Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,524
- 9,704
Habari ndio hio Al Hourh wa Yemen wamepeleka majeshi yao Al Hudaida bada ya kusikia fununu Saud Arabia. UAE. USA na Israel wamejipanga kuishambulia Al Hudaida. Saud Arabia kisha jiandaa na ground forcei na Air force wao ndio watanza kushambulia pamoja na UAE, na kuna fununu pia USA na Israel wameisha peleka askari Sourh Yemen, ili wamsaidie Israel. Hali imekuwa tete huko Israel. Hizo nchi zinataka kuondoa majeshi ya Yemen ya Al Houth pale Red Sea, sababu wamejua kumkaba Israel kwenye koo pale Red Sea.
Mimi naona Saud Arabia na UAE wanataka kupotezwa na US itakula kwao. Israel hatawasaidia kabisa maishani kwao. Adui atabaki kuwa adui hata wimbo wao wa taifa la Israel unasema warabu ni madui zao. Vipi hawa Saud Arabia, UAE, Jordan, Egypt na Morocco wanawaona ni bora kuliko Hamasi na Hezbullah, ajabu sana hi dunia adui una muona rafiki na adui una muona rafiki.