The Tanzania Intelligence and Security Service (TISS) is the national intelligence and security agency of Tanzania. The Agency works closely with other National and International intelligence agencies and securities organs in the promotion and maintenance of peace, safety and security in and outside Tanzania’s borders.
----
Idara ya usalama wa Taifa (TISS) imeundwa kwa sheria ya bunge namba 15 ya mwaka 1996 (Tanzania Intelligence and Security Service act No. 15 of 1996) iliyosainiwa na Rais Benjamin Mkapa tarehe 20 mwezi Januari mwaka 1997. Sheria hiyo ndio inayoipa mamlaka Idara ya Usalama wa Taifa kufanya kazi zake ndani na nje ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na pia ina ainisha majukumu, mamlaka na mipaka ya idara ya usalama wa Taifa. Kutokana na kuwepo kwa sheria hiyo siyo rahisi kwa idara hiyo kufanya mauaji ya raia wasio kuwa na hatia kwani idara itakuwa inavunja sheria na kukiuka mamlaka iliyopewa na Bunge.
Iko hivi, wakati maandamano yanapamba moto kwenye miji mbalimbali hapa Tanzania kama Mwanza, Dar, Mara, Mbeya na Arusha, inadaiwa Rais Samia aliitisha kikao cha dharura cha baraza la usalama la taifa, lengo la kikao lilikua kufanya tasmini ya kilichotokea maana hawakukitarajia kabisa baada ya...
Hii idara huenda haipo huwa tunadanganywa kama taifa, inawezekana vipi idara ilishindwa kuona hatari iliyopo wakati wa Uchaguzi Mkuu 2020, then 2024 serikali za mitaa na mwaka huu wakapuuza security alert iliyokuwa imeshaonekana mapema? Hii idara ivunjwe kama ipo kweli maana naona mambo mengine...
Barua yangu kwa No 1 haikuzingatiwa, nasikitika sana, ona sasa yanayoendelea!, na sasa nakuja kwenu KAMATI na taarifa kutoka kwa ULIMWENGU usioonekana.
Sote tunatamani kuwa maovu yote yaliyotokea Tanganyika (Tanzania Bara) yasitokee tena kamwe. Tunatamani mambo yarudi kama zamani.
Kwenye...
Mzee Clemence Mwandambo anasema Katika nchi zenye kuwajibika leo hii IGP na Mkuu wa Usalama wa taifa walitakiwa kuwajibika kujiuzulu nafasi zao, waache ofisi wazi waingie wengine.
Anaendelea kwa kuongeza kuwa, Huwezi kushughulikia maharage yaliyoungua unamwagia maji kwenye sufuria harufu...
Mfumo dhaifu wa uajiri askari ndani ya vyombo vya usalama unaweza kupitisha majambazi na wauwaji hali inayoweza kuhatarisha usalama wa taifa.
Badala ya vyombo vya usalama kulinda raia vinakuwa vinajihusisha na ujambazi
Ni vigumu kusema kwamba watu wa kawaida wangeweza kutabiri yaliyojitokeza October 29 na takribani siku nne zilizofuatia mbeleni lakini kuelekea siku hiyo tulitegemea wale wanaosifiwa sana na wapambe wao kwamba wana macho kote, kwamba huwa hawalali ili taifa tuwe salama na kwamba hakuna anayeweza...
Abdul ? Kijana ambaye kichwani ni mweupeeee peee pee ! Ndio ambaye ameruhusiwa Kua na mkono wa Kiutendaji Ndani ya TISS ?
Yaan Abdul huyu Kichwa maji ndio naye ameruhusiwa kuwachomekea Washikaji zake kwenye Taasisi kama hii?.
Yaan TISS imegeuka kua Taasisi Kwa ajili ya Kupambana na UPINZANI...
Wakuu kwema katika jina yule atupatiae mkate wa kila siku.
Mimi ni mtanzania tena maskini tu wa kutupa ila najivunia nao maana vidole siku zote havilingani.
Rejea mada tajwa hapo juu natamani kukutana na wakuu tajwa hapo juu sio kwa nia mbaya bali kutoa ushauri wangu binafsi juu ya uchaguzi...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Hivi huyu mkuu wa usalama wa taifa hicho cheo alikipataje?
Chawa wake ni akina nani , ana magari mangapi, analala chumba gani, ana watoto wangapi, kaiba sh ngapi, yaan kwa kifupi ni hovyo kabisa
Anazidiwa mpaka na akina Jesca Magufuri ni...
Bado nawaza Rais wa nchi yeyote anawezaje kuongoza Taifa ambalo jeshi limegawanyika?
Yaani watu unategemea walinde mipaka halafu wanakuwa wamegawanyika!!
Unawezaje kutoboa?
Kawati huo huo wananchi hasa vijana ambao ni nguvu kazi wamekukataa?
Najiuliza nchi Kama hiyo unawezaje kuiongoza?R
Tuna weka note kujufunza level za usalama wa taifa kumbe ni sehemu ambayo kama katiba,sheria na mengine ndani ya nchi yakiwekwa chini ya mtu au watu basi usalama ni chumba cha mtu.
DMZ code .kwa sasa TAREHE 10/4/2025/huu mda TCRA WANAJUA KUDANGANYA WANANCHI
https://www.youtube.com/watch?v=j1UH7Yn6gSg
Hii ni makala ya pili inozungumzia nchi ambazo zina wizara kamili inoshughulikia Usalama wa taifa.
Wiki ilopita nilizungumzia umuhimu wa raisi ajae kufikiria kuanzisha wizara ya Usalama wa taifa ambayo itashughulikia usalama wa nchi na mipaka yake na...
Kwa video zinazoendelea kuwekwa na Dada Mange zikionesha utajiri usiendana na Kipato cha Dgis Mombo na Familia yake. Nashauri Rais Samia Tengua uteuzi wa Mombo mara moja.
Leo kuna video ya Hidaya Binti wa Mombo akichezea Dola laki 3 takribani milioni 800 za Tanzania taslim na akiwanyooshea...
Nchi ikiwa na idara ndogo ya Usalama kama kitengo kimoja tu na kukosa kiongozi mahiri na katiba inosiginwa kila mara, huyumba sana na kukosa mwelekeo na yale tunoyashuhudia leo ni matokeo ya kuyumba wa idara ya Usalama wa Taifa na hata pia kutuhumiwa kijihusisha na vitendo vya ufisadi na...
Narudia tena hakuna hatari kubwa kiusalama Kama watu kuzibwa midomo.
Hakuna hatari kubwa Sana kwenye usalama wa Taifa Kama watu kukosa platform na kuanza kuwasiliana kwa code.
Mlianza na Twitter, mkaja kupunguza uwezo wa kufanya kazi kwa Facebook na Instagram na tiktok.
Sasa mnaifungia jamii...
Kwa Uelewa wangu watendaji kazi wakubwa wa ulinzi wa ndani ya Nchi ni Usalama wa Taifa, na hawa wanapaswa kuwa makini sana na kila kitisho kinachotokea katika nchi kabla hata hakijafika polisi kutokana na mtindo wa mafunzo yao.
Lakini katika Taifa langu Tanzania, Usalama wa Taifa wanawajibika...
Nalilia Taifa langu ila zaidi nalilia idara nyeti za usalama wa Taifa maana hakuna hata anayeona what will be next phase ya hili Taifa tumekimbilia siasa na sasa wenye akili wameshatuweza na niseme hakuna anayeona na kama yupo basi uwenda ushauri wake umepigwa chini ila mkumbuke mchuma janga...
Habari za Sabato!
Nimemsikia Polepole kwa undani kabisa. Kitu anachokifanya sikukielewa mapema lakini kwa hotuba yake ya leo nimeona mbegu anayoipanda imelenga kuotea wapi na kuzaa kitu gani
Ni wazi wananchi wa nchi hii hawana chochote cha kufanya kinachotokana na kile anachosema Polepole...
Hivi karibuni zimekuwepo tuhuma za ufisadi wa kutisha nchini. Mange kimambi, mwanadada aliyeko marekani kwenye channel yake ya Instagram ameibua tuhuma nzito sana zinazomgusa mtoto wa Rais Abdul, mwanamama mmoja aitwaye Anjela, na Wafanyabiashara wenye asili ya Asia.
Mange amezungumzia tuhuma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.