Pendekezo: DSO awe ndio Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama wa Wilaya badala ya DC!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
49,406
2,000
Ukiangalia majukumu yao ya jumla ya utendaji wao wa kila siku binafsi naona Afisa Usalama wa Wilaya anafit zaidi kuwa Mwenyekiti wa kamati ya usalama ya Wilaya ukilinganisha na Mkuu wa Wilaya kama ilivyo sasa.

Mkuu wa Wilaya yuko kisiasa zaidi na mambo ya usalama yamejikita zaidi kwenye weledi na NIDHAMU.

Hayo ni maoni yangu, je wewe unasemaje?

Karibu!
 

Tigershark

JF-Expert Member
Oct 9, 2018
7,095
2,000
Vp kwa mkuu wa mkoa????Endapo wataondolewa hayo majukumu,basi watakosa ile masaa 24/48 ya kuwatia ndani wanaowaudhi!
 

Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
42,861
2,000
Ukiangalia majukumu yao ya jumla ya utendaji wao wa kila siku binafsi naona Afisa Usalama wa Wilaya anafit zaidi kuwa Mwenyekiti wa kamati ya usalama ya Wilaya ukilinganisha na Mkuu wa Wilaya kama ilivyo sasa. Mkuu wa Wilaya yuko kisiasa zaidi na mambo ya usalama yamejikita zaidi kwenye weledi na NIDHAMU. Hayo ni maoni yangu, je wewe unasemaje?..........Karibu!
Tatizo ni ccm.
 

TrueVoter

JF-Expert Member
Feb 13, 2008
1,584
2,000
Unaotaka wapewe hayo majukumu wanao huo uwezo??? labda kama mabadiliko hayo yaende sambamba na kubadili mfumo wa upatikanaji wa hao watu si kama ulivyo sasa.
 

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,058
2,000
Muundo wa wilaya unaakisi ule wa taifa.
Ikiwa hivyo Director wa TISS atakuwa wa taifa badala ya Raisi.

After all hivyo vyeo ni purely political for political reasons.
 

kirikou1

JF-Expert Member
Nov 8, 2016
4,421
2,000
Hivyo vyeo vinapaswa kufutwa kabisa havina tija.
Kuna meya, mkurugenzi na Das wanatosha hawa wilayani.

Kamati za ulinzi na usalama ziongozwe na JWTZ na DSO awe katibu.
Nchi itakua ya kiraia au ya kijeshi?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom