Ni saa 5 na nusu usiku jana natoka kwenye Restaurant moja Masaki na rafiki yangu Muhindi, nampeleka Upanga mini nirudi nyumbani...
Mtaa tuliokiwa ni very busy area na magar yamepaki nje, mbele yangu naona gari ya Polisi.. PT Noah, imenikaribia naona anapunguza mwendo, nikajua nimeblock njia...