urais

Kanako Urai (浦井 佳奈子, Urai Kanako, born September 26, 1981) is a Japanese professional wrestler currently signed to WWE, where she performs on the Raw brand under the ring name Asuka (アスカ, ) where she is the current Raw Women's Champion in her first reign.
Previously known as Kana (華名), she started her professional wrestling career in the AtoZ promotion in June 2004, where she remained until retiring in March 2006. She returned to the ring a year and a half later, starting to work as a freelancer for promotions such as JWP Joshi Puroresu, NEO Japan Ladies Pro-Wrestling, Pro Wrestling Wave, Reina Joshi Puroresu, Smash and Wrestling New Classic (WNC). Her achievements include winning the JWP Openweight Championship, NEO Tag Team Championship, Reina World Women's Championship, Smash Diva Championship and Wave Tag Team Championship.
In August 2015, Urai signed a developmental deal with WWE, making her the first Japanese female wrestler signed with the company in over 20 years. After spending two years in WWE's developmental branch NXT, where she is a former NXT Women's Champion (with her reign of 510 days being the longest in that title's history) as well as the Female Competitor of the Year (2016, 2017) and Overall Competitor of the Year (2017) NXT Year-End Award winner, Asuka was moved to the promotion's main roster in September 2017. In addition, the company has billed her as having the "longest undefeated streak in WWE history" at 914 days. In January 2018, she was the inaugural winner of the women's Royal Rumble match. She is also a former SmackDown Women's Champion, Women's Tag Team Champion (with Kairi Sane) and the 2020 Women's Money in the Bank ladder match winner, making her the first to win both the women's Royal Rumble and Money in the Bank matches. Following her Raw Women's Championship win, Asuka became the third Women's Triple Crown Champion and the second Women's Grand Slam Champion.
In December 2015, Dave Meltzer of the Wrestling Observer Newsletter stated that Urai "may be the best worker in WWE, man or woman". In 2017, Asuka became the first Japanese wrestler to top Pro Wrestling Illustrated's (PWI) annual PWI Female 50 list. Her techniques include various kicks and submission holds, leading to a reputation for a stiff wrestling style. Urai has also worked as a freelance graphic designer and video game journalist and through her work with Microsoft she has been sponsored by the company, wearing an Xbox 360 logo on her gear.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

    Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo imewapitisha Tundu Antipas Lissu Lazaro Nyalandu na Dr Mayrose Majige kusaka nafasi ya kuwania Urais Tanzania. Katika kikao chake cha Kamati Kuu kilichomalizika usiku mnene majina hayo Leo yataletwa ndani ya Baraza Kuu ambao watakata mzizi wa...
  2. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kauli ya Jaji Kaijage na yanayopangwa kufanywa na NEC kwa wagombea Urais

    Kauli iliyotolewa jana na Jaji Kaijage ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ya kuvitaka vyama kuteua Wagombea makini ili baadaye Tume isilaumiwe siyo ya bahati mbaya. Taarifa za uhakika nilizopata toka ndani ya NEC ni kuwaengua Lissu na Membe kwa technicalities. CHADEMA NA...
  3. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu vs Nyalandu Urais umerudi kwenye heshima yake

    Ni ukweli usipingika kuwa kwa sasa macho na masikio yako kamati kuu ya chadema ya juu ya nani kupeperusha Bendera ya kugombea nafasi ya juu ktk uongozi wa nchi yetu, kitendo cha chadema kuwa na wagombea wawili machachali Hon. Lazaro Nyalandu na Hon.Lissu imekuwa ndio gumzo hapa mjini hadi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA kutikisa Dar kwa siku tatu, Uchaguzi Mgombea Urais Tanzania na Zanzibar

    Sasa ni Rasmi. Chama kikuu Cha upinzani nchini CHADEMA kitaanza vikao vyake kwa siku 3 mfululizo kuanzia Jumapili tarehe 2 mpaka Jumanne tarehe 4 katika ukumbi maarufu nchini wa Mlimani City. Kikao Cha Kamati Kuu kitafanyika kesho Jumapili huku Baraza Kuu likiwa siku ya Jumatatu na Mkutano...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka 5 Magufuli ameshindwa kuuvaa urais.

    Ukifuatilia hotuba za JPM kiukweli hazina mpangilio na zinakosa mvuto kabisa. Nime- miss rais anayetoa hotuba zenye hadhi na uzito wa urais. Siku hizi sioni tena watu wakipapatika kumsikiliza rais. Badala yake watu wamekuwa wakiulizana "kuna boko gani limetolewa leo?" Hii ndiyo kusema kuna...
  6. JamiiForums Tanzania Midahalo ya wagombea urais kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

    Mwishoni mwa juma lililopita nilileta mada hapa jukwaani kuhusu Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Bw. Thabo Mbeki, alivyomkumbuka hayati Rais mstaafu Benjamin Mkapa. Kwenye bandiko hilo, nami nikatoa maneno mawili matatu kumhusu Rais huyo mstaafu Mkapa, kwa jinsi nilivyomjua mimi, kiumbali...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri: Makonda chukua fomu ugombee Urais kupitia upinzani hasa UDP, una nguvu kubwa sana na ushawishi kwenye jamii, utashinda kwa kishindo

    Makonda ni moja ya wanasiasa mahiri mwenye kipaji cha hali ya juu, ana ushawishi, ana watu, ana nguvu kubwa,anapendwa,anakubalika, anajua kujenga hoja. Yote hayo sana CCM hawakuyaona,wakamkataa kwenye kura za maoni,kumkataa kwao walikuwa wanatimiza tu injili ya "jiwe kuu la pembeni". Kwa kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Misri: Rais Abdel Fattah al-Sisi apitisha sheria inayozuia wanajeshi waliokuwa wanajeshi kugombea Urais

    Rais wa Misri, Abdel Fattah al-Sisi amepitisha sheria inayozuia wanajeshi & waliokuwa wanajeshi kugombea Urais, Ubunge au kujiunga vyama vya siasa bila kuomba ridhaa kutoka Baraza la Juu la Jeshi. Sheria hiyo inadaiwa kuwa inalenga kulinda urais wake dhidi ya waliokuwa wanajeshi. =======...
  9. JamiiForums Tanzania Mazishi ya Mzee Mkapa: Kijana avutia watu kwa kuvaa fulana iliyotumika kwenye kampeni ya Urais kumnadi Mzee Mkapa

    Kijana huyo amevutia waombolezaji wengi kwenye mazishi ya Hayati Mkapa kiasi kwamba kila mmoja kutamani kupiga picha naye. Sijafanikiwa kupata jina lake lakini anadaiwa kushika wadhifa wa Udiwani huko Mtwara. Ikumbukwe Mkapa amehudumu Urais kuanzia mwaka 1995 - 2005 hivyo huenda fulana hiyo...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 John Shibuda apitishwa kugombea Urais wa Tanzania kwa Chama cha ADA-TADEA

    Chama cha ADA -TADEA kimempitisha John Shibuda kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupata kura 120 kati ya kura 130 zilizopigwa na wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho huku mgombea mwenzake Mastadia Hilari akiambulia kura 10 Aidha, Chama hicho kimechangua Juma Ali...
  11. JamiiForums Tanzania Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020

    Salaam Wakuu, MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tanzania Bara Tundu Lissu anatarajiwa kuwasili nchini leo saa saba na dakika ishirini saa za afrika Mashariki. Lissu amekaa nje ya nchi miaka mitatu sasa baada ya kuondoka kwa shambulio la risasi lililotokea mjini...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Lowassa siku ya kufunga kampeni za urais 2015 alifunga mitaa yote ya Dsm kwa maandamano lakini aliangukia pua!

    Najaribu tu kutafakari nani atavaa viatu vya mzee Lowassa wa 2015 katika uchaguzi mkuu wa mwska huu kupitia upinzani. Kila nikikumbuka ile nyomi ya Lowassa pale jangwani kisha akaangukia pua, ngachoka kabisa? Maendeleo hayana vyama!
  13. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanafanya Janja Janja kumtangaza Mgombea Urais

    Tundu Lissu anatarajiwa kuingia nchini siku ya Jumatatu tarehe 27/07/2020 akitokea Ubelgiji. Taarifa kutoka chanzo kilicho ndani ya chama hicho, ambacho kimsingi hakikubaliani na namna mipango inavyofanywa, zinasema kuwa initially, CHADEMA ilipanga Lissu ashukie katika Uwanja wa Ndege wa Jomo...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi: Ikiwa Tundu Lissu atagombea Urais 2020, Majimbo haya Singida yajiandea kuwa CHADEMA

    Asalaam wajumbe wa jukwaa hili! Nataka niwape taarifa kwa wanaccm wote ambao ni wagumu kuelewa, hili nalisema kabisa kutokana na hali ilivyo ambayo inaambatana na matukio ya kura za maoni CCM ambayo kwa kiasi kikubwa yalitawaliwa na rushwa. 99% ya majimbo ambayo yalifanya uchaguzi kura za...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Ukweli ambao wana CCM hawataki kuusikia: Magufuli hatashinda Urais Uchaguzi Octoba 2020

    Niwaambie tu kuwa hata Mobutu alisifiwa sana kwenye utawala wake , waliomsifia walikuja na sababu lukuki. Huenda Magufuli amefanya mengi mazuri kuliko hata Mobutu. Hata yule aliyekuwa Rais wa Malawi walimsifia sana na wapo walioamini kuwa aliyoyafanya yatampa kiti tena kwa mara ya pili. Mifano...
  16. JamiiForums Tanzania Kufuatia Kifo cha Mkapa: Mikutano ya kuwapata Wagombea Urais wa Tanzania na Zanzibar kupitia CHADEMA yasogezwa mbele

    Kufuatia kifo cha Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa, Chama cha CHADEMA kimesogeza mbele mikutano yake ya kuwapata Wagombea Urais wa Tanzania na Zanzibar Mikutano ya kuwapata Wagombea hao kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, 2020 ilikuwa ianze Julai 27 hadi Julai 29, 2020 lakini sasa...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Vijana wa CUF Dar wamchukulia Prof. Lipumba fomu ya kuwania Urais

    Vijana wa Chama cha Wananchi CUF Mkoa wa Dar es Salaam, leo Julai 23, 2020, wamemchukulia na kumkabidhi fomu ya kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwenyekiti wa chama hicho Profesa Ibrahim Lipumba.
  18. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nakubaliana na Rais Magufuli kwamba Wagombea Urais kupitia Vyama vya Upinzani wamuunge mkono ili kuokoa fedha za walipakodi

    Wakati akiwapongeza NEC kwa kubana matumizi na kuokoa takribani sh bilioni 12 katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, Rais Magufuli " alichomekea" kwamba hata wagombea urais wa upinzani wanaweza kuamua kumuunga mkono yeye ili kuokoa kodi za wananchi. Mbatia, Prof. Lipumba na Mzee Cheyo walitabasamu na...
  19. JamiiForums Tanzania Watanzania kushangilia kuangushwa kwa Makonda katika kura za maoni Jimbo la Kigamboni kunaashiria nini?

    Kuangushwa katika kura za maoni za CCM, katika jimbo la Kigamboni, kwa Paul Makonda na Faustine Ndugulile, kumepokelewa kwa shangwe kubwa sana na watanzania wa nchi nzima Hivi hali hiyo inaweza ikawa inaashiria nini? Hivi inawezekanaje kwa mkuu wa mkoa, ambaye mara kwa Mara amekuwa akisifiwa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnaweza kumshawishi Makonda awe mgombea wenu wa Urais kama mlivyomshawishi Lowassa 2015

    Hii ni fursa muhimu kwa chama kikuu cha upinzani CHADEMA kumpata mgombea mwenye ushawishi mkubwa kuliko wale walioko upinzani kwa sasa. Najua CHADEMA imekamilisha zoezi la urejeshaji fomu za urais lakini hiyo haiwazuii kubadili gia angani endapo Makonda atakubali kupeperusha bendera yenu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…