usa

  1. ELI COHEN

    Sasa naelewa kwa nini Democrats wanang'ang'ania kusiwepo na uhitaji wa kitambuliicho chochote kile wakati wa kupiga kura USA

    Wanauiita ni mfumo wa kibaguzi Wanataka mtu yoyote aishiye marekani aweze kupiga kura. Kwa upande mwingine watu wanaamini hii ni mbinu wanatumia ili wahamiaji waliongia marekani bila vibali vya makazi wapewe fursa ya kupiga kura. Kutokana na sera zao za open borders za term hii wamevunja...
  2. Logikos

    Majibu ya hata Ulaya; USA wanafanya ni kupotoka (Statistics are like bikinis. What they reveal is suggestive, but what they conceal is vital.')

    Tuliambiwa hata United Kingdom Bandari wamewapa watu.., ni kweli UK hata uzalishaji siku hizi hawafanyi kama zamani magari yao yote ni mali za wengine..., UK baada ya ukoloni kuisha ilijikita kwenye Service industry (pamoja na kuuzia watu silaha); ila muhimu kabisa walijikita kwenye Service ya...
  3. The Loyalty King

    Putin ni cancer Kwa USA na washirika, Brics Yazidi kuchanua Mabawa

    Wakuu Habari Nilikuwa huko Twitter (X) na katika kupita pita kwangu nikakutana na hii habari ya Iran kuungana rasmi na umoja wa mataifa yaliyopo katika muungano wa Brics , kubwa zaidi lilo nivutia sio Iran Tu kuwa mwanachama wa Brics kumbe kuna mataifa kibao ambayo na yenyewe yapo katika...
  4. kwisha

    Kuna kundi la watu fulani kwasababu ya ushabiki wao wanaichukulia USA poa

    Katika vitu vinavyochekesha na kuuzunisha ni kuona kundi la watu fulani wakichukulia usa poa sana Wengine kwa akili zao wanafikiri ni taifa dhaifu sana Any way tuombe tu Mungu amani iwepo duniani
  5. State Propaganda

    Jamaa ajizolea umaarufu mitandaoni kwa kuamua kukisubiria kimbunga Milton katika boti yake huko Florida USA

    Joseph Malinowski almaarufu kama 'Lieutenant Dan' amejikuta akitrend toka jana katika mitandao ya kijamii haswa Tik tok na X baada ya kukataa kuondoshwa katika kijiboti chake na askari polisi ili kupelekwa sehemu salama kufuatia ujio wa kimbunga hatari cha Milton (category 5), kinachotarajiwa...
  6. ward41

    Market value ya makampuni ya Marekani

    Mchina ananitahidi lakini hawa jamaa ni ngumu Sana kuwapita Hiyo ni orodha ya market value ya baadhi ya Makampuni ya 🇺🇸USA
  7. Sir John Deere

    Ndege Vita za Russia ndani ya saa 48 katika ya pwani ya Marekani na Canada. USA alalamikia Uchokozi wa Russia

    Saa 48 zilizopita urusi amerusha ndege za kivita karibu na pwani ya Marekani na Canada kutokea baharini upande wa Jimbo la Alaska kitendo kilichoikasirisha sana marekani na kuita ni kitendo cha uchokozi kutoka kwa urusi . Safari hii hii marekani ajiandae kuonja utamu wa vita. Rais Putin...
  8. Bob Manson

    The cult of baal, learn to read the map of ancient death cult

    Greetings..... The diagram you see reveals the history of a powerful Death Cult that has ruled over Earth for all recorded human history. The timeline is trisected and proceeds from top to bottom. Since I assume you have already heard or read about the many topics mentioned on the diagram, I...
  9. The Palm Beach

    USA Pesidential debate today: Kamala Harris (Democrats) vs Donald Trump (Republican): Hizi ndizo sheria na kanuni za mdahalo huu

    Mdahalo (debate) utaanza saa 10:00 alfajiri ( Saa za Afrika Mashariki) siku ya Jumatano na itaenda hadi around saa 12asubuhi.. Kwa watakaotaka kufuatilia, TVs zote za dunia CNN, BBC, FOX NEWS, ALJAZEERA, CBS, ABC, SABC, SKYNEWS nk nk zitarusha live mdahalo huo...
  10. Mpwayungu Village

    Mnatumia njia gani kupata visa ya USA na CANADA?

    Maana sielew, nimeomba zaidi ya mara mbili kwanzia mwaka Jana, nchi ya kanada na marekani kwa wakati tofauti kotee nakuwa unsuccessful Ndugu zangu mnafanyaje kupata wenzetu maana Kila kigezo ninacho mpaka bank statement yangu imenyooka vzr tu Ila linaenda lofa la kigoma porini huko linapata...
  11. Mrengwa wa kulia

    USA kupeleka kikosi Ukraine Kujifunza vita

    Mzuka umepanda. Sio mbaya kujifunza kwa aliye Fanikiwa. USA 🇺🇸 wamepeleka kikosi hiko ili kupata uzoefu wa kupambana na drone na Electorinical war fare. Zama za kupigana vita Ofisini zimesha wadia The U.S. Army has formed a new unit to learn from Ukraine's experience with drones and...
  12. Mag3

    Uchaguzi USA 2024: Kamala hana mpinzani na atashinda asubuhi!

    Kwa ninayolijua taifa kubwa USA, lilikuwa ni kosa kubwa kumpa uongozi felon na ex-convict kama Trump mwaka 2016. Pia kwa ninavyoifahamu Marekani hilo kosa haliwezi kurudiwa. Trump wannabe dictator ambaye ndoto yake ni kuitawala USA kwa mkono wa chuma kama Putin nchini Urusi, Kamala Harris...
  13. Mshenyentaji

    Serbia anachomfanya USA kwenye basketball ni udhalilishaji wa kijinsia

    Mpaka sasa Serbia tunaomgoza kwa advantage ya vikapu 14 Linakufa jitu huku
  14. The Legacy

    Kama ni Mpenzi wa Basket Ball,Angalia super sport 3.Bonge la game USA Vs South Sudan-Olympics in Paris

    Ni game Kali Wote wanamiili mikubwa na warefu. Enjoy the game
  15. uhurumoja

    Hii basketball team ya USA imekusudia Nini mbona imesheheni mastar tupu!

    Na sio team TU hadi mashabiki ni mastar maana naona kina queen latipha n.k in da house baby
  16. Kaka yake shetani

    The Simphsone inatabiri vitu vingi hivi yupo nyuma ya nani na ilitabiri kutakuwa na raisi mwanamke USA

    Kwa wale wa wisdom mnafahamu kuwa kuna hizi zinazotengenezwa zipo nyuma ya nani? kuna uwezekano raisi wa marekani kuwa mwanamke na si trump. kumbukeni. --- Did The Simpsons hint at Kamala Harris as US President way back in 2000 The Simpsons is once again credited with predicting a major event...
  17. GENTAMYCINE

    PreGE2025 Senior DP Members USA wamethubutu Kukataa Biden asigombee kwa kuona hana Uwezo, je, CCM wanaweza kufanya hivyo 2025?

    Senior DP Members USA wamethubutu Kukataa Biden asigombee kwa kuona hana Uwezo, je, na Senior MCC Members in AZT nao wataweza Kumkataa Mtu 2025? Pia soma: Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024 Kwani wengi wao ukikutana nao Wanamkataa Mtu Fudenge kabisa ila mbele ya Mic...
  18. RRONDO

    Basketball: USA kapewa upinzani mkali na South Sudan

    Katika kujiandaa na Olympic leo USA anacheza na S Sudan. Mpaka sasa South Sudan anaongoza 43-30 dakika 5 zinebaki kuwa half time. USA ina mastaa wa kutosha. Bron, Curry, Embiid, ADavis na wengine wengi. Final score USA 101-S Sudan 100 Today(Monday) USA vs Germany
  19. Buyaka

    Trump apokea rasmi tiketi ya Republican Party. Alaani wavamizi kutoka kwenye majela ya vichaa Venezuela, El Salvador, Afrika, wanaokwend kuharibu USA

    Nchi yao imevamiwa na wahamiaji haramu. Wauaji, wabakaji, maharamia na wagonjwa wa akili kutoka kwenye majela ya vichaa. Ameahidi anaenda kukata mzizi wa fitina wa tatizo hili akichaguliwa. Na kwenye uchumi, viwanda na biashara ya kimataifa ameahidi anaenda kumaliza exploitation ya mataifa...
  20. TODAYS

    Wamegundua Nini?. Angalia Hii Video Fupi Baada ya Trump Kutunguliwa.

    Ni igizo fulani hivi ila naendelea kufuatilia, bado sitaki kuamini.
Back
Top Bottom