuuzi tu, yalishanikuta mara ya kwanza nikapuuzia na hii mara ya pili nathibitisha ni upuuzi tu! Baada ya siku kadhaa kuwakejeleli watu hapa JF waliokuwa wakilialia kipuuzi kuhusu mapenzi na mimi yamenikuta aisee! Unampenda mtu na kumjali na...
  5. SaulGoodman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wakiwa na hasira ni raha!

    Guys I hope you're doing just fine, and so do I. Basi bana kama ilivyo ada leo nina jambo la ku share na ninyi especially wanaume wenzangu. Wanawake bwana wakiwa hana hasira ni raha mpaka nashindwa kuelekeza. Niende sasa kwenye kisa kilichonikuta kitambo kidogo wakati niko chuo. Kulikuwa na...
  6. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Hali ya kutokupenda ujulikane wewe ni kabila gani maofisini ni uzalendo au ni usaliti?

    Mnaofanya Kazi katika ofisi za Uma na za private lazma mtakubaliana na mim kuwa Kuna watu huwa hawataki wajulikane kuwa yeye Ni kabila gan,mfano watu wa Kanda ya ziwa waliobahatika kusoma na kuajiliwa kwenye ofis za Uma huwa hawapendi wajulikane walikotoka. Wanawake wa Kisukuma ndo wanaongoza...
  7. KAKADO

    JamiiForums Tanzania Nukuu ya Baba!!Watanzania tumejifunza Usaliti practical nyakati za Magufuli na Sasa!!

    Huhitaji kusoma biblia wala kusoma msaafu kuelewa Usaliti wa Wanadamu,tunasoma kuelewa zaidi neno la Mungu lakini kwa Usaliti tayari tumeonyeshwa kwa vitendo,Viongozi wakuu wa na washauri wakuu wamekuwa wasaliti wakuu kwa maslahi yao na vizazi vyao,Kwa Siasa za Tanzania Ukitaja Neno Magufuli...
  8. kilamba lamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unawezaje kustahimili usaliti wa kimapenzi?

    Habarini wana jamvi. Natumai mu wazima wa afya kabisa. Niende moja kwa moja kwenye mada. Kama kichwa cha habari kilivyosema. Wewe kama binadamu uliyekamilika kifikra na kihisia, unawezaje kustahimili usaliti wa kimapenzi wa aina yoyote. Uwe wa text, kushuhudia kabisa au kwa kuambiwa. Ni swali...
  9. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimejifunza mengi kutoka kwenu, lakini bado nahitaji ushauri

    Hello JF members, Ilibaki kidogo tu nijiengue ndani ya JF baada ya kupondwa na wengi kuhusu tatizo langu lililousumbua moyo wangu, lakini ntafanya nini, sikuwa na mtu wa kumlilia, ndo maana niliamua kuanika dukuduku la moyo wangu kwenu nikiamini ningepata kutiwa moyo, lakini ilikuwa tofauti...
  10. Sheffer95

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake huwa mnajisikiaje katika hili?

    Kwanza nianze kwa kuwapongeza kwaajili ya siku ya Akina mama wote, pili niwashukuru wanawake wote kwa mioyo yenu ya upendo, uvumilivu, kujali na kila kitu. Ninyi ni mama, dada,wadogo pamoja na wake zetu Ni hivi huwa mnajisikiaje pale tunapokuwa tumewadanganya na majanga yakatukuta na ikabidi...
  11. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania WanaCHADEMA mmesahau usaliti na uroho wa pesa aliotufanyia Zitto miaka ile kisa tu anamchafua hayati JPM?

    Mmesahau ile miaka chama chetu kilivyokuwa na nguvu kiasi cha kutaka kukamata dola? Zitto kwa tamaa ya pesa akatusaliti na kuanza kuweka mamluki ili tusipate ushindi. Mmesahau alivyohongwa na watu wa CcM na kuharibu chama chetu mpaka tukamtimua? Huyu ni mtu anayejali pesa na matumbo yake. Kwa...
  12. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dodoma: Humphrey Polepole na Waziri Kindamba waapishwa

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan anawaapisha viongozi aliowateua kama ifuatavyo: WAZIRI KINDAMBA WAZIRI...
  13. demigod

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini ni rahisi kwa Mwanamke kusamehe usaliti kuliko Mwanaume?

    Habari wana jamvi? Kama mada inavyojieleza hapo juu. Napenda kufahamu kwanini Mabinti wengi wanao nipata nikiwacheat ni wepesi sana kusamehe na kusahau kuliko mimi ambaye nikimkuta binti ana makando kando huwa ni mara moja anapotea katika ulimwengu wangu. Yaani hata nijaribu vipi kumpenda tena...
  14. kibenten

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu amekiri kunisaliti, ameomba msamaha natafakari maamuzi ya kufanya

    Nipo kwenye mahusiano na huyu dada kwa almost mwaka mmoja. Wiki ilopita kaenda site nje ya mkoa na wafanyakazi wenzie maana nature ya hiyo kazi wengi wanaomzunguka ni wanaume, wanawake wako wawili tu kati ya watu 30. Okay, alivyorudi niligundua alinisaliti akiwa huko site, aligoma kunambia...
  15. chaz beezz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu tangu abebe ujauzito hana hisia za kimapenzi. Nateseka sana

    Wakuu nimiezi mi4 tangu mke wangu abebe ujauzito kitu kinachofanya mke wangu kuwa mgumu Sana pale linapokuja suala la kushiriki tendo la ndoa (minyaduano). Nimetumia njia nyingi Sana za kumshawishi kutengeneza mazingira ya kupata Raha ya penzi lakini wapi hugoma kabsa tuwapo...
  16. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo

    Habari wanajamii forum, ni matumaini yangu kuwa mko salama. Ama la, basi Mungu awafanyie wepesi. Ndugu zangu nahitaji msaada wa mawazo yenu sana. Ninapitia sijui niseme ni wakati mgumu au ni ujinga wa kujitakia. Niko kwenye mahusiano na mume wa mtu sasa yapata miaka mitatu. Imefikia hatua...
  17. Kichwamoto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuhusu Usaliti wa wake za watu katika Ndoa

    Amani ya Bwana iwe baby I! Nawasilisha mtazamo Kwa nini tunaoa au kuolewa na je ni kwa namna impendezayo Mungu? Kwenye jibu hapana hilo tarajia usaliti utokee. Pilau ya nyumbani huzoeleka na pilau ya harusini haizoeleki. Na hii mazoea ni katika himaya ya shetani kifikra na kimatendo. Historia...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Zitto amezidi kuwachefua Watanzania

    Nakumbuka kabisa alifanya usaliti mkubwa sana kukivuruga CHADEMA kikiwa na nguvu kubwa kiasi Cha kutaka kukamata dola. Akawa anakula rushwa na kuvuruga chama Kwa kufanya uzandiki. Leo hii anatumika kuhujumu Watanzania wasipate katiba mpya kisa tu ACT Wazalendo ni vibaraka wa CCM na yeye...
  19. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wengi tunaishi kwenye ndoa kwa kuvumiliana tu

    Kwa mtu aliyezoea kuchepuka hawezi kuacha hiyo tabia kirahisi, kwa sababu kwenye mahusiano kila mmoja huwa na sifa ya kipekee ambazo hazifanani na mwingine; kuna mwingine ni mchangamfu sana, mwingine anajua sarakasi za kila namna, mwingine ana ladha tofauti, wengine wanajua ku-handle n.k...
  20. funaku

    JamiiForums Tanzania Ni Usaliti kwa mwanaCCM Kumpuuza au kumbeza Humprey Polepole

    Ni fact kuwa tulipokuwa tunaelekea uchaguzi wa mwaka 2015 CCM ilikuwa hoi bin taabani katika taswira yake kweye jamii. Alihitajika mwamba wa kuikomboa. Nampongeza Mhe Jakaya kwa kutulutea JPM ambaye aliiheshimisha CCM. Katika harakati za kampeni Magufuli alikiri kuwa wapo wana CCM waliokuwa...
Back
Top Bottom