Urembo wa huyu dada umeniponza, naombeni ushauri

frenderPH

JF-Expert Member
Oct 30, 2019
427
500
Wadau wa JF habarini za siku natumaini mko poa na mnaendelea vema na majukum ya kila siku kama binadamu katika kujitengenezea mazingira ya mkono kwenda Kinywani yaani i mean mambo ya Diko

Wadau kama mnavyojua katika stage ya binadam kukua tunakutana na mambo mengi katika relationships, sex stuffs na some stuff like that ( cheating + uasherati) ambayo mengine ni mabaya na mengine ni mazuri na pia mengine ni mabaya lakin kwa upande wa family Rituals inakua ni mazuri, okay let me go straight

Few days past kama kijana nilikutana na pisi kali inshort mtoto ni mzuri amebarikiwa kila kona ya mwili wake ambapo hakuna mwanaume ambaye atamtia machoni akaacha kushangaa maajabu coz her body is too romantic Sensitive sijawah ona.

Sasa me kama mwanaume niliuelewa mchezo sikuhofia kuucheza basi nikamchombeza mtoto akakubari. Siku ya mgegedo dem akaniletea Tunda kiRoho safi but hapo sikua najua kitu km yuko fresh. Sasa katika kuendelea kula tunda kama kawaida yetu wanaume tunaonesha ufundi kwenye mwili wa mrembo ili umfurahshe ardhike mwishon nakuja shtuka naona damu zinatoka kwenye tunda

Heee!!! Nikastuka dem akajielezea kwamba alikua period lakini ndo ilikua siku ya mwisho kumalizia period na vitu kama hvo ambavyo wanaume wengi hatuelewi, basi mimi nikakubal nikaacha kumega mchezo nikaosha lungu langu nikatulia

MATATIZO SASA YA KAANZA
Wadau wangu wa JF baada ya tukio hilo niliona nikae bila kusex kwa wik kadhaa ili nione kama nitakua sawa sexually imean lkn baada ya hizi wiki mbili nahisi mambo ambayo siyaelewi kabisa inshort nahis Lungu linawasha sio kawaida afu kama nikitaka kukojoa kunakua na vimaumicu kwa mbali daah hii hali inanitisha nahisi kama nimeukwaa

Naomba kujua kama kuna mtu ameshapitia hali kama hii ya Lungu kuwasha namna hii au hizi ni dalili za ugonjwa gani? Au ni hali ya kawaida?? Naombeni msaada wadau nasoma comment kwa moyo mkunjufu kabisa

Na kama unajua Dawa naomba unisaidie nisije nikabaki bila

PLEASE HELP ME GUYS
 

SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Dec 22, 2014
141,703
2,000
Hatujapima lakini huyu hana ugonjwa wowote anaonekana yuko fresh
Unajuaje yuko fresh? Kwa kumwangalia tu? Unafikiri na huo uzuri wake na ulivyompata kirahisi ni wangapi waliopita hapo? Siku hizi watu wanafakamia hizi ARVs wamenona wala huwezi kuhisi kitu!

Umefanya kosa sana kuuza mechi. Si ajabu umeishia kulikwaa gono. Na midamu hiyo UKIMWI ni nje nje yaani. Omba sana hilo gono lisiwe hili sugu linalosababishwa na super bugs lisilosikia antibiotics wala nini. Rungu lako litakongoroka na kuvuja mausaha yanayonuka non stop na hizo goroli zitaoza na kuporomoka huku ukiziona hivi hivi laivu bila chenga; na hakuna kitu utafanya mpaka unaRIP kwa maumivu makali sana!

Na ukibahatika kuchomoka basi hili liwe fundisho kwako. Kamwe usiuze mechi kizembe hata pisi iwe kali namna gani.

Na baada ya miezi mitatu nenda ukapime UKIMWI.

Pisi kali hizi ni target ya kila msuuza rungu halafu umejipeleka kizembe tu. Umeniudhi sana mkuu. Ungekuwa hapa karibu makofi yangekuhusu wallahi
 

SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Dec 22, 2014
141,703
2,000
Daah bro unanitisha knoma
Umeniudhi sana bro basi tu. Pisi kali inayoandamwa na kila baharia unauza mechi kizembe hivyo?
20210623_001056_1.jpg
 

billioner

Member
Feb 11, 2021
65
125
Wadau wa JF habarini za siku natumaini muko poa na mnaendelea vema na majukum ya kila siku kama binadamu katika kujitengenezea mazingira ya mkono kwenda Kinywani yaani i mean mambo ya Diko

Wadau kama mnavyojua katika stage ya binadam kukua tunakutana na mambo mengi katika relationships, sex stuffs na some stuff like that ( cheating + uasherati) ambayo mengine ni mabaya na mengine ni mazuri na pia mengine ni mabaya lakin kwa
Pole kamanda ila iyo ni dear NGono
Dawa ake. : cerftiaxozone start 1g iv
Azithromycine 500mg OD for 5/7 days
Nenda hospital watakupa ivi ila kama kama Kam nenda pharmacy

Sory lkn I'm a medical personer kwa uzoefu bado Bila vipimo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom