Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imeipiga marufuku Linkee kutoa huduma ya taxi-mtandao kwa maelezo kuwa haina leseni ya kutoa huduma hiyo.
Aidha, mamlaka hiyo imewaonya madereva watakaotumia huduma hiyo, huku pia wananchi wakiaswa kutoutumia.
Habarini za asubuhi Wanajamvi,
Kwa wale wa dar poleni na mvua ya asubuhi asubuhi.
Naomba kuulizia usafiri wa bus safi na huduma bora toka Dar hadi Tunduma.
Nina wageni wangu kutoka nje wanataka kusafiri kwenda Tundumba kwa bus.
Nikiuliza bei ya kiroba cha mihogo sokoni niliambiwa ni 70,000-80,000. Inamaana ukiwa na heka tano za mihogo Kisarawe, na una van ndogo inayoweza kubeba viroba vinne kwa siku. Una uwezo wa kuingiza laki tatu kila siku ukipelela mihogo soko la ndizi asubuhi.
Jioni unawapa vijana viroba...
Nahitaji usafiri wa Gari za IT nahitaji niondoke saa 3 usiku na kufika Dodoma saa 12 asubuhi, kuna issue ya saa 2:30
Asante waugwana nimefanikiwa kupata Coster pale Mbezi nimeanza safari saa 4 usiku nikeingia Dom saa 11:00
Nimemalizana na jambo langu nipo njiani kurudi jijini Dar.
Katika biashara yeyote ushindani ndiyo kitu muhimu na matokeo yake kila mshindani anajitahidi kutangaza bidhaa/huduma yake na kwa ubora unaotakiwa. Miaka mitano iliyopita kulikuwa na ushindani katika sekta ya usafiri wa anga baina ya Air Tanzania, Fastjet na Precision.
lifikia wakati abiria...
1. TAWAQAL EXPRESS
Pichani ni basi la kampuni ya Tawaqal. Kampuni hii ilikuwa balaa. Njia ya Dar - Mbeya, Dar- Kyela, Dar - Tunduma na Dar - Songea.
Kampuni hii ilikuwa na madereva mahiri kwelikweli. Miongoni mwao alikuwepo GIRIKI.
Jamaa alitoka Dar saa 12 asubuhi akaingia Mbeya saa 7...
habari zenu watanzania? nimerud nilikuwa busy sana na mikutano ya kimataifa USA,UK,Canada, Sweden, Egypt, South AFrica, Nigeria, Russia na France. nashukuru angalau nimerudi kwa week moja hivi nije angalia mnaendeleaje hapa nchini. naambiwa tu kuna joto n.k. sijui maana sijapata nafasi ya kuwa...
Kuna baadhi magari ya abiria unakuta wanaweka mambo ya dini kwenye redio zao tena kwa sauti kubwa je hii ni sawa maana mule mpo watu dini tofauti pia wengine awana dini pia wengine awaamini kinachoongelewa kwa wakati huo hii naona kama haiko sawa
Tafadhali Husika na kichwa Cha Uzi Huu.
Mimi ni Job seeker, nimepata kibarua Cha laki tatu Dar es Salaam. Sijawahi kufika Dar ila nasikia maisha ya huko ni Magumu kwa sababu ya bei ya vyakula, Pango na Usafiri. Naomba kuuliza, kwa kiasi hicho tajwa, nitamudu maisha ya Dar?!
Ahsante.
Habari Wakuu. Kuna mzigo uko bandari ya Dar nahitaji usafiri wa kupeleka Lusaka, Zambia. Ni kiasi cha Tani 900. Nahitaji malori yenye uwezo wa kubeba Tani 30. Bajeti ni Sh 150,000 kwa Tani. Naomba msaada kwa mwenye connection.
Hakika sijaona mji wenye system nzuri ya daladala kama Mbeya. Stendi kubwa zipo tatu kuna ya mjini ambayo ni stendi kuu ya zamani na ni kubwa kiasi kwajili ya mabasi ya mikoani na daladala, kuna stendi kabwe hii ni kwajili ya daladala na bajaji na pia utaikuta stendi kuu ya nane nane...
Kwenye hili la boda boda naomba tutoe pongezi nyingi kwa aliyeleta hili wazo zitumike kama usafiri wa abiria.
Ameacha alama kubwa kwakweli maana kila kona now kuna kijana ana pikipiki yaaani zimeajiri mamilioni kwa mamilioni ya watu kuna watu wanafaa kuchongewa sanamu aiseepo
pongezi nyingi...
MASALANGE; KERO YA USAFIRI KATIKA MABASI ILIYO FUMBIWA MACHO!
Masalange au kama wanavyo penda kuitwa, Maafisa usafirishaji kwa kimombo " BUS AGENTS" ni watu ambao wamekuwepo katika kila Stendi za mabasi ili kurahisisha upatikanaji wa usafiri kwa abiria waendao maeneo mbali mbali nchini na nje...
Unapata shida kusafirisha mizigo, bidhaa, kwasababu hujui wapi unapata gari, hujui gharama za kusafirishia,
au unapigwa na watu wa kati na hujui jinsi mambo yanavyofanyika?
Kwanini upigwe kwa bei za ajabu? Kwanini usifanye mwenyewe?
USIISHI KIZAMANI
Mambo yamebadilika, kuanzia leo...
Leo nikiwa natoka kazini kwenye daladala nimekaa pembeni yangu alikuepo Nnesi amevaa sare ya kazi nahisi naye alikuwa anatoka kazini.
Kwakweli kwa upande wangu sijafurahia alikuwa anatoa kwa mbali manukato ya hospitali.
Nimejiuliza mtu anayeshinda na wagonjwa wengine ni magonjwa hatari je...
Siku za mvua zina vishawishi vingi sana, ukifikiria usafiri wa kufika Mbagala, mabasi yamejaa na miundo mbinu yetu ilivyo rafiki. Mvua imeanza mchana na umefika ofisini na high heels zile ulizonunua juzi kutoka Uturuki.
Kuna kijana hupendi sauti yake lakini ana IST, mbona unaweza kumtafuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.