Prof Kabudi: Tanzania tuliipigia kura Kenya Baraza la Usalama UN. Wametushukuru, nasi tumewaambia hapana ule ni wajibu wetu kama ndugu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,845
141,768
Prof Kabudi amesema Tanzania iliipigia kampeni na hatimaye kura ndugu zetu Kenya kuwa mjumbe katika baraza la usalama la UN.

Kabudi amewataka watanzania kupuuza uzushi wa wapinzani kwamba hatukuiunga m!ono Kenya.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
 
Nafikiri nilisema fake news kwenye ule uzi. Prof katoa mengi ambayo wengi walikuwa hawayafahamu. Mfano jina la Tanzania kwenye UN circles au URoT kuwa between UK na USA etc. Good to know some of the things he said.

Hongera sana Prof Kabudi kwa kazi iliyotukuka.
 
Pamoja na hayo Kenya waliipiga vita Tanzania na kufanya kampeni CITES ili kuzuia mauzo ya meno ya Tembo.
Wana undugu wa mashaka kuliko sisi tunavyowachukuwa

Tanzania ni nchi ambayo ina msimamo wala huwa haitetereki kwa sababu misingi yake inajulikana tangu ilipozaliwa rasmi. Wenye wasi wasi na Tanzania wanapoteza nguvu zao tu. Sisi ni taifa linalojielewa. Tunakwenda pale tunapotaka na misingi lishawekwa tangu zamani wakati wa uongozi madhubuti wa JK Nyerere.
 
Prof Kabudi amesema Tanzania iliipigia kampeni na hatimaye kura ndugu zetu Kenya kuwa mjumbe katika baraza la usalama la UN.

Kabudi amewataka watanzania kupuuza uzushi wa wapinzani kwamba hatukuiunga m!ono Kenya.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Tanzania iliogopwa na kuheshimiwa na majirani wote tangu Nyerer hadi Kikwete.
Awamu hii ya tano ndio rumegeuziwa kibao na kuchuliwa kama malimbukeni na mapoyoyo
 
Prof Kabudi amesema Tanzania iliipigia kampeni na hatimaye kura ndugu zetu Kenya kuwa mjumbe katika baraza la usalama la UN.

Kabudi amewataka watanzania kupuuza uzushi wa wapinzani kwamba hatukuiunga m!ono Kenya.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
tupe sababu 2 za kuamini usemacho, propesa!
 
Back
Top Bottom