Baada ya Netanyahu kumkaripia Putin, Urusi yatoa amri HAMAS waachie mateka

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,656
48,433
Jana Netanyahu aliongea na Putin kuhusu hali ya Gaza na akawa mkali kwa Putin kwa namna anavyotetereka kwenye hili suala.

Leo naibu waziri wa masuala ya kigeni wa Urusi ameongea na wakuu wa HAMAS na kutoa amri waachie mateka ili Israel isitishe mapigo.

Sasa sijui Waarabu watamlilia nani maana Urusi ndio ilikua kimbilio lao na ndio hivyo imewatema.

Suluhu la huu ugomvi ni kutemana na Wayahudi, hamtaweza kuwafuta kwenye uso wa dunia, msichokijua ni kuwa hao Wayahudi wapo kwenye ngazi za juu huko Urusi, Marekani, Canada na mataifa mengine makubwa, mtakufa sana kila mkijaribu kuwafuta.

Acheni maagizo ya dini ya kutaka mfute Wayahudi, hayo yaliagizwa na mtu ambaye hakua na elimu ya kisasa ya utandawazi, kuna mengi yamebadilika.

===================================

Russian Deputy Foreign Minister Mikhail Bogdanov held phone talks with Hamas representatives, and demanded the immediate release of hostages, Russian media reported on Monday.

Mr Uharo unajifariji😂😂😂
 
Hamas kamatieni hapo hapo karibuni somo litaeleweka
Magaidi wa israhell wawaachie mateka wote waliopo korokoroni mwao nawaondoke ghaza na waache kuua wapalestine ndipo magaidi wa idf nao wataachiliwa
Kwanza vipi ndio mmeshindwa kuwaokoa hao magaidi wenu wanaoshikiliwa hapo ghaza
Idf nimgambo wa hovyo kuwahi kutokea bora hata mgambo wa seleka na anti balaka
 
Kwangu nachoona, Putin ni mjanja! Yeye anachotaka ni kuionyesha Marekani kuwa imeshindwa kidiplomasia kumaliza mgogoro wa Israel na Hamas! Na kwamba bila Russia haiwezi kuumaliza mgogoro ule.
Ziara iliyompeleka UAE na Saudia, harafu akakutana na Rais wa Iran ilikuwa kutumia ushawishi wake kumaliza mgogoro!
Ukweli ulipo Israel haiwezi kuishinda Hamas kwa urahisi kama ambavyo watu wanafikiri.
Wala hapa siyo swala la ushabiki.
Wanaoumia ni Wapalestina siyo Hamas!
 
Kuna mashoga wengi JF wanamkubali kwa data😂😂😂😂
Una ushahidi gani usio na shaka kwamba kila anayemkubali huyo jamaa ni shoga? Au ni kuishiwa hoja tu na kuanza kuwatusi watu? Kusema jambo ambalo huna uhakika nalo hata mungu wako amekukataza.
 
Una ushahidi gani usio na shaka kwamba kila anayemkubali huyo jamaa ni shoga? Au ni kuishiwa hoja tu na kuanza kuwatusi watu? Kusema jambo ambalo huna uhakika nalo hata mungu wako amekukataza.
Ndege wafananao wanaruka pamoja.
 
WaIsrael hawaumii?
Aiseeeeee! Huna huruma ndg yangu na watoto wa Palestine. Hivi unaweza kufananisha maumivu wanayopata waisraeli na wapalestina kweli? Waisraeli waliokufa kwa ujumla wao hawafiki hata 2000. Wakati wapalestina hadi muda huu wanaelekea 20,000. Tuache ushabiki ndg zangu.
 
Mwana kulitafuta mwana kulipata, wanavuna kile walichopanda.
 
Dunia itaendelea kuwakumbatia Israel kutokana na ujuzi walio nao
Mkuu naomba uwe consistence na taarifa zako; kuna thread umetuambia Israel imekomboa mateka 250 wakati mateka wanaoshikiliwa na Hamas ni 138 tu, sasa hivi unatuambia Urusi imeiamuru Hamas iachie mateka wote, sijui baadaye kidogo utatuambia nini. Unatulisha matango pori sana. Nimetoka kuangalia Aljazeera muda huu wansema Hamas hawatawaachia mateka mpaka pale Israel atakapositisha mashambulizi. Sasa hao mateka waliokombolewa na Israel ni wepi?
 
🤣🤣🤣 unachekesha wewe Hamas unawajua unawasikia hao Russia wanaisadia nini hamas mpaka watoe amri . Ungeniambia Iran kidogo ingeniingia akilini. Endelea kuota ndoto
 
Jana Netanyahu aliongea na Putin kuhusu hali ya Gaza na akawa mkali kwa Putin kwa namna anavyotetereka kwenye hili suala.
Samahani onyesha sehemu Netanyahu alipoonyesha ukali au kumkaripia Putin.Mbona unafanya watu wazima kama watoto wadogo? Najua unalipwa lakini onyesha ustaarabu na uungwana.

Netanyahu and Putin hold phone call - with former 'expressing disappointment' with Russia​

Vladimir Putin held a phone call with Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu yesterday, the Kremlin reports on its website.

"Vladimir Putin confirmed his principled position of non acceptance and condemnation of terrorism in all its manifestations," the Kremlin said. "At the same time, it is extremely important that countering terrorist threats does not lead to such dire consequences for the civilian population."

Mr Netanyahu's office said that during the call the Israeli leader "expressed his dissatisfaction with the positions expressed against Israel by Russian representatives at the UN and in other forums".

"Prime Minister Netanyahu expressed sharp criticism of the dangerous cooperation between Russia and Iran," a statement reads.

https://news.sky.com/story/ukraine-russia-war-latest-putin-sky-news: 11/12/2023
 
Back
Top Bottom