urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama tungelijua kuhusu Dkt. Shika, tusingemfanyia haya kwa historia yake

    Kiukweli watu ni wazuri ukiwa na mafanikio tu ila ni wabaya na vituko ukiwa na shida. Kitu ambacho unaweza kukatishwa tamaa na kufa kifo cha kuzalilika ni pale unapokuwa kwenye matatizo yaliyo kuzunguka. Kipindi cha Dk. Shika na mia tisa itapendeza kilionekana ni kituko. Ila kiukweli kiundani...
  2. JamiiForums Tanzania Urusi yarekodi vifo 815 ndani ya saa 24 zilizopita

    Urusi imerekodi idadi kubwa ya vifo kwq siku ya pili mfululizo wakati maambukizi yanayotokana na Kirusi Delta Nchini humo yakiendelea kuongezeka licha ya jitihada za Mamlaka. Watu 815 wamefariki dunia ndani ya saa 24 zilizopita na idadi ya maambukizi mapya 22,277 yamerekodiwa. Urusi ambayo ni...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Meli ya kisasa ya kivita iliyotengenezewa Urusi yatia nanga Kenya kwa mazoezi ya pamoja na KDF....sema nyoko uone

    Wanajeshi kutokea mataifa kadhaa (USA, India, UK n.k.) kuhusika kwenye haya mazoezi ya pamoja.....mwendo wa kutunisha misuli kuonyesha ubabe au kwa kifupi nani baba lao.....jifanye kama unajikuna tuone. Brahmos cruise missile INS Talwar ship lands at the coast in Mombasa on Tuesday, July 27...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Havana Syndrome: Ugonjwa unaotesa wanadiplomasia na majasusi wa Marekani huku Urusi ikishutumiwa kuhusika

    Ugojwa huu ulianzia huko HAVANA nchini Cuba, ukiwapata wanadiplomasia wa Marekani na Canada na baadae kusambaa katika balozi nyingine za Marekani na kuwapata mashushushu wa Marekani (CIA)! Cha ajabu ugonjwa huu unawapata mabalozi na maafisa wa CIA hasa wale wanaojihususha kuichunguza Russia...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mizozo baina ya nchi hizi inaweza kusababisha vita kuu ya 3 ya dunia?

    Uliwengu umekuwa na muda mrefu wa utulivu isipokuwa mizozo ya vita katika mataifa machache vilivyohusisha nchi katika mabara tofauti miaka ya hapo nyuma. Tangu kukamilika kwa vita vya pili vya dunia mwaka wa 1945 hapajawahi kuwa na vita vikubwa vilivyohusisha nchi nyingi kote duniani kuweza...
  6. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Urusi wagundua kifaa kinachomuwezesha kipofu kuona

    Wataalam wa Urusi latika maabara ya Sensor-Tekh wamefanikiwa katika majaribio ya kifaa ambacho kinawezesha vipofu kuweza kuona. Kifaa hicho kilichopewa jina la ELVIS (ELectronic VISion) Kitawezesha itawezesha vipofu kuona kwa kuvaa headband maalum yenye kamera. Kifaa hicho kilichopewa jina la...
  7. JamiiForums Tanzania Wadukuzi wadai fidia ya Tsh Bilioni 162 ili kufungulia mifumo waliyofungia

    Wadukuzi wanaodhaniwa kuhusika na shambulio la kimtandao wamedai malipo ya dola milioni 70 (sawa na Tsh. bilioni 162 na milioni 330) ili kufungulia mifumo waliyodukua. Madai yao yaliwekwa wazi siku ya Jumapili katika mtandao wa kihalifu unaohusishwa na genge la wahalifu wa kimtandao la Urusi...
  8. JamiiForums Tanzania Ajali: Ndege yaua watu 28 baada ya kuangukia Baharini Urusi

    Ndege ya Urusi iliyowabeba Watu 28 imepoteza mawasiliano leo na kuangukia Baharini umbali wa KM 15 hadi 25 kutoka Airport na taarifa zinadai Watu wote 28 waliokuwa kwenye ndege hiyo wamefariki Dunia. Aidha, inaelezwa kuwa Ndege hiyo yenye namba RA-26085 ilibeba abiria 22 pamoja na wafanyakazi...
  9. JamiiForums Tanzania COVID-19: Urusi yarekodi idadi kubwa zaidi ya vifo tangu kuanza kwa mlipuko

    Taifa hilo limerekodi vifo 697 vya COVID-19, idadi ambayo imetajwa kuwa kubwa zaidi kuripotiwa ndani ya siku moja tangu kuanza kwa mlipuko. Aidha, Mamlaka pia zimerekodi maambukizi mapya 24,439 huku 7,446 kati ya visa hivyo vikitokea Mji Mkuu wa Moscow. Ongezeko la maambukizi limetajwa...
  10. JamiiForums Tanzania Biden asema Marekani haitokalia kimya mashambulizi ya mtandao ya Urusi

    Rais wa Marekani, Joe Biden amesema Taifa hilo litajibu ikiwa Urusi itaendelea kutekeleza mashambulizi ya kimtandao dhidi yao. Akizungumza baada ya mkutano wake wa kwanza na Vladimir Putin, Biden amesema ameweka wazi kuwa Urusi inatakiwa kuheshimu Sheria au kukabiliana na matokeo. Amesema...
  11. JamiiForums Tanzania Fahamu maisha ya Vladimir Putin wa Urusi

    Fahamu kwa undani maisha binafsi ya kila siku ya rais wa Urusi Vradimil Putin Kwa kawaida Putin huchelewa kuamka na kupata kifungua kinywa Akiwa ni mmoja wa viongozi wa dunia wenye nguvu na ushawishi zaidi na mwenye ulinzi mkali, Rais wa Urusi amekuwa akiishi maisha yanayoaminiwa kuwa ya...
  12. JamiiForums Tanzania Urusi yamkamata mkosoaji mwingine wa Ikulu

    Polisi ya Urusi imemkamata Dmitry Gudkov mmoja ya wakosoaji wakubwa wa ikulu ya Kremlin na taarifa zinasema huenda atakabiliwa na kifungo jela. Taarifa za kukamatwa kwa Gudkov zimethibitishwa na baba yake mzazi aliyesema kuwa alikamatwa baada ya msako wa polisi kwa madai ya kutolipa kodi ya...
  13. JamiiForums Tanzania Dullah Mbabe na wenzake wapoteza mapambano yao nchini Urusi

    Abdallah Pazi maarufu kama Dullah Mbabe amepoteza pambano lake dhidi ya Pavel Silyagin lililopiganwa Moscow, Urusi wakiwa wanawania mkanad wa Asian Pacific mkanda wa WBO ambapo alishindwa kwa points. Aidha Twaha Kassimu (Twaha Kiduku) amepoteza kwa points katika pambano lake dhidi ya Bek...
  14. JamiiForums Tanzania Mabondia wanne wa Tanzania wamewasili Urusi kupambana akiwemo Dullah Mbabe

    Mabondia wanne wa Tanzania akiwemo Dullah Mbabe wamewasili nchi Urusi kuzichapa na mabondia wa Urusi ambao awali Dullah Mbabe aliwataja kuwa wanapiga sana, lakini ameamua kwenda. Dullah Mbabe atapambana na Pavel Silyagin kuwania ubingwa wa Asian Pacific mkanda wa WBO. Twaha Kiduku atapambana na...
  15. JamiiForums Tanzania Dullah Mbabe: Mabondia wa Tanzania msiende Urusi na Kazakhstan

    Bondia wa Tanzania Abdallah Pazi maarufu kama Dullah Mbabe amesema hawezi kwenda tena kupigana nchini Urusi na Kazakhstan kwa sababu mabondia wa kule ni wakali sana. Pia amewatahadharisha mabondia wa Tanzania wanaokwenda kule kuwa mabondia wa nchi hizo huwa hawapoi na huwa wanapiga ngumi kama...
  16. JamiiForums Tanzania Wafalme wa Urusi walivyoishi kabla ya Mapinduzi ya Kijamaa

    Hii ni Ikulu ya Alexander aliipendelea sana Tsar Nicholas II Kabla ya Ujamaa walimuamini Yesu
  17. JamiiForums Tanzania Biden: Marekani haitaki zogo na China wala Urusi

    Biden ameyasema hayo katika hotuba yake ya kwanza kwa bunge la Marekani, baada ya kutimiza siku 100 tangu aingie madarakani. "Marekani ipo katika hatua ya kusonga mbele tena." Ni sehemu ya maneno ya kutia moyo ambayo ameyasema katika hotuba iliyopindukia takribani saa nzima yenye kugusia masuala...
  18. JamiiForums Tanzania Urusi yaijibu Marekani kwa kuwatimua wanadiplomasia wake

    Urusi imewataka wanadiplomasia 10 wa Marekani kuondoka nchini humo katika hatua ya kulipiza kisasi baada ya Marekani kuwafukuza wanadiplomasia 10 wa Urusi kwa madai ya udukuzi na kuingilia kati uchaguzi wa Marekani wa mwaka uliopita. Wizara ya mambo ya nje ya Urusi imesema John Sullivan, ambaye...
  19. JamiiForums Tanzania Marekani mbioni kuweka vikwazo vipya dhidi ya Urusi

    Imeripotiwa kuwa Serikali ya Marekani inatarajia kuweka vikwazo dhidi ya Urusi, hatua ambayo imetajwa kuwa majibu dhidi ya mashambulio ya kimtandao yaliyolenga Marekani ikiwemo madai ya kuingilia Uchaguzi wa Urais 2020. Vikwazo hivyo vinavyotarajiwa kutangazwa hivi karibuni vinalenga zaidi ya...
  20. JamiiForums Tanzania Urusi yasitisha safari za ndege kati yake na Tanzania

    Serikali ya Urusi imesema inapanga kusitisha huduma za anga kati ya Nchi hiyo na Tanzania kuanzia Aprili 15 hadi Juni 01, 2021 kutokana na hali ya mlipuko wa CoronaVirus Serikali imesema itapitia upya zuio hilo ikiwa hali ya mlipuko itatengemaa. Mbali na Tanzania, Taifa hilo pia litasitisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…