https://x.com/crazyclipsonly/status/1826962090382561718
Tafrani yazuka kwenye sherehe baada ya Mume kushika maiki na kueleza umma uliokusanyika kusherehekea
(jionee mwenyewe)
Mjinga mkubwa wewe, tatizo sio huyo mwanaume unayemwambia:
"Kaa mbali na mke/mpenzi/mwanamke wangu."
Tatizo ni mke, mpenzi au girlfriend wako amempa nafasi mwamba ya kuongea, kuwasiliana au kutaniana naye na kutongozwa na kuna uwezekano tayari kashampiga miti.
Shtuka adui yako ni mke au...
Mimi ni kijana mwenye miaka 20 toka nizaliwe sijawahi kuyafurahia mapenz ngoja niwape historia yangu kidogo kwenye mapenz mwaka 2019 nilienda kufanya kazi kwa kaka yangu Morogoro wilaya ya Malinyi pale dukan tulikuwa wafanyakaz watatu halafu wote ndugu katika wote mi ndo nilikuwa mdogo japo mi...
Huku mikoani ni rahisi sana kufumaniana kwa mlio kwenye ndoa au mahusiano sababu ya ufinyu wa maeneo mfano gest, bar, sehemu za starehe nk.
Mikoani ukichepuka eneo uliopo ni rahisi kujulikana ukilinganisha Dar yaani umechepukia Kimara Bonyokwa wewe unakaa Buza Kilakala.
Yaani tuliopo mkoani...
Kama Wewe Mjomba Mtu uliweza Kutusaliti mwaka 1993 kiasi kwamba hadi Profesa Sarungi kila akikuona tu anakuita Azim Msaliti leo hii unapata wapi huu Uhalali wa Kutuasa wana Simba SC tumpe Ushirikiano na tumuamini Msaliti Mtoto Mohammed Dewji ambaye ni Mpwa wako.
GENTAMYCINE nikiwa na Ushahidi...
Wakuu habari.
Kwanini Huwa Kuna majuto Baada ya usaliti katika ndoa pindi ndoa inapovunijika, hii ni kwa mwanamke au mwanaume kuwa chanzo.
Teña hatari zaidi kwa mwanamke kudanyanywa na mchepuko kuwa ataolewa nae na asiolewe.
#Wanajamvii ufafanuzi
Wazee wenu walishasema "Kitanda hakizai haramu".
Wazee wenu walishasema "kuchapiwa ni siri ya ndani".
Misemo yao yote hiyo ni kuilinda ndoa isivunjike panapotokea usaliti, sasa wewe unaesema huwezi kusamehe usaliti unaoa ili iweje na wakati wazee wenu wameshawa andaa kisaikolojia kukubali...
Ni jambo gani lililofanyika Monduli linaloashiria kulikuwepo na viongozi wa Kitaifa wanaomuenzi Mhe. Sokoine?
Nani amesimama kuzungumzia Sokoine kama ambavyo tunashuhudia ikifanyika kwa mwalimu Nyerere?
Kwanini kuanzia viongozi wa dini hadi wanasiasa wanamtisha Mhe. Rais kwa kuonyesha anao...
Ofisa Kilimo katika kata ya Neruma wilaya ya Bunda mkoani Mara anayefahamika kwa jina la Julius Rubambi ameuawa kwa kuchomwa kisu na kung'atwa ulimi na mkewe kutokana na wivu wa kimapenzi huku mkewe Elizabeth Stephen akijeruhiwa vibaya na kulazwa hospitali ya Kibara.
Inasadikika kuwa chanzo...
Hivi ikitokea mchumba/mke amekusaliti na ukaamua kumsamehe, unawezaje kurudisha uaminifu na maisha yakaendelea?
Kwa wale mliopona na kuamua kusamehe na kuendelea na maisha tupeni uzoefu wenu.
Kwa uzoefu wangu naona hilo swala halitoki akilini mana nawaza kwa nini mtu ninayempenda aliamua...
Hakuna usaliti wowote uliofanyika, sababu kumuahidi mtu nafasi ya urais baada ya kiongozi aliyepo madarakani ni suala linaloibua maswali kuhusu uadilifu na utawala bora. KIla mtu ana haki ya kuwa Rais kama alivyoteuliwa mwingine badala ya yule aliyepewa ahadi. Hivyo sio jambo la kuwekeana bifu...
Kelele na uongo mwingi unaozungumzwa ni kutokana na ndoto ya watu wa kaskazini kutoa Rais wa nchi kupotea huku matumaini yao makubwa yakiwekwa kwa Lowassa ambaye kwa wakati wake alionekana ndiye mwenye nguvu kuliko mtu mwingine yeyote kutoka ukanda huo,sasa kitendo cha CCM kumtosa kimewaumiza...
Kwema Wakuu!
Kisa cha Lowasa na Rafikiake na usaliti mkubwa uliotokea ni kisa kitakachoishi kwenye taifa hili kwa karne na karne.
Huwaga visa vya usaliti na mapenzi vinadumu sana. Historia na Historia zitapita lakini visa vya usaliti havipiti kwani ni visa vya maisha.
Kisa cha Yesu na Yuda ni...
Mwanadada Mentor Cherry, amewahasa wanawake wenzake kutovumilia usaliti kwenye ndoa kwa kigezo cha kwamba Mwanaume hatosheki.
"Kumekuwa na maneno ya kuwa Mwanaume hatosheki na Mwanamke mmoja n.k ila ukweli ni kwamba hata Mwanamke pia hatosheki na Mwanaume mmoja isipokuwa ni anaheshimu...
Beki wa Manchester City, Kyle Walker, ameiomba radhi familia yake kwa kufanya uamuzi wa ovyo kufuatia wiki kadhaa za tetesi kuhusu usaliti kwenye ndoa yake.
Mchezaji huyo ameliambia gazeti la the Sun, kuhusu uhusiano wa kimapenzi [mchepuko] na Lauryn Goodman, mtangazaji wa TV.
“Nilichokifanya...
Ndoa tumekubaliana kufunga ya kikristo na tumekula kiapo ni mpaka kifo ama moja akisaliti, iweje tukimbilie mahakamani kuzivunja kwa sababu zilizo nje ya kiapo ?
Nashangaa mahakama zinaingilia sana mambo ya dini za watu badala ya kuyaachia makanisa kusolve ndoa za kikristo.
Sheria za kanisani...
Kuona mbali, karibu, nyuma, mbele, kati, historia, yajayo , ya jana, Leo na kesho. Haya yote ni uwezo wa mwenyezi Mungu aliyoweka ndani yetu.
Iwavyo vyovyote vile Makonda aweke utayari ndani ya akili yake kutokuwa na matamanio ya vitu vikubwa na asiamini katika ahadi yoyote atakayoambiwa...
BUSU ni ishara moja wapo inayoonesha upendo, mahaba salamu au heshima.
Kama neno la Mungu linavyosema..
"Salimianeni kwa busu la upendo. Amani na iwe kwenu nyote, mlio katika Kristo. Amina."
1 PETRO 5:14
Na watu wengi huwa tunajiskia raha na kuwa na furaha tunapopata BUSU kutoka kwa watu...
Habari Zenu wanajamii,hope mmenusurika na mafuriko,pole Kwa waathiriwa wote.Moja Kwa Moja kwenye mada,katika maisha yetu ya mahusiano asilimia kubwa tumeshakumbana na usaliti Yani kusalitiwa na wenza wetu,awe mume/mke au mchumba tu.Mbaya zaidi Kuna wanaoamua kusamehe na maisha yanaendelea.Kitu...