urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. Wadukuzi wa Ukraine wadukua mfumo wa Urusi na kupata taarifa zote za safari za ndege

    Supapawa kadukuliwa kizembe sana, jamaa wameingia kwenye kanzidata na kufumua kila taarifa humo za safari zote... Ukrainian hackers have hacked into the Russian database of the Sirena-Travel booking system, obtaining information on 664 million flights over the last 16 years. They also obtained...
  2. Lukansheko asema drones za Ukraine zinajipigia popote Urusi, ni fedheha

    Kwamba drones zinaingia na kutoka zitakvyo, asema suluhu itafutwe itakayogharimu hela nyingi sana maana ni fedheha.... Self-proclaimed President of Belarus Alexander Lukashenko is "thinking about how to counter" attacks on Russian territory, but it’s going to require "hundreds of millions of...
  3. Unabii wa mchungaji Moses Kulola wa mwaka 1997 kuhusu vita ya Urusi watimia mwaka 2023

    Katika mahubiri yaliyofanyika huko Mwanza, mchungaji Moses Kulola alitoa unabii juu ya vita ya Urusi ambao chanzo chake ni Nato na akasema kutakuwa na Vita kubwa chini ya Urusi. Na pia akasema Urusi imeandikwa ndani ya Biblia, na kiuhalisia biblia ni kitabu kilichojaa matukio mengi yanayotokea...
  4. Hii ndio Urusi, Ulaya na Marekani wanaiogopa (Miundombinu, Utamaduni, Viwanda, Uchumi na Maliasili)

    BWANA YESU ASIFIWE Nimekuwa nikifanya utafiti wangu wa mara kwa mara na kuleta taarifa sahii zenye uchunguzi wa kina kuhusu nchi mbalimbali na kisha watu waweze kuelewa undani wake. NImefanya utafiti wangu kwa miaka mitano kuhusu nchi ya Urusi. Leo hii nitawaletea hali halisi ya nchi hii...
  5. Ndege ya kivita SU-34 yaanguka yenyewe huko Urusi

    Mindege ya supapawa inadondoka yenyewe.. A Su-34 fighter jet crashed in Voronezh Oblast in Russia on the morning of 20 September. Source: Russian propagandistic media outlets RIA Novosti and TASS with reference to Russia’s Defence Ministry Details: Reportedly, the crew of two people managed...
  6. Urusi yalalamika zuio la magari ya Warusi kuingia Uropa kutaathiri Warusi wa kawaida

    Urusi inatia huruma kwa kweli, yaani ilianzisha huu ubabe halafu leo inataka ihurumiwe kwenye baadhi ya maamuzi, leo inalalamika kuhusu zuio la magari yenye usajiri wa namba za Urusi kutokuruhusiwa kuingia bara Uropa, inasema wananchi wake raia wa kawaida watateseka, eti ionewe huruma kwenye...
  7. Picha zasambaa zikionesha uharibifu uliofanyika kwa submarine ya Urusi, baada ya kupigwa na drone

    Dunia ijiandae parefu kwenye vita vya kisasa vinavyotumia drones, yaani drone ya gharama ndogo tu inaondosha submarine/nyambizi ya gharama kubwa sana, urubani wa drones unafanywa na vijana, madogo ambao wanacheza kama kwenye video games. Waafrika tujiandae, tuache kupasua matofali kwenye...
  8. Hatimaye Urusi yanyong'onyea na kukubali kushiriki ICC ili kujitetea

    Wakati hii kesi inaanza ya kuishtaki Urusi, nakumbuka Warusi asili na hawa wa humu JF kwa Mtongole walitukana sana na kusema Urusi haitotambua hii mahakama, sasa Urusi imekalishwa, imetuma wajumbe wa kwenda kujitetea. Ikumbukwe Putin anaishi kama digidigi keshaogopa kuhudhuria vikao vyovyote...
  9. Video: Urusi kunawaka moto, depo kubwa ya mafuta imelipuliwa na drone

    Madogo wanaendelea kubonyeza bonyeza tu, vita vya kisasa tamu sana.... A Ukrainian drone has caused significant damage to a Russian oil storage facility, triggering a fire in one of the gasoline tanks. A Ukrainian drone caused damage to an oil storage early on Sunday, resulting in a fire in one...
  10. Urusi watorosha meli tatu za kivita baada ya meli kadhaa kulipuliwa

    Hadi aibu jameni, supapawa ameshindwa kulinda meli zake za kivita, zinapigwa kizembe sana na drones...... After successful Ukrainian attacks on a large landing ship and a submarine in occupied Sevastopol, the Russians relocated three large assault landing ships from the Black Sea to the Azov...
  11. Ukraine wapiga meli nyingine ambayo hutumika kusafirisha mizinga ya Urusi

    Wanapiga popote, hizi drones zimekua shida.... A Ukrainian uncrewed surface vessel (USV) hit a Samum-class missile carrier hovercraft on Thursday, 14 September. Source: Ukrainska Pravda’s sources in the Security Service of Ukraine (SSU) Details: The sources said the SSU's SeaBaby USV hit the...
  12. Ukraine walipua meli mbili za doria za Urusi

    Hakuna kinaachwa, iwe nyambizi, meli za kijeshi au hata za doria, yaani matumizi ya drones ni raha sana, madogo wamekaa kwenye maofisini kazi yao kubonyeza bonyeza tu, wanacheza kama video games na kuchagua wapi pa kupiga..... Ukraine's military said on Thursday it had damaged two Russian...
  13. Waziri Dkt. Ndumbaro Ateta na Balozi wa Urusi Nchini Tanzania

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Urusi nchini Tanzania, Mhe. Andrey Avetisyan Septamba 14, 2023 Jijini Dar es Salaam. Katika Mazungumzo yao viongozi hao wamekubaliana kushirikiana katika Sekta ya Utamaduni na Michezo...
  14. Kumekucha, Ukraine walipua nyambizi (sub-marine) na meli ya kivita ya Urusi

    Haya madubwana yamepigwa kizembe sana, aisei Urusi ilijiingiza kwenye aibu. Ukraine's attack on the ships of the Russian Black Sea Fleet in occupied Sevastopol can be considered a great success: a large landing ship was hit for the third time, and a submarine was hit for the first time. It...
  15. Urusi yakumbwa na uhaba wa mafuta, ilhali ndio inaongoza kwenye uzalishaji wa mafuta

    Japo inaongoza kwenye uzalishaji wa mafuta lakini vinu vyake vimekumbwa na matatizo, haviwi maintained, na anguko la hela ya Urusi yaani ruble kumechangia pakubwa...... Hawa wazungu wa Urusi sijui kwanini waliingia kwenye huu uzombi, walikua vizuri sana, wamekua kama waarabu sasa. Empty...
  16. Mtoto wa Rais wa Nchi ya Jamuhuri ya Afrika ya Kati awazaba Makofi wazungu huko Urusi.

    Evariste Touadera, mtoto wa Rais wa Afrika ya Kati Faustin-Archangel Touadera, ameonekana kwenye video (hapo chini) akiwashambulia maafisa wa Urusi katika kituo cha kurekebisha tabia huko Kislodovsk, Moscow. https://dai.ly/x8o0qen Evariste alilazwa hivi majuzi katika kituo cha kurekebisha...
  17. Wanajeshi wa Urusi wanatelekezwa kila wanapojeruhiwa au kuuawa

    Malalamiko yameibuka jinsi wanajeshi wa Urusi wanaachwa wajifie kwenye nchi ya watu kila wakijeruhiwa, maana wenzao wanakimbia mapambano ilhali Urusi haijali. Kuna matatizo mengi sana ikiwemo wanajeshi kujinunulia baadhi ya vitendea kazi maana Urusi imeishiwa. =================== Russian troops...
  18. Kiwanda cha kijeshi Urusi chapigwa bomu na drone ya Ukraine

    Sasa hivi madogo wanao endesha hizi drones wanachagua pakupiga ndani ya Urusi bila shida yoyote..... A RUSSIAN plant that makes crucial parts for missiles has gone up in flames after being blasted by kamikaze drones. Dramatic footage shows a huge inferno raging at the Kremniy EL after the...
  19. Ni faida gani ambayo wanapata NATO kwa vita hivi vya Urusi na Ukraine?

    Hali ya maisha katika nchi za nato na wengine sio nzuri kabisa. Maisha yamekuwa ghali kinoma Makato ya serekali yamepanda vyakula vimepanda bei na mambo mengine mengi. Lakini kila kukicha Kama hapa Canada [emoji1063] serekali wanatenga bajeti ya mabilioni ya pesa sio Canada pekee hata usa watu...
  20. Maafisa wa ujasusi wa Urusi, yaani FSB walipuliwa ndani ya gari

    Hakuna aliye salama...... SCREENSHOT A car carrying two Russian FSB employees and military personnel has been blown up in the temporarily occupied town of Oleshky, Kherson Oblast. Source: UP sources in the Security Service of Ukraine. Details: One of the FSB employees was killed instantly...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…