Ulifanyanini kusahau usaliti uliofanyiwa na mkeo/mumeo?

Clear37

Senior Member
Oct 25, 2023
102
145
Habari Zenu wanajamii,hope mmenusurika na mafuriko,pole Kwa waathiriwa wote.Moja Kwa Moja kwenye mada,katika maisha yetu ya mahusiano asilimia kubwa tumeshakumbana na usaliti Yani kusalitiwa na wenza wetu,awe mume/mke au mchumba tu.Mbaya zaidi Kuna wanaoamua kusamehe na maisha yanaendelea.Kitu kibaya zaidi ni kuwa kumbukumbu za kusalitiwa Huwa hazifutiki haraka katika ubongo wa mwathiriwa hata kama ameamua kusamehe.Hasa tukizingatia tendon lenyewe la usaliti Huwa linaumiza sana.Kuna wanaoamua kusamehe Kwa sababu mbalimbali mfano kulea watoto pamoja hasa waliokwenye ndoa na wakazaa pamoja,wengine husamehe Kwa kuzidiwa nguvu ya upendo Kwa msaliti(kufa kuoza😎).Swali langu ni hili unawezaje kusahau tukio la kusalitiwa kirahisi?Mimi siwezi.Karibuni
 
Habari Zenu wanajamii,hope mmenusurika na mafuriko,pole Kwa waathiriwa wote.Moja Kwa Moja kwenye mada,katika maisha yetu ya mahusiano asilimia kubwa tumeshakumbana na usaliti Yani kusalitiwa na wenza wetu,awe mume/mke au mchumba tu.Mbaya zaidi Kuna wanaoamua kusamehe na maisha yanaendelea.Kitu kibaya zaidi ni kuwa kumbukumbu za kusalitiwa Huwa hazifutiki haraka katika ubongo wa mwathiriwa hata kama ameamua kusamehe.Hasa tukizingatia tendon lenyewe la usaliti Huwa linaumiza sana.Kuna wanaoamua kusamehe Kwa sababu mbalimbali mfano kulea watoto pamoja hasa waliokwenye ndoa na wakazaa pamoja,wengine husamehe Kwa kuzidiwa nguvu ya upendo Kwa msaliti(kufa kuoza).Swali langu ni hili unawezaje kusahau tukio la kusalitiwa kirahisi?Mimi siwezi.Karibuni
Mwanaume anayemsamehe mkewe ambaye amethibitisha kabisa kwamba kaliwa huo ni ulofa hiyo mwanaume apimwe akili:
 
😆😆😆 2018 unacheat nayeye hajui?
Hajui huwa nasafirisafiri
Siku nimeingia daslam kimya kimya ,nikafikia mcity na mdau,akasema twende samakisamaki tukale afu twende hotel sinza

Wakati tukila na kupata ka wine,akatokea,nikasema tobaahh
Akajikausha,akaenda kaunta akaniagizia saint Anna akamtuma mhudumu ailete.

Nikamwambia mdau kimenuka, nakula naenda nyumbani tuonane kesho😂😂nikabeba Ile wine ,nikazuga naenda toilet,nikachukua Bajaj,nikaenda home.

Baada ya nusu saa ananipigia ,ananiuliza my uko wapi twende nyumbani?
Nikamjibu nishafika nyumbani,ndo nawaogesha kina junior hapa🤣🤣
 
Back
Top Bottom