Maisha baada ya usaliti

Majighu2015

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
2,924
3,904
Hivi ikitokea mchumba/mke amekusaliti na ukaamua kumsamehe, unawezaje kurudisha uaminifu na maisha yakaendelea?

Kwa wale mliopona na kuamua kusamehe na kuendelea na maisha tupeni uzoefu wenu.

Kwa uzoefu wangu naona hilo swala halitoki akilini mana nawaza kwa nini mtu ninayempenda aliamua kunisaliti, na pia nahisi atanisaliti tena kwa hiyo uaminifu niliokua nae umepungua kwa kiasi kikubwa.
 
Hivi ikitokea mchumba/mke amekusaliti na ukaamua kumsamehe, unawezaje kurudisha uaminifu na maisha yakaendelea? Kwa wale mliopona na kuamua kusamehe na kuendelea na maisha tupeni uzoefu wenu.

Mkuu, talk to your wife privately so you can understand why she cheated and plan what you want to do next. Couples therapy can help. Allow yourself to feel the full range of emotions and take your time to decide what you're going to do next rather than making a rash decision you might regret.
 
Asante kwa ushauri wako kiongozi.
 
Hivi ikitokea mchumba/mke amekusaliti na ukaamua kumsamehe, unawezaje kurudisha uaminifu na maisha yakaendelea? Kwa wale mliopona na kuamua kusamehe na kuendelea na maisha tupeni uzoefu wenu.
Kwa uzoefu wangu naona hilo swala halitoki akilini mana nawaza kwa nini mtu ninayempenda aliamua kunisaliti, na pia nahisi atanisaliti tena kwa hiyo uaminifu niliokua nae umepungua kwa kiasi kikubwa.
Licha ya kua mtasameheana ila kutakua na hali flan ya kutokujiamini hasa kwa alietendewa hivo ni wewe mwenyewe kuamua. Kuishi maisha ya mashaka au kwenda kwingine
 
Aki cheat ukamrudia subiria bomu lingine

The only justifiable way ajue wewe ume cheat tena kwa concrete evidence akizingua apo unaeza kusema hasira still wengi wetu hatutasamehe ila kidooogo ina make sense alifanya revenge labda sio malaya, japo mwanamke aliefundwa anajua mwili wake ni holy temple hawezi kufunulia mtu mapaja kiholela awe fuko la shahawa.
 
Mwanamke kupigwapigwa miti haijakaa sawa, ila kwa sababu baadhi yao wanapenda hela basi miti lazima wapigwe na hapo ndo shida inapoanzia
 
Kusamehe sio udhaifu mkuu, sometimes inatokea tu mwanamke anafanya ujinga na mwisho wa siku ana regret makosa yake

Hakikisha amejutia makosa yake na umejiridhisha ni kweli amejutia

Nje ya hapo ukilazimisha uwenae na wakati unaona kabisa mwanamke hana hata habari na ndo kwanza she doesn't give a fck na anaona yupo sahihi kwa alichokifanya, Boss! Unatakiwa umuache haraka sana tena siku hiyo hiyo

Sometimes tunapenda kweli but kuachana pia ni mwanzo wa safari nyengine na sio mwisho, we met for a reason and we'll break up for the same reason

Let things go on their own flow, don't push just let it be

Sent from my Pixel 4 XL using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unadhani mwanamke akikusaliti anaweza kukupenda kama alivyokua anakupenda hata kama ana-regret kwa alichokifanya. Mwanamke mpaka kuamua kumvulia chupi mtu mwingine naamini anakua hakupendi ndo mana kaamua kusaliti na anakua amejipanga kuwa hata ikijulikana liwalo na liwe.
 
Angalia huyo mwanamke ana msaada gani kwako na amechangia kiasi gani kwenye mafanikio yako, Kupata mwanamke mwenye akili now days ni ngumu sana asee ...

Kama ame repent na umehakikisha ni kweli amejutia alichofanya na sio ku pretend kujutia No! Hivyo vyote lazima ujue tu boss kama she's real or not

Kuchepuka kwa wanawake sometimes inatokana na sisi wanaume

It doesn't matter amechepuka kwa makusudi au bahati mbaya bali unachotakiwa kuangalia ni rudi juu soma tena paragraph ya kwanza

Kusamehe sio udhaifu mkuu but ikitokea amerudia tena wewe unapata hasara gani kumuacha

Sent from my Pixel 4 XL using JamiiForums mobile app
 
Kilichomfanya akutafute ndio kitachomfanya akurudie, na kilichomfanya akusaliti ndio kitachomfanya akusaliti Tena, Tena na Tena.,....
 
Hivi ikitokea mchumba/mke amekusaliti na ukaamua kumsamehe, unawezaje kurudisha uaminifu na maisha yakaendelea?

Kwa wale mliopona na kuamua kusamehe na kuendelea na maisha tupeni uzoefu wenu.

Kwa uzoefu wangu naona hilo swala halitoki akilini mana nawaza kwa nini mtu ninayempenda aliamua kunisaliti, na pia nahisi atanisaliti tena kwa hiyo uaminifu niliokua nae umepungua kwa kiasi kikubwa.
Usije kusamehe mkuu, tupa io taka taka.
 
Kaka piga na chini hakuna rangi utaacha kuja kuona maishan mwako. Msaliti wa kike hakuna msamaha hao viumbe wanaendeshwa na hisia hayo maumivu yaskie mpk leo sisahau alichonifanya yule kiumbe niliona mpk video wakiwa kitandan mwanamke niliempenda kuliko mtu yoyote but nilimove on and i will be okay.
 
Back
Top Bottom