usa

  1. Kaka yake shetani

    Naomba kuuliza hivi huyu ni nani?

    Nipo nyumbani hapa naangalia mtandao x naambiwa kuna mtu kapigwa kauziwa barafu jangwani ?
  2. BLACK MOVEMENT

    Serikali ya Tanzania kupitia Balozi wake USA watoe tamko la kulaani jaribio la kutaka kumuua Trump

    Hatuwezu kaa Kimya huku Democrasia ikiwa kwenye majaribu makubwa sana, tunaitaka Serikali kupitia Balozi wake au kupitia waziri wa mambo ya nje watoe tamko rasimi la kulaani Jaribio la kutaka kumuua Trump na kuitaka Serikali ya Marekani kuheshimu misingi ya Democrasia. Ni kwa bahati mbaya hawa...
  3. Kijana mtafutaji

    Nataka kuondoka Tanzania na kwenda kuishi nje ya nchi

    Hadi kufikia maamuzi haya ya kutaka kuondoka nchi yangu kuna mambo mbalimbali ambayo kila siku yananipa mawazo. Mambo yanayonikosea furaha 1. Ugumu wa kupatata ajira yenye mshahara mkubwa. 2. Wazazi wangu wote wamefariki ndugu nao kwangu hawana msaada kwangu. 3. Hata kwenye mapenzi napo bado...
  4. Cathylin 2002

    Mahusiano Ya kiafrika vs USA

    Habari wanna jm Leo napenda nionge na vinaja 20s mpaka 35 ni kwa ufupi Moja ya mambo muhimu ni mahusiano je mwanamke gan sio wa kuwa na mahusiano nae kabsa ? ✓kama hawez kumud gharama za kusuka na anapenda kusuka 3x a month ✓Mwanamke muomba pesa za kula ✓kijana usiwe na mwanamke amepanga...
  5. lee Vladimir cleef

    Masters voice prophecy: Mtumishi wa Mungu wa kike wa USA ameoneshwa na Mungu kuwa USA itapingwa na Urusi

    Mtumishi wa kike wa USA mwanadada Cerestrial anakuja na utabiri wake wa kiroho ambao unajirudiarudia kua Mungu amekua akimuonesha kua taifa la Marekani linaenda kupigwa vibaya sana na na Urusi ikishirikia a na china na kuanguka mazima. Mtabiri huyo mwana dada Mmarekani mweusi anasema...
  6. Vien

    Special thread: Copa America 2024 - USA

    Karibu katika speacial thread ya Copa America 2024 inayoendelea kule USA, Tutakua tunaendelea kupeana updates hapa kwa yanayoendelea Mpaka sasa ni Team tatu pekee zimeonyesha kiwango cha juu sana katika mashindano haya Argentina Uruguay Colombia Brazil ameanza haya mashindano vibaya kwa...
  7. Nsanzagee

    Mbali na kuwa na washirika wengi wanaomuunga mkono Russia, kwa USA, Russia ni kama yuko peke yake!

    Russia tangu ameingia vita vya kijeshi na ka nchi kadogo kanakoingia mara 8 kwa Russia, ametafuta ushirika na mataifa mengi na makubwa yenye uwezo mbalimbali kijeshi mpaka kafika Africa akajipatia SA Marafiki ambao wamekukubaliana kuweka ushirikiano pamoja ili kumdhibiti USA ni, China, Iran...
  8. M

    Copa America 2024 in USA

    Copa America inaanza tarehe 20 June na kutamatika July 14. Moja ya mashindano kongwe kabisa yakianza 1916 Mataifa 16 yatakiwasha kumpata mbabe kwa mwaka huu wa 2024. argentina na Uruguay ndiyo nchi zilizobeba ubingwa huu mara nyingi zaidi, 15 kwa kila mmoja Brazil wao wakibeba mara 9 tu...
  9. ward41

    USA hata kama akasimama pekeake dhidi ya dunia nzima kivita, bado tutapigwa tu

    Kuna watu wana uelewa mdogo sana kuhusu uwezo wa USA kiichumi, kivita, silaha, technology. Ukweli unabaki pale pale kwamba hakuna taifa lolote linalomsogelea MAREKANI kwenye: a) Uchumi b) technology c) silaha d) Vita e) Biashara Uwezo wa Marekani ni mkubwa mno kwenye hizo nyanja. Kama...
  10. K

    Yemen yatungua ndege jeshi ya 6 ya jeshi la USA- tazama ilivyoitungua!!

    Houthi wanaotawala eneo kubwa la Yemen wametungua tena ndege jeshi ya USA aina ya MQ-9 ambayo thamani yake ni dola 30mln. Taarifa rasmi ya msemaji wa jeshi na video ya hatua nzima ya kuipiga komborq ikiwa umbali wa zaidi ya 10km angani nimeambatanisha.
  11. A

    USA Amekimbia Red Sea

    Tuliwambia humu Yemen hakuna Taifa duniani linamuweza mkabisha, mkawa mnacheka wengine wakawa wanawacheka eti ni masikini kuliko hata Tanzania. Leo hi America kakimbia Red Sea kakiri wazi Yemen ni moto wa kuotea mbali, sa nani atasogea hapo? https://youtu.be/X4gEJdChHvs?si=UDvbpvkGDw8l_IIe
  12. K

    Kwa USA, Ruto anachukuwa nafasi ya Ramaphosa?

    William Ruto wa Kenya kachukuwa nafasi ya Cyril Ramaphosa wa South Africa baada ya South Africa kujiunga na Urusi na China kwenye Bricks. Hii imetoa mwanja kwa Marekani kuangalia kiongozi mwingine. Marekani imeangalia kiongozi mwingine kwa vigezo ambavyo Tanzania haina kikubwa demokrasia na...
  13. Kaka yake shetani

    Hivi mtoto wa Jakaya jina limenitoka aliyekuwa mtata sana jina la utani (Majani au Miraji) mara ya mwisho na kumbuka alikuwa USA

    Kabla mzee jakaya ajawa raisi alikuwa na mtoto sema jina limenitoka na kipindi cha watoto pale wilaya kino na maeneo ya makongo watamfahamu huyu. Huyu mwamba miaka ile uwezi kujua kama alikuwa mtoto wa kishua na mpaka mzee wake alivokuwa raisi. miaka 90 kurudi nyuma watoto wa viongozi tulikuwa...
  14. K

    Maajabu: Maraisi wastaafu wa USA wanafungua maktaba wetu wataka kujengewa maikulu binafsi!

    Maraisi wastaafu wa USA wanafungua maktaba tena kwa kuchangiwa wa watu. Wapendwa wetu maraisi wazalendo eti wanataka kujengewa nyumba kama Ikulu na wenza wao kulipwa. Hawajali hali ya wananchi, mabadiliko waliyofanya na historia wanayoacha zaidi ya matumbo yao. Sijasikia wazo la maktaba...
  15. ward41

    Hivi mchina ana technolojia gani ya kumsinda Mmarekani?

    Labda Mimi elimu yangu ndogo, Mchina ana technology gani ya kumzidi USA🇺🇸 Nikiangalia wale mabwana kila sector wapo vizuri. 1) Upande wa ndege hawana mpinzani 2) Mambo ya space science ni hatari 3) Magari ni hatari 4) Micro chips usiseme 5) Computing hawana mpinzani 6) Kwa kilimo ni hatari 7)...
  16. ELI COHEN

    Hauwezi pambana na intel ya USA. Jamaa wanajua kile unachotaka kuwafanyia na kama hawajui watakupata tu baada ya kuwafanyia

    Kabla ya Iran kurusha missiles kwenda Israel waandishi walimuuliza Biden kama anategemea Iran kuishambulia Israel. Biden alichojibu ni "very soon". Na kabla ya kutoa kauli hii wizara ya ulinzi ilikuwa ishasema ndani ya masaa 24 au 48. Kilichotokea kiliendana sawa sawa na kauli za viongozi wa...
  17. bahati93

    Mataifa yatakayoendelea kuwapo baada ya vita ya 3 ya dunia

    Kaa chonjoo mwana JF Tumeshasikia sanaa maisha hayana formula kinaweza pulizwa Kipenga pyeee nyuma geuka, wa mwisho akawa wa kwanza na wa kwanza akawa wa mwisho. Tupo hapa bongo land tumerelax sana huku tukiyakandia baadhi ya mataifa kwamba hayana amani. What if hizi nchi zilizo kwenye vita...
  18. The unpaid Seller

    Nilikuwa mbishi lakini nimekubali Iran ndiyo mbabe wa Middle East na Dunia kwa ujuma, hakuna cha USA, China wala Russia

    Wakuu, long live to you all. Baada ya kutembeza kichapo kwa Israel hivi majuzi, kichapo cha baruti za matango hakika Iran imetuonyesha umwamba wake. Asilimia 99% ya balistic missile zote yametunguliwa yani wanarusha baruti zao zaidi ya 500 alafu moja tu ndio linatua ardhini likimjeruhi mtoto...
  19. Mpwayungu Village

    Mnaotaka kuingia USA pitieni BAHAMAS 🇧🇸

    Hapa tunaongea kwa wazamiaji, mabaharia na watafutaji wagumu ani sio mtoto wa mama. Process za kutoka bongo direct to USA 🇺🇸 ni ngumu isitoshe inavigezo pia ni expensive, Sasa chakufanya wew kama Una dollar 2500 inatosha kabisa kwenda USA 🇺🇸 Nenda Bahamas coz ni free visa entry, ni wewe na...
  20. MK254

    USA yatoa maelfu ya mabomu yatakayotumika kufumua Rafah

    Gaidi lazima apigwe mpaka damu imtoke maskioni....... The US in recent days authorized the transfer of billions of dollars worth of bombs and fighter jets to Israel, according to two sources familiar with the effort, Reuters reported on Friday. This is despite Washington’s public expresses of...
Back
Top Bottom