usajili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wizara ya mambo ya ndani ya nchi ianze kuboresha vigezo vya usajili wa taasisi za dini, hasa makanisa

    Sijui kama wizara Ina maono gani kuhusu usajili wa taasisi za dini, hasa makanisa. Kwa upande wangu naona ni muda muafaka Sasa kupitia upya vigezo vya usajili wa makanisa kabla hatujachelewa. Naona kabisa matapeli wote wa mjini wamevamia usajili wa makanisa. Nashauri kwamba kwa kuanzia Sasa...
  2. JamiiForums Tanzania Utata wa usajili wa golikipa wa Simba Beno Kakolanya unatuambia sheria zetu za usajili zina mapungufu

    Kabla hata ya derby ya Simba na Yanga, kulizuka utata kuhusu upangwaji wa golikipa wa Simba Beno Kakolanya katika mechi muhimu za Simba wakati Aishi Manula akiwa majeruhi. Utata huu ulikuja baada ya kusemekana kuwa Beno amesaini kuchezea Singida Big Stars (SBS) kuanzia mwishoni mwa msimu huu...
  3. JamiiForums Tanzania Tunaomba jina la kiongozi wa Simba SC aliyeshawishi usajili wa Sawadogo atupe maelezo

    Huyu Mchezaji sijawai ona tangia amejiunga na Simba Sc hakuna Mechi hata Moja aliyo perform kwa kiwango cha kuthibitisha kwamba huyu ni international professional player. Ni kheri sasa huyu kiongozi aliye pendekeza usajili wa huyu mchezqji qjitokeze walau atuambie ni kipi yy kilimshawishi
  4. JamiiForums Tanzania Hongera Engineer kwa kujihusisha na usajili na kuleta wachezaji wazuri Jangwani!

    Kama shabiki wa simba, nakupongeza kwa kazi nzuri yakutafuta wachezaji wazuri bila kuingiliwa na kuwakata mikono wazee wa 10%... mwanzoni ulilalamikiwa sana na vyombo vya habari et kwanini unajihusisha na usajili... mjomba ulikuwa unampandia ndege mchazaji unapomwona anafaa bila kujiuliza...
  5. JamiiForums Tanzania SIMBA na usajili msimu ujao

    KOCHA Mkuu wa Simba Robert Oliveira ‘Robertinho’ amepania kuongeza idadi ya mastar katika kilabu ya Simba huku akitazamia zaidi katika mechi za kimataifa, kwa sasa kwa kila mchezo anaocheza uwe wa kimataifa au wa ndani anakuwa na kazi nyingine ya kutafakari nini kimepelea na nini cha kuongeza...
  6. JamiiForums Tanzania Hispania: FC Barcelona yazuiwa kufanya usajili

    Mtendaji Mkuu wa Ligi Kuu ya Hispania ‘LaLiga’, Javier Tebas amesema kuwa klabu hiyo haitakiwi kufanya usajili katika dirisha kubwa mwishoni mwa msimu huu hadi watakapofanikisha kuingiza Pauni Milioni 178 (Tsh. Bilioni 496) ili kutimiza Sheria ya Fedha. Hivyo, Barcelona watatakiwa kuuza...
  7. JamiiForums Tanzania Usajili wa line na vibao vya makazi havina tija kwa Wananchi

    Wezi wa mitandao wameishinda serikali! Vibao vya makazi vimeimarisha nini tangu kuwekwa kwa gharama ya zaidi ya B360? Tunashuhudia kila mwaka nchini, Serikali kupitia TCRA, tukielekezwa na kulazimishwa kusajili line za simu kwa watumiaji wapya, lakini pia kuhakiki kwa wale ambao walikwisha...
  8. JamiiForums Tanzania TCRA yafungia Laini za Simu 900,000 zisizo na Usajili wa Alama za Vidole

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema hadi kufikia Jumanne, Februari 14, 2023, Jumla ya laini za simu 900,000 ambazo hazikuwa na Usajili Rasmi wa Alama za Vidole na Kitambulisho cha Taifa, zilikuwa zimefungiwa mawasiliano.
  9. JamiiForums Tanzania Laini za Simu Milioni 1.9 zisizo na Usajili Rasmi kuzimwa leo Februari 13, 2023

    Uzimaji unazihusu Laini zote ambazo watumiaji wake hawajakamilisha Usajili kwa Alama za Vidole na Ktambulisho cha Taifa ambapo hadi kufikia Februari 5, 2023, Laini Milioni 1.92 hazikuwa na Usajili rasmi. Kwa mujibu wa Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA), Laini za Simu zenye Usajili rasmi...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Rais kuisuka upya NIDA na RITA, wakwama usajili wa watu

    RITA na NIDA wapo mbioni kufumuliwa na kusukwa upya kuendana na Kasi ya awamu ya sita. Maeneo yanayotegemea kuwekewa mkazo nikudhibiti Watanzania na wageni waliozaliwa nje ya nchi kutokupata cheti cha kuzaliwa kama vile wamezaliwa Tanzania. Mwanya huu unatumiwa Sana kusaidia raia wa kigeni...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali yaongeza siku 14 za kukamilisha Usajili wa Laini za Simu

    Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeongeza Siku 14 kutoka Januari 31, 2023 iliyopangwa kufungia Mawasiliano ya Laini za Simu mbazo hazijakamilisha usajili wa alama za Vidole na Kitambulisho cha Taifa. Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, #NapeNnauye...
  12. JamiiForums Tanzania Unazungumziaje usajili wa Antony pale Man Utd baada ya mechi kadhaa sasa

    Jamaa ni kama amenunuliwa pesa nyingi na ameshindwa kuonyesha kwanini walimnunua kwa pesaa nyingi. Kwakifupi ni kama wamepigwa.
  13. JamiiForums Tanzania Akina Kamwe, Manara na Privadinyo waliokuwa 'Wakitupostia' Picha za Miquissone Kipindi cha Usajili mbona sasa wako kimya?

    Mlifanikiwa kweli kweli 'Kuwaokota' Mashabiki wenu wenye Mapungufu ya Asili ya Akili na Kufikiri huku Wakirandaranda Mitaani na Kutamba ujio wake wakati kumbe zilikuwa ni Ndoto za Mchana tu. Kama kwa sasa tu Mshahara wa Aziz Ki wa Shilingi Milioni 23.5 kwa Mwezi unawatoa Jasho na Mchezaji kila...
  14. S

    JamiiForums Tanzania LATRA saidieni kurahisisha usajili siyo kutukwamisha

    Habari wadau, mimi sio mwandishi mzuri ila ntajitahidi ili nieleweke. Usajili wa gari za biashara hasa mpya ili zianze route imekuwa changamoto. LATRA wameweka vigezo ambovyo vingi vinawezekana ila kuna kigezo cha Dereva kufanya mtihani na hicho ndio changamoto. Dereva anahitajika fufanya...
  15. JamiiForums Tanzania Nilikuwa mmoja ya watu wa kwanza kupinga usajili wa Bernard Morrison na kweli hajaniangusha. Huu ni uhuni kwa sisi Yanga

    Hawa watu niliwakataa 1. Haji Manara (huyu hana akili ila alituona sisi Yanga ndo hatuna akili. Simba wakamfukuza) sisi tukaona tumeokota Dodo. 2. Bernard Morrison (huyu alitudhalilisha sana...tulihangaika TFF, CAF na CAS. alikuwa anatuonesha dharau sana) ameachwa Simba tumemkimbilia ameanza...
  16. JamiiForums Tanzania Usajili wa ‘Kanisa la Neema’ uchunguzwe

    Siandiki ili kupinga uanzishwaji wa makanisa, naandika jambo ambalo kama halitashughulikiwa mapema, kuna siku litaleta matatizo, tena yawezekana yakawa matatizo makubwa sana. KANISA LA NEEMA la mume wake na grace zoazoa vipodozi, limekuwa kero, linatukana na kupotosha Biblia na amekuwa...
  17. JamiiForums Tanzania DOKEZO Kukosewa majina ya wanafunzi wakati wa kusajiliwa kufanya mitihani ya taifa kunasababisha kutofautiana na vyeti vya kuzaliwa

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Pro.Mkenda kuna shida kubwa sana sana ya watoto kukosewa usajili wa majina yao sahihi ya awali, kati na ubini. Hili jambo limekuwa ni kubwa na tatizo sana kwa sasa kila kona ya Tanzania. Kwa mfano, John -Joni Peter-Pita Rehema-Rehem Na mengine kukosewa...
  18. JamiiForums Tanzania Aliyeelewa usajili wa Mudathir Yahya anieleweshe

    Mimi ni mwana yanga damdam lakin kwenye huku usajili naona kama tumepigwa na kitu kizito na sielewi Mudathir alikuwa ana uhitaji gani na naenda kumchukua nafasi ya nani au ndo yale ya kina Ngushi. Huenda Wana maana yao Ila Acha tuone walikuwa wanalenga nini...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada usajili wa Trademark Brela kipengele cha Nice description

    Naomba msaada kwenye hii sehemu baada ya kujaza nice class ambayo service yangu imo natakiwa kuweka nice class description Ni zipi hizo? Mfano nice class yangu Ni 42 Kwenye nice description naandika nini?
  20. JamiiForums Tanzania NIDA yaanza usajili wa Vitambulisho kwa njia ya Mtandao

    Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imetambulisha mfumo wa usajili wa watu kwa njia ya mtandao utakaowezesha wananchi wenye sifa za kuomba vitambulisho vya taifa kwa kujaza fomu mtandaoni. Waombaji wa awali watajaza fomu mahali popote walipo bila kulazimika kwenda ofisi za usajili za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…