usafiri

  1. JamiiForums Tanzania UZI MAALUM: Kwa wale wasafiri wa usiku [Mikoani] hivi ndivyo vituo unaweza kupata usafiri kwa haraka

    Habari ya muda huu wakuu wa JF, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuna muda unaweza kupata safari ya ghafla ya usiku kuelekea mkoani, hivyo katika uzi huu tutajaribu kupeana maeneo ambayo utaweza kupata usafiri bila tatizo DAR- ES SALAAM[Mbezi-louis] kwa dar ukitoka tu pale stand ya...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi ni nani alileta huu usafiri wa boda boda Tz?

    Habari za jioni, usiku, mchana na asubuhi. Nimekuwa nikijuiliza sana ni nani alileta huu usafiri wa boda boda, maana nikikumbuka miaka ya nyuma usafiri tegemezi ulikuwa ni dala dala, teksi na gana gana. Ila ghafla zikaibuka maboda boda ambao wamekua kero sana kila sehemu kwa kuendesha piki piki...
  3. JamiiForums Tanzania TCAA imetangaza nafasi 10 za mkopo wa mafunzo ya utengenezaji wa Ndege, angalia hapa jinsi ya kuomba

    Kwa niaba ya Kamati ya Mfuko wa Mafunzo ya TCAA, Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania inakaribisha Watanzania wenye sifa za kuomba mkopo wa mafunzo ya fani ya Uhandisi wa Matengenezo ya Ndege (nafasi 10)
  4. JamiiForums Tanzania Tukumbushane changamoto za Usafiri katika kuvuka mito korofi

    Amani ya Bwana iwe nanyi, Tunamshukuru Muumba kwani nchi yetu imejaaliwa kuwa na mito mingi mikubwa kwa midogo, ile ya msimu na isiyo ya msimu. Mito hii licha ya kupendezesha sura ya nchi imeleta pia changamoto za usafiri tokea upande mmoja kwenda upande mwingine. Nilipokuwa kijana mdogo...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali tupieni macho usafiri wa Kamanga Ferry Mwanza

    Wizara inayoshughulikia vivuko ndani ya ziwa victoria na Serikali mkoani Mwanza tunaomba mtupie macho wananchi tutakufa. Hali ya bandari siyo rafiki kwa usafirishaji. Kwa wasafiri wa kivuko cha KAMANAGA FERRY kutoka Mwanza Kamanga na Sengerema tunatabika sana hiloeneo ni barabarani watoto...
  6. JamiiForums Tanzania Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

    Wakuu mambo vipi? Naona ma PDF yameanza kumwagika, changamoto ya malalamiko ya kwanini Utumishi wako kimya, inakwenda kuisha huku changamoto nyingine zinazotokana na kuitwa zinaanza kuibuka kwa kasi ya ajabu. Hii ni kwa wote, wanaokwenda kwenye Saili mbalimbali na hata wanaowategemea...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji usafiri wa kusafirisha mizigo(vitu vya nyumbani) kutoka Magu Mwanza kwenda Morogoro

    Wakuu naomba koneksheni ya kuweza kusafirisha mizigo ya nyumbani kutoka Magu Mwanza kwenda Morogoro. So nahitaji gari ya mizigo inayopita hapa Magu kuelekea Morogoro au Dar..
  8. JamiiForums Tanzania Nauza "Usafiri" wa fasta, Mwanza to Dar ni dakika 15 tu!

    kumekucha kazi zimeanza jamani Bei elekezi ni milioni 5. hamna nafasi ya punguzo. 91km per minute. karibuni sana kina Mshana Jr
  9. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sayansi na Teknolojia katika matokeo hasi katika vyombo vya usafiri na matumizi ya simu kwa vijana wa karne hii pamoja na lugha yetu

    SAYANSI NA TEKNOLOJIA KATIKA MATOKEO HASI KATIKA VYOMBO VYA USAFIRI NA MATUMIZI YA SIMU KWA VIJANA WA KARNE HII PAMOJA NA LUGHA YETU. Sayansi na teknojia imekuwa msaada mkubwa katika karne hii ya 21,kumekuwa na mavumbuzi mengi na ya kisasa,Sayansi na teknolojia imezalisha na kuwaibua wataalamu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwamposa jitahidi uwe unamaliza ibada zako saa 12 kamili, unawatesa waumini wako na usafiri mgumu wa kurejea makwao

    Ninavyoandika hivi kuna Waumini wako (Mabinti na Wamama) wanarandaranda tu Kawe Stendi, Maringo na Ukwamani wakikosa Usafiri hivyo Fisi tuliopo Leo tumepata Nyama za Bure za Kula kwani tutawahifadhi Makwetu na Maghettoni na Kesho watakupa Ushuhuda wa Kubeba Mimba kwani Wengine tuna Mbegu Kali...
  11. JamiiForums Tanzania Sheria ya vyombo vya usafiri.

    Ndg wanajukwaa salam.Naomba kufahamu sheria inasemaje kwa wanaondesha vyombo vya moto bila plate namba?Hususanh pikipiki mana gari sijaona sana.
  12. JamiiForums Tanzania SoC02 Ukaidi wa sheria kutoka kwa madereva na wamiliki vyombo vya usafiri maarufu kama bodaboda

    Katika nyakati hizi tofauti na nyakati za nyuma kidogo, dunia imejaliwa kufanya gunduzi mbalimbali za sayansi na tekinolojia ikiwemo gunduzi bora kabisa za vyombo mbalimbali vya usafiri ikiwemo pikipiki. Vivyo hivyo kwa Tanzania usafiri huu wa pikipiki maarufu kama boda boda umeleta ufanisi...
  13. JamiiForums Tanzania Usafiri wa basi na kero ya kelele za muziki

    Kutokana na hali mbaya ya uchumi, watu wengi tunatumia usafiri wa basi kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine. Mabasi ya siku hizi yanakuja na Tv set. Wamiliki wa mabasi haya wana tabia ya kufungua mziki kwa sauti kubwa sana wakidhani labda ni burudani kwa abiria wote waliomo ndani ya basi husika...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu afanya makubwa sekta ya usafiri wa anga

    Katika mwaka wa fedha 2022/23 Serikali ya Rais Samia Suluhu imetenga Sh. 86.1bn/- kwa ajili ya ujenzi na marekebisho ya viwanja vya ndege mbalimbali nchi nzima. Lengo ni kuboresha sekta ya usafiri wa anga na pia kuimarisha sekta ya utalii ambayo imekuwa ikichangia kiasi kikubwa sana cha fedha...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu anafanya makubwa sekta ya usafiri wa anga

    Katika mwaka wa fedha 2022/23 Serikali ya Rais Samia Suluhu imetenga Sh. 86.1bn/- kwa ajili ya ujenzi na marekebisho ya viwanja vya ndege mbalimbali nchi nzima. Lengo ni kuboresha sekta ya usafiri wa anga na pia kuimarisha sekta ya utalii ambayo imekuwa ikichangia kiasi kikubwa sana cha fedha...
  16. JamiiForums Tanzania Kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta, wengi wameamua kutegemea usafiri wa baiskeli katika mizunguko. Barabara zetu ni salama kwa watumia baiskeli?

    Usafiri wa baiskeli kwa wengi ni kwa kuimarisha afya kwani unapotumia baiskeli unafanya mazoezi. Kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta wengi wameamua kutumia usafiri huu kuwafikisha kutoka hatua A kwenda B. Barabara zetu ni salama kwa atumiaji wa baiskeli? Bila tahadhari hii kutakua na vifo...
  17. JamiiForums Tanzania Njia gani nzuri Dar-Johannesburg?

    Wakuu Krismasi nimepanga kuitest LANDCRUISER PRADO TX kutoka Dar mpaka Johannesburg nipitie njia gani baada ya kuvuka Border? Zambia-Zimbabwe-SA au Mozambique? NB: Ikumbukwe hii ni Adventure tu vibali/documents zote zimekaa vizuri CORRECTION: Njia gani nzuri Dar-Johannesburg
  18. A

    JamiiForums Tanzania Michael kyando wa kipindi cha ujue usafiri wako (ITV)

    Huyu jamaa huwa anatumia syllabus gani...mbona kama namna anaelezea mifumo ya engine na utendaji wa magari ni wa zamani .. Ni sawa na mm kusoma kitabu cha zaman kinachoelezea namna engine za petrol na diesel zinafanya kazi where utakuta kitabu cha mwaka 70 huko ambavyo ndo vingi vimejaa ma...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Mwenye usafiri binafsi wa kutoka DSM kwenda Mwanza wiki hii

    Wakuu habari! Naulizia Kama Kuna mwenye usafiri wa private kutoka DSM kwenda MWANZA ndani ya wiki hii tuchekiane PM,Nina kiasi Cha kuchangia mafuta na ninahitajika kufika Mwanza kabla au siku ya Alhamisi. Ahsante!
  20. L

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa boda: Abiria just mzigo chini

    Abiria hana woga wa ajali.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…