usalama wa taifa

Idara ya Usalama wa Taifa
The Tanzania Intelligence and Security Service (TISS) is the national intelligence and security agency of Tanzania. The Agency works closely with other National and International intelligence agencies and securities organs in the promotion and maintenance of peace, safety and security in and outside Tanzania’s borders.

----

Idara ya usalama wa Taifa (TISS) imeundwa kwa sheria ya bunge namba 15 ya mwaka 1996 (Tanzania Intelligence and Security Service act No. 15 of 1996) iliyosainiwa na Rais Benjamin Mkapa tarehe 20 mwezi Januari mwaka 1997. Sheria hiyo ndio inayoipa mamlaka Idara ya Usalama wa Taifa kufanya kazi zake ndani na nje ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na pia ina ainisha majukumu, mamlaka na mipaka ya idara ya usalama wa Taifa. Kutokana na kuwepo kwa sheria hiyo siyo rahisi kwa idara hiyo kufanya mauaji ya raia wasio kuwa na hatia kwani idara itakuwa inavunja sheria na kukiuka mamlaka iliyopewa na Bunge.

View More On Wikipedia.org | Ifahamu Idara ya Usalama wa Taifa
  1. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Wilbrod Slaa: Utekaji wote unaondelea nchini ni sheria ya idara ya Usalama wa Taifa ya mwaka 2024

    Anaandika: Dr. Wilbrod Slaa Msingi wa vitendo vyote vya utekaji unaoendelea nchini ni Sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa (TIS) ya mwaka 2024. Bila kurekebisha sheria hii, Watanzania wataendelea kutekwa, kupotezwa na kudhulumiwa hadi tutoweke kabisa kama taifa huru. Sheria hiyo imeipa TIS...
  2. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israel Itamar Ben Gvir Asema Rais wa Syria Al Jolan auwawe!

    Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israel Itamar Ben Gvir atoa wito wa kuangamizwa kwa Rais wa Syria, Ahmad al-Sharaa, akimwita mpiganaji wa jihadi: "Yeyote anayeua, kukata masharubu, kudhalilisha, na kubaka hapaswi kujadiliana naye, suluhisho pekee na al-Jolani ni kumuangamiza bila huruma yoyote...
  3. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunaomba kujua ni wapi alipo baba yetu mkuu wa usalama wa taifa seleman mombo DIGS

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU mtakatifu sana Mkuu wa usalama wa taifa siyo mali ya kikundi flan cha watu bali ni mali ya watanzania wote Kwa kuwa ni mali ya watanzania wote bas tunaomba kujua ni wapi alipo huyu baba yetu kipenz mzee seleman mombo Asanten sana LONDON BOY
  4. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Serikali ikanushe taarifa za taharuki kuhusu mkurugenzi wetu wa idara ya Usalama wa Taifa

    Huko x na instagram kuna watu wanashangikia kifo cha mkurugenzi wa kitengo. Nadhani serikali inapaswa kukanusha ili kuondoa taharuki. Pia wanao shangilia wajitahidi kuzuia furaha yao maana huo si utamaduni wetu. By Ponjoro wa Kinondoni Kwasasa safarini kizimkazi.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kinachoharibu taasisi za Usalama wa Taifa na Polisi ni waajiriwa wengi wa "connection" ambao loyalty yao iko kwa wale waliowaunganisha kupata kazi

    Ni lini uliona tangazo la serikali la nafasi za kazi idara ya Usalama wa Taifa? Au ni lini uliona mtu wa kawaida asie na connection yeyote na viongozi wa juu nchini anatamani kufanya kazi Uslama wa Taifa na akanikiwa katika tamanio lake? Labda ni zile enzi za Nyerere, ambapo wafanyakazi wa...
  6. Griss

    JamiiForums Tanzania Usalama wa taifa umevamiwa?

    Watu wengi wanafikiri usalama ni kulala na kuamka mzima. Lakini usalama ni zaidi ya hapo Nawaambia nchi haipo salama kwa Sasa. Hakuna usalama wa ajira yaani kwa Sasa mpaka utoe rushwa ya pesa,Ngono au uwe Mtoto wa kiongozi ndio upate ajira au cheo. Usalama wa kiafya haupo Kama ndugu yako...
  7. Richard

    JamiiForums Tanzania JWTZ wafanye uchunguzi kubaini vijana ambao wamepewa nafasi za kujiunga na JWTZ kwa kutumia kikaratasi maarufu kama "Memo"

    Juzijuzi Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania lilitoa taarifa kwamba wanapitia majina ya vijana ambao wamechaguliwa kujiunga na jeshi hilo. Itakumbukwa kuwa mwezi April mwaka huu JWTZ walitoa tangazo la ajira kwa vijana wa kitanzania wenye elimu kuanzia sekondari hadi elimu ya juu. Moja ya...
  8. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Evalist Chahali: Shushushu(Afisa Usalama wa Taifa)

    SHUSHUSHU NI NANI? "Shushushu" ni jina lisilo rasmi linalotumika kumwelezea Afisa Usalama wa Taifa wa Tanzania. Kwa lugha rasmi: Huyu ni mtaalamu wa kiintelijensia anayehusika na kulinda usalama wa taifa kwa njia ya siri (intelijensia). MAJUKUMU YAKE NI YAPI? Majukumu ya Shushushu (Afisa...
  9. Kibo10

    JamiiForums Tanzania Shushushu (Afisa Usalama wa Taifa) ni mtu wa aina gani, anafanya nini?

    PART 1 Kuna ukweli mmoja usiofichika wala kupingika kwamba watu wengi sana wanapenda kazi ya ushushushu, yaani Uafisa Usalama wa Taifa.Hiyo sio kwa Tanzania pekee bali sehemu nyingi duniani. Ukiingia mtandaoni utakutana na watu wengi wanaozungumzia taaluma ya intelijensia au/na wahusika katika...
  10. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Vyeo vya Usalama wa Taifa (TISS) – Kuanzia cha chini hadi cha juu

    Utangulizi Tanzania Intelligence and Security Service (TISS) ni chombo cha kijasusi cha serikali ya Tanzania ambacho kinahusika na ulinzi wa usalama wa taifa kwa njia ya ukusanyaji wa taarifa za kiusalama, kupambana na ujasusi wa kigeni, uhalifu wa kiuchumi, ugaidi, na vitisho vyovyote...
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Makao makuu ya usalama wa taifa Iran yasambaratishwa na Israel

    Kichaa Myahudi amewehuka, anapiga tu, hivi karibuni mtasikia ikulu na yenyewe ni majivu..... IAF strikes Tehran's Internal Security HQ ByJERUSALEM POST STAFF Israel Air Force jets destroyed Iran's Internal Security Headquarters in Tehran on Wednesday, Defense Minister Israel Katz said. Iran's...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Kamati ya Usalama wa Taifa katika Bunge la Iran. Israel Anaomba Iran Isiwashambulie

    Kumekucha Israel kanza kuomba nchi za Jiran zimsemeshe Iran asiwashambulie. Vichaa kweli hawa Israel wanataka Iran wasirudishe mashambulizi hahaha nadhani Israel wameisha changan'yikiwa.
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi Idara ya Usalama wa Taifa ya Kisiwa maarufu cha 'Puerto Rico' Watendaji wake WANACHUKIANA mno na kuna MPASUKO mkubwa sana?

    Na chuki kubwa inasemekana ni kwa miaka takribani Mitatu Minne hivi 75% ya Watendaji wa Idara hiyo kutokea Mji wa Ponce anakotoka Rais na siyo Mji Mkuu wa San Juan. Na taarifa ambazo Mtanzania Mimi GENTAMYCINE niliye na Marafiki huko Kisiwani Puerto Rico nilizonazo ni kwamba CHUKI hii kubwa na...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Taifa wazalendo wamwekee Gwajima ulinzi au intelegensia kubwa lolote wanaweza kutokea watu wabaya kumdhuru

    Baada ya Maneno ya mama ni dhahiri Huyu MTU ameonekana kuleta madhara NDANI ya chama Cha watawala. Nakumbuka mgombea wa upinzani wa Marekani Trump alishambuliwa kwa risasi lakini aliokolewa na usalama wa Taifa Nashauri awekewe ulinzi na intelligence kubwa wasije watu wabaya wakatumia huo...
  15. technically

    JamiiForums Tanzania Binafsi siwezi kuendelea kuishi kwenye Taifa lisilo na usalama

    Binafsi siwezi kuendelea kuishi kwenye Taifa lisilo na usalama. Kivutio kikubwa na sifa kubwa ya Tanzania ilikuwa ni ulinzi na usalama imara na amani tele ambao kwa Sasa hakuna sababu ya wasiojulikana. Tutaendelea kuishi vip kwenye nchi ambaye hakuna mtu aliye salama? Siwezi kuishi kwa hofu...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tutalinda amani, umoja na usalama wa taifa letu Tanzania kwa nguvu na gharama yoyote ile licha ya matusi ya majirani waandamaji na masufuria vichwani

    Tutakua wa mwisho kujibu matusi yenu dhidi ya Taifa letu na tutakua wa mwisho kuchukua hatua dhidi ya uchokozi wenu wa kichochezi dhidi ya amani yetu, but ni vizuri mkafahamu, Kwa vivu mkubwa na uzalendo wa kiwango cha juu sana, tutailinda amani, umoja na usalama wa Taifa letu Tanzania bila...
  17. S

    JamiiForums Tanzania George Soros na Open Society yake ni maadui wanaokutana na usalama wa Taifa makini wenye kuijua kazi yake

    Bilionea George Soros anaishi na ubaya ule ule aliokuwa nao Marehemu Henry Kissinger miaka ile ya 70,80 na 90 alipokuwa na cheo na heshima katika serikali zilizoongoza USA. George Soros ndiye aliyeichangia kuiharibu Ukraine kwa kuingiza uhasama mwingi na mwisho wa siku kafanya biashara kubwa ya...
  18. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka

    Salaam! Inaendelea live, https://www.youtube.com/live/n-kmeazATjw?si=X3ij2Vo-Q0MJF8hQ Askofu Gwajima amesema kumekuwa na mlolongo wa matukio ya watu kutekwa pamoja na kupotea hivyo kutokana na hayo ameamua kuitisha mkutano huu na waandishi wa habari kuongelea kuhusu suala hili na kisha kutoa...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Je Kigaila ni pandikizi la Usalama wa taifa?

    Je Kigaila ni pandikizi la Usalama wa taifa? Taifa linapata faida gani kwa kuweka watu kwenye vyama vya siasa zaidi ya kunufaisha mafisadi? waziri Mkumbo tumesha hakiki ni usalama je huyu ni mwenzake? Je huyu jamaa ni usalama au ni mchumia tumbo. Kuna habari za ndani zinasema analipwa na usalama
  20. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Udukuzi unavyoendelea kwenye page za serikali inaonesha ni jinsi gani tuna mifumo dhaifu kwenye ulinzi wa digitali

    Wakuu, Wadukuzi wameonesha ni jinsi gani kuna matobo kwenye mifumo ya ulinzi nchini. Mpaka page ya polisi inadukuliwa, baada ya kuangalia wamewezeje kufikia mifumo yao eti wanamtafuta mpotoshaji! Na haya hayatakoma hapa maana serikali huwa haitibu mzizi wa tatizo, inakwenda kuvamiwa matawi na...
Back
Top Bottom