usajili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CHADEMA kufutiwa usajili upoteaji wa Wanachama wao

    Za ndani kuna mkakati unaandaliwa chadema kubebeshwa tuhuma za utekwaji na mauaji ya Mzee Wetu Ally Mohammed Kibao na viongozi wa CHADEMA watakamatwa na CHADEMA itafutiwa Usajili sababu kuna wana Chadema wameshaatengenezwa kutoa ushahidi wengine ni waliotekwa na kufichwa soon wataachiwa na...
  2. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Ellie Mpanzu huu utakuwa usajili bora kuwahi kutokea Tanzania , Muda utaongea

    Leo Mpanzu ataanza safari yake ya mpira akiwa Msimbazi pale Simba inakapoumana na Kagera sugar . Hakika huu utakuwa usajili bora wa muda wote kutokana ya aina ya uchezaji wake na nafasi anazoweza kucheza uwanjani .
  3. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Mpanzu ni usajili wa kisiasa kuna uwezekano asicheze kabisa Simba

    Elie Mpanzu aka Joshua Mutale toka kongo. Huu ni usajili wa kisiasa na inawezekana asichezee kabisa Simba msimu huu. Simba ni mabingwa wa kufanya sajili za kisiasa kutuliza joto la mashabiki. Lakini pia Mpanzu hana quality ambayo wengi wanaamini anayo ni winga wa kizamani wa kucheza kwenye...
  4. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania Toto afya kadi yarejea usajili mtoto mmoja Tsh 150,000 na wale wa makundi Tsh. 50,400

    Bima ya Afya ya Taifa wamezindua vifushi vipya ambapo kubwa ilikuwa ni kilio cha watanzania kuhusu toto afya kadi ambayo ilifutwa awali na kwasasa usajili utakuwa kama ifuatavyo kama unataka kumsajili mtoto wako ambae sio mwanafunzi utalazimika kulipa kiasi cha shilingi laki moja na nusu kwa...
  5. ngara23

    JamiiForums Tanzania Dirisha dogo la usajili lipo wazi, Yanga fanyia kazi maeneo haya

    Leo tarehe 15 dirisha limefunguliwa Me kama mwanachama hai wa Yanga Nina mapendekezo yafuatayo 1. Kiungo mkabaji Yanga inahitaji kiungo mpya wa ukabaki Khalid Aucho naona amechoka, ana majeraha ya mara Kwa mara tukimtegemea tutafeli kabisa Utimamu umepungua nadhani ni muda sahihi wa kumpa...
  6. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Yanga lawama wekeni hapa chini suggestions za usajili zimfikie injia... Maana kila mtu hamumtaki

    Tukiwa usajili wa dirisha dogo tuna idadi imetosha ya wachezaji wa kigeni la sivyo tuvunje mikataba. Tunahitaji kuimarisha kikosi kwa kutumia wachezaji wazawa kama kuna umuhimu waekuingia gharama ikiwemo kulipa kuvunja mkataba wa foreigner. Sawa mwenda hamumtaki Nashon hamumtaki Lawi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Serikali: Usajili wa taasisi ya kidini (FBO) zaweza chukua hata muda wa serikali kukaa madarakani, yaani miaka mitano ndipo isajiliwe

    Novemba 2024 ni mwaka mmoja tokea kuanzishwa na kusajili taasisi ya kidini wizara ya mambo ya ndani kitengo cha msajili wa taasisi zisizo za kiserikali. Leo hii nimefanya followup kutaka kujua nini kinakwamisha taasisi yetu isisajiliwe. Afisa akajibu kuwa majibu yanapatikana kupitia mfumo wa...
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Yanga kufungiwa kufanya usajili na FIFA ni Propaganda za Waandishi

    Salaam Wakuu, Nimekutana na Taarifa kutokea Twitter ya Privadinho ikikanusha taarifa zinazoelezea sakata la Yanga kufungiwa kusajili sababu ya kushindwa kulipa deni ya Bechem United. Tazama hapa chini.
  9. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania CAG wa Usajili kwa Clubs za Simba na Yanga

    Tunapoelekea nusu ya msimu mimi Mkaguzi Mkuu wa Sirikali. USAJILI WA DUBE Wanachama waangalie jambo hili wakiwahoji viongozi wao. Hizo Milion 700 za kumnunua Dube alikula nani? Tunapoangalia katika misimu ambayo Dube amechezea Azam ni minne. Ambapo ameibuka na magoli jumla 32. Wastani wa magoli...
  10. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Usajili wa mpanzu ni kichekesho na hauna tija kwa simba iliyojichokea..

    I salute you kinsmen. Kuna vichekesho vingi sana hapa nchini lakini hilj la usajilj wa garasa Mpanzu nalo lijjmuishwe. Huyu alisajiliwa kwa mihemko sana na bosi wetu gabachori aliingizwa chaka. Huko Belgium walimkataa kwa majaribio sababu ya umri wake mkubwa miaka 37 y ukweli. Inasemekana...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje kwa namba za usajili wa magari?

    Kwa muda Sasa nimekuwa nikifuatilia kwa makini namba za usajili wa magari, Kuna kitu nimekiona sijakielewa. Nimeona nikilete hapa jamvini nipate msasa kidogo. Ni kuhusu zile herufi zinazoambatana na tarakimu katika namba za magari. Katika hizo herufi ni herufi mbili tu ndiyo sijawahi kuziona...
  12. Paulolaurent

    JamiiForums Tanzania Habari wana jf kuna ujumbe nimepata kutoka google play kuusu usajili ku canceled na sijajua kama ntarudishiwa pesa na kama ntarudishiwa itachukua mda

    Msaada ndugu zangu pesa inaweza kurudi
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kocha wa Bayern, Vicent Kompany anamtaka beki wa kushoto wa Mamelodi, Mudau dirisha dogo la usajili mwezi Januari 2025

    Taarifa za usajili nchini Afrika Kusini zinamtaja Kocha mkuu wa klabu ya FC Bayern München Vicent Kompany kuwa amepanga kumsajili mlinzi wa pembeni wa klabu ya Mamelodi Sundowns FC raia wa Afrika Kusini Khuliso Mudau katika dirisha dogo la usajili mwezi Januari. Awali Kompany alidhamiria...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya usajili wa wanafunzi chuo cha NIT baada ya mfumo wa ulipaji ada kubadilishwa

    Chuo cha Taifa cha Usafirishaji kimekuwa na changamoto kwenye suala la usajili kutokana na kubadilishwa kwa mfumo wa ulipaji ada kutoka mara 4 kwa mwaka wa masomo mpaka mara 2 kwa mwaka wa masomo Wanafunzi wengi tunapata shida kufanya usajili kwasababu ya hali ngumu za kimaisha za familia zetu...
  15. Mkenda01

    JamiiForums Tanzania Mzee Ayo afariki dunia baada ya kutapeliwa pesa mtandaoni. Umuhimu wa NIDA na alama za vidole kwenye usajili wa kadi za simu ni upi?

    Habari wana JF Wakati swala la kusajili kadi za simu kwa kitambulisho cha nida na alama za vidole unaingia nchini tulipewa umuhimu mbalimbali wa jambo ilo ikiwemo swala la usalama na kudhibiti utapeli kwa njia ya mtandao. Nimeleta hoja hii kwani ni miaka sasa tangu swala la kujisajili kwa...
  16. Optimistic_

    JamiiForums Tanzania Usajili wa jina la biashara na kampuni (BRELA)

    USAJILI WA JINA LA BIASHARA NA KAMPUNI (BRELA) Rasimisha jina la biashara yako kisheria, upate faida nyingi. Mimi ni mbobezi wa kufanya application Brela kwa ajili ya usajili wa jina la biashara na makampuni. Nakuandalia kila kitu kuanzia nyaraka zote zinazohitajika. Nipigie 0765991551
  17. Samatime Magari

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Okoa zaidi ya milioni 1, pata ist chasis kwa 17.5m tu + usajili

    Ndio its a fresh import hii Safari tembo mafuta Mbuzi kazi ni kwako.... Machine ni YA 2005 ina km 58,000 CC 1290 na imetoka Japan juzi tu bado inanukia Ki Japan Japan... Service yake haizi 100K oil Filter 10K, Engine Oil Mafuta ya Kula Air Cleaner unapuliza Labour Charge 5K.. Sasa ukianza...
  18. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania SAIKOLOJIA YA SOKA: Usajili wa Elias Mpanzu Simba SC ni usajili wa kisiasa ili kuwapumbaza mashabiki na wanachama kuficha makosa, Mpanzu ni Garasa

    Kama kawaida wakuu. Sijawahi kumuona Mpanzu akicheza uwanjani kama ambavyo wana Simba wengi hawajawahi kumuona akicheza uwanjani. Jana hotuba ya Mo akiwahutubia wwnachama alisema amesajili wachezaji 16 pia amemleta Mpanzu. Yaani ktk wachezaji 16 mpanzu ni wa 17, katajwa kivyake. Ktk hao 16...
  19. wasakatonge forever

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Clotus Chama kwa yanga hadi sasa hauna tija yoyote

    Kama umekua ukifatilia mechi za yanga sc msimu huu wa mashindano , nadhan utakua umeona kiwango cha mchezaji Clotus Chama . Kwangu mimi naona hadi sasa Chama hana mchango mkubwa kwenye pitch , maana kwa nilivoona kwenye mechi ambazo amecheza inaonekana energy yake ishashuka kabisa, ila kwa...
  20. Pdidy

    JamiiForums Tanzania MSAJILI MSITOE USAJILI WA KANISA WALA SEHEMU YA IBADA KWA BW C.GODLOVE..MSSISEME AYUJAWAMBIA YA BUZA MLIYASIKIA MKAYAONA

    KWAKO MH MSAJILI NIMEONA CLIP MOJA YA KIJANA MMOJA MPENDA MTANDAO KAMA NDUGUYETU YULE KIBOKO YA WACHAWI HUYU BWANA ANASEMA HANA MPANGO WA KUFUNGUA KANISA ANAFUNGUA SEHEMU YA KUABUDIA MWENYE DINI YOYOTE AJE NA AJALAZIMISHA MTU KUJA AMESEMA YUKO KWENYE PROXESS ZA KUOMBA USAJILI NAOMBA KABLA...
Back
Top Bottom