usalama wa taifa

Idara ya Usalama wa Taifa
The Tanzania Intelligence and Security Service (TISS) is the national intelligence and security agency of Tanzania. The Agency works closely with other National and International intelligence agencies and securities organs in the promotion and maintenance of peace, safety and security in and outside Tanzania’s borders.

----

Idara ya usalama wa Taifa (TISS) imeundwa kwa sheria ya bunge namba 15 ya mwaka 1996 (Tanzania Intelligence and Security Service act No. 15 of 1996) iliyosainiwa na Rais Benjamin Mkapa tarehe 20 mwezi Januari mwaka 1997. Sheria hiyo ndio inayoipa mamlaka Idara ya Usalama wa Taifa kufanya kazi zake ndani na nje ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na pia ina ainisha majukumu, mamlaka na mipaka ya idara ya usalama wa Taifa. Kutokana na kuwepo kwa sheria hiyo siyo rahisi kwa idara hiyo kufanya mauaji ya raia wasio kuwa na hatia kwani idara itakuwa inavunja sheria na kukiuka mamlaka iliyopewa na Bunge.

View More On Wikipedia.org | Ifahamu Idara ya Usalama wa Taifa
  1. 4

    Ombi mahalumu la kukutana na IGp , CDF , mkuu wa usalama wa taifa ikiwapendeza sio lazima.

    Wakuu kwema katika jina yule atupatiae mkate wa kila siku. Mimi ni mtanzania tena maskini tu wa kutupa ila najivunia nao maana vidole siku zote havilingani. Rejea mada tajwa hapo juu natamani kukutana na wakuu tajwa hapo juu sio kwa nia mbaya bali kutoa ushauri wangu binafsi juu ya uchaguzi...
  2. Beira Boy

    Inashangaza kuona mkuu wa majeshi msiri kuliko mkuu wa usalama wa taifa

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Hivi huyu mkuu wa usalama wa taifa hicho cheo alikipataje? Chawa wake ni akina nani , ana magari mangapi, analala chumba gani, ana watoto wangapi, kaiba sh ngapi, yaan kwa kifupi ni hovyo kabisa Anazidiwa mpaka na akina Jesca Magufuri ni...
  3. technically

    GE2025 Hivi unawezaje kuongoza nchi ambayo Jeshi, Polisi na Usalama wa Taifa vimegawanyika?

    Bado nawaza Rais wa nchi yeyote anawezaje kuongoza Taifa ambalo jeshi limegawanyika? Yaani watu unategemea walinde mipaka halafu wanakuwa wamegawanyika!! Unawezaje kutoboa? Kawati huo huo wananchi hasa vijana ambao ni nguvu kazi wamekukataa? Najiuliza nchi Kama hiyo unawezaje kuiongoza?R
  4. Fbn

    Usalama wa taifa nchi nyingi zilikufa zilikuwa chumbani mwa raisi wa nchi na chama

    Tuna weka note kujufunza level za usalama wa taifa kumbe ni sehemu ambayo kama katiba,sheria na mengine ndani ya nchi yakiwekwa chini ya mtu au watu basi usalama ni chumba cha mtu. DMZ code .kwa sasa TAREHE 10/4/2025/huu mda TCRA WANAJUA KUDANGANYA WANANCHI
  5. Richard

    Ifahamu Wizara ya Usalama wa taifa ya China na majukumu yake kwa nchi hiyo kubwa Duniani

    https://www.youtube.com/watch?v=j1UH7Yn6gSg Hii ni makala ya pili inozungumzia nchi ambazo zina wizara kamili inoshughulikia Usalama wa taifa. Wiki ilopita nilizungumzia umuhimu wa raisi ajae kufikiria kuanzisha wizara ya Usalama wa taifa ambayo itashughulikia usalama wa nchi na mipaka yake na...
  6. P

    Tetesi: Rais Mfute Kazi Suleiman Abubakr Mombo Mara Moja

    Kwa video zinazoendelea kuwekwa na Dada Mange zikionesha utajiri usiendana na Kipato cha Dgis Mombo na Familia yake. Nashauri Rais Samia Tengua uteuzi wa Mombo mara moja. Leo kuna video ya Hidaya Binti wa Mombo akichezea Dola laki 3 takribani milioni 800 za Tanzania taslim na akiwanyooshea...
  7. Richard

    Rais ajaye afikirie kuunda Wizara kamili ya Usalama wa Taifa na si Idara moja tu ndogo ya Usalama wa Taifa

    Nchi ikiwa na idara ndogo ya Usalama kama kitengo kimoja tu na kukosa kiongozi mahiri na katiba inosiginwa kila mara, huyumba sana na kukosa mwelekeo na yale tunoyashuhudia leo ni matokeo ya kuyumba wa idara ya Usalama wa Taifa na hata pia kutuhumiwa kijihusisha na vitendo vya ufisadi na...
  8. technically

    Hili la kufungia mitandao ni hatari kwa usalama wa Taifa

    Narudia tena hakuna hatari kubwa kiusalama Kama watu kuzibwa midomo. Hakuna hatari kubwa Sana kwenye usalama wa Taifa Kama watu kukosa platform na kuanza kuwasiliana kwa code. Mlianza na Twitter, mkaja kupunguza uwezo wa kufanya kazi kwa Facebook na Instagram na tiktok. Sasa mnaifungia jamii...
  9. W

    Chanzo cha taarifa za kuhujumu nchi zinapaswa kutolewa na nani ili usalama wa taifa waingie kazini?

    Kwa Uelewa wangu watendaji kazi wakubwa wa ulinzi wa ndani ya Nchi ni Usalama wa Taifa, na hawa wanapaswa kuwa makini sana na kila kitisho kinachotokea katika nchi kabla hata hakijafika polisi kutokana na mtindo wa mafunzo yao. Lakini katika Taifa langu Tanzania, Usalama wa Taifa wanawajibika...
  10. T

    Nalilia Taifa langu nazililia idara za Usalama wa Taifa, hakuna anayeona kesho ya Tanzania

    Nalilia Taifa langu ila zaidi nalilia idara nyeti za usalama wa Taifa maana hakuna hata anayeona what will be next phase ya hili Taifa tumekimbilia siasa na sasa wenye akili wameshatuweza na niseme hakuna anayeona na kama yupo basi uwenda ushauri wake umepigwa chini ila mkumbuke mchuma janga...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    Polepole anachofanya ni kuwachonganisha Wanamtandao na Usalama wa Taifa na jeshi. Usalama wao utakuwa mdogo siku zijazo; wao na familia zao

    Habari za Sabato! Nimemsikia Polepole kwa undani kabisa. Kitu anachokifanya sikukielewa mapema lakini kwa hotuba yake ya leo nimeona mbegu anayoipanda imelenga kuotea wapi na kuzaa kitu gani Ni wazi wananchi wa nchi hii hawana chochote cha kufanya kinachotokana na kile anachosema Polepole...
  12. M

    Tuhuma za Ufisadi wa kutisha nchini zinazoibuliwa na Mange Kimambi katika vyombo vyetu vya Usalama zinahitaji ufafanuzi

    Hivi karibuni zimekuwepo tuhuma za ufisadi wa kutisha nchini. Mange kimambi, mwanadada aliyeko marekani kwenye channel yake ya Instagram ameibua tuhuma nzito sana zinazomgusa mtoto wa Rais Abdul, mwanamama mmoja aitwaye Anjela, na Wafanyabiashara wenye asili ya Asia. Mange amezungumzia tuhuma...
  13. R

    Dkt. Wilbrod Slaa: Utekaji wote unaondelea nchini ni sheria ya idara ya Usalama wa Taifa ya mwaka 2024

    Anaandika: Dr. Wilbrod Slaa Msingi wa vitendo vyote vya utekaji unaoendelea nchini ni Sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa (TIS) ya mwaka 2024. Bila kurekebisha sheria hii, Watanzania wataendelea kutekwa, kupotezwa na kudhulumiwa hadi tutoweke kabisa kama taifa huru. Sheria hiyo imeipa TIS...
  14. Echolima1

    Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israel Itamar Ben Gvir Asema Rais wa Syria Al Jolan auwawe!

    Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israel Itamar Ben Gvir atoa wito wa kuangamizwa kwa Rais wa Syria, Ahmad al-Sharaa, akimwita mpiganaji wa jihadi: "Yeyote anayeua, kukata masharubu, kudhalilisha, na kubaka hapaswi kujadiliana naye, suluhisho pekee na al-Jolani ni kumuangamiza bila huruma yoyote...
  15. Beira Boy

    Watanzania tunaomba kujua ni wapi alipo baba yetu mkuu wa usalama wa taifa seleman mombo DIGS

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU mtakatifu sana Mkuu wa usalama wa taifa siyo mali ya kikundi flan cha watu bali ni mali ya watanzania wote Kwa kuwa ni mali ya watanzania wote bas tunaomba kujua ni wapi alipo huyu baba yetu kipenz mzee seleman mombo Asanten sana LONDON BOY
  16. Ponjoro wa Kinondoni

    Serikali ikanushe taarifa za taharuki kuhusu mkurugenzi wetu wa idara ya Usalama wa Taifa

    Huko x na instagram kuna watu wanashangikia kifo cha mkurugenzi wa kitengo. Nadhani serikali inapaswa kukanusha ili kuondoa taharuki. Pia wanao shangilia wajitahidi kuzuia furaha yao maana huo si utamaduni wetu. By Ponjoro wa Kinondoni Kwasasa safarini kizimkazi.
  17. S

    Kinachoharibu taasisi za Usalama wa Taifa na Polisi ni waajiriwa wengi wa "connection" ambao loyalty yao iko kwa wale waliowaunganisha kupata kazi

    Ni lini uliona tangazo la serikali la nafasi za kazi idara ya Usalama wa Taifa? Au ni lini uliona mtu wa kawaida asie na connection yeyote na viongozi wa juu nchini anatamani kufanya kazi Uslama wa Taifa na akanikiwa katika tamanio lake? Labda ni zile enzi za Nyerere, ambapo wafanyakazi wa...
  18. Griss

    Usalama wa taifa umevamiwa?

    Watu wengi wanafikiri usalama ni kulala na kuamka mzima. Lakini usalama ni zaidi ya hapo Nawaambia nchi haipo salama kwa Sasa. Hakuna usalama wa ajira yaani kwa Sasa mpaka utoe rushwa ya pesa,Ngono au uwe Mtoto wa kiongozi ndio upate ajira au cheo. Usalama wa kiafya haupo Kama ndugu yako...
  19. Richard

    JWTZ wafanye uchunguzi kubaini vijana ambao wamepewa nafasi za kujiunga na JWTZ kwa kutumia kikaratasi maarufu kama "Memo"

    Juzijuzi Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania lilitoa taarifa kwamba wanapitia majina ya vijana ambao wamechaguliwa kujiunga na jeshi hilo. Itakumbukwa kuwa mwezi April mwaka huu JWTZ walitoa tangazo la ajira kwa vijana wa kitanzania wenye elimu kuanzia sekondari hadi elimu ya juu. Moja ya...
  20. Manyanza

    Kwa mujibu wa Evalist Chahali: Shushushu(Afisa Usalama wa Taifa)

    SHUSHUSHU NI NANI? "Shushushu" ni jina lisilo rasmi linalotumika kumwelezea Afisa Usalama wa Taifa wa Tanzania. Kwa lugha rasmi: Huyu ni mtaalamu wa kiintelijensia anayehusika na kulinda usalama wa taifa kwa njia ya siri (intelijensia). MAJUKUMU YAKE NI YAPI? Majukumu ya Shushushu (Afisa...
Back
Top Bottom