Gari itatumika mazingira ya Tanga, matumizi ya lami na barabara za vumbi kidogo
Engine iwe inasifika kwa uimara na ikipata hitilafu mafundi wameizoea
Iwe na mifumo mingine ambayo imezoeleka na mafundi, sio kufunga safari hadi Dar au Kenya kurekebisha
Isizidi cc 2000
Ulaji mzuri wa mafuta
Umbo...
bajeti
bongo
gani
gari
gereji
kirahisi
kuanzia
mafuta
magari
matengenezo
mazingira
mikoani
milioni
milioni 30
mwaka
nzuri
pamoja
rahisi
ulaji
urahisi
yanauzwa
Heshima kwenu Wakubwa
Nitoe pole kwa ndugu,jamaa,marafiki Pamoja na watanzania wote waliopoteza wapendwa wao kwa hakika hizi ni nyakati ngumu lakini TUTASHINDA TU
Nirudi kwenye mada kuu wadau ninaomba mnipatie mbinu za kujua kuzungumza, kuandika na kuweza kuelewa lugha ya kiingereza kwa...
AINA GANI YA MAJIKO INA LOW COST OF OPERATIONS KWAAJILI YA KUPIKIA CHIPS NA SOURCE YA NISHATI INAPATIKANA KWA URAHISI (JIKO LA CHIPS)?
Ambazo azitoi moshi ni rafik kwa mazingira?
TZ Mobile Number Lookup ni aplikesheni inayokuruhusu kutambua papo hapo opereta wa mtandao wa simu anayehusishwa na nambari yoyote ya simu ya Kitanzania. Ingiza tu nambari, na programu itaonyesha opereta.
Programu hii ni nyepesi na ya haraka.Ni chombo muhimu kwa mtu yeyote anayehitaji...
Kama kijana ambaye hutaki mambo ya kuvuja jasho...
Hutaki kazi ngumu na kazi huna....
Unataka maisha smart ila kazi ngumu hutaki..
Basi hapa panakufaaa takupa mbinu ambazo zitakufanya wewe uwe unapata pesa bila kusumbuka.. sawa blood..
Oky endelea fatilia zaidi kila siku tatoa mbinu tatu...
Habari wakuu,
Nimekuwa nikitafakari juu ya nafasi zinazotolewa na VETA (na vyuo vingine vya ufundi) katika kusaidia vijana na watu wazima kupata ujuzi wa kuwasaidia kuingia kwenye soko la ajira au hata kujiajiri.
Kwenye dunia ya leo, si lazima kila mtu apitie elimu ya chuo kikuu—wapo...
1. Maganda ya ndizi yenye potasiamu nyingi, zika moja kwa moja chini au kwenye safu ya miraba kwa ajii ya mbolea ya asili ya kioevu.
2. Nafaka/mabaki/ maganda ya kahawa zilizotumika zinafaa kabisa kwa mimea inayopenda udongo wa asidi kama vile waridi au blueberries.
3. Maganda ya mayai yaponde...
Habari gani wakuu?
Leo nimeanza rasmi kuwekeza kwenye M-Wekeza ya Vodacom ambayo inaestmet faida ya takribani 13% kwa mwaka na nimepanga kutenga kila 10% ya pesa yyte itakayoingia kwenye Mpesa yangu.
Kiukweli kwa hili tuna kila sababu ya kuwapa kongole Vodacom mana tunaweza kuwekeza kuanzia...
Kujaribu kumfavor mwanamke unayetaka kumtongoza aisee kosa kubwa saaaana.
1. Umekutana na dada amekaa kwenye siti yako ya dirishani usimuache akae hapo hata kama unataka kumtongoza, mwambie nahitaji kukaa kwenye hiyo siti ambayo nimeshaikatia tiketi. Atakuona ni shujaa, hatokuchukulia poa...
Habari wakuu , watumishi tulioajiriwa huwa tunatamani sana kujishughulisha ili mradi kipato kiongezeke lakini kwa ujumla huwa tunaface Changamoto zifuatazo zinazopelekea kushindwa :-
1. Tuna muda mchache wa kusimamia
2. Watu wengi sio waaminifu tunao waweka kwenye shughuli hizo
3. Tunaogopa...
NAMNA YA KUKOKOTOA SIKU YA KUPATA UJAUZITO NA MZUNGUKO WA HEDHI KWA URAHISI | HOW TO CAN YOU KNOW YOUR MENSTRUAL CIRCLE AND A DAY TO CONCEIVE?
Inaletwa kwenu na Kelvin Nyagawa
Kupitia somo hili dakika 5 baada ya kumaliza kusoma utakwenda kufahamu jinsi ya kuhesabu mzunguko wa hedhi kwa urahisi...
Jambo?
Kwa ulimwegu wa sasa wenye changamoto nyingi za malezi na uzinzi uliokithiri kupita kiasi usije ukajidanganya kuwa mwanamke unaetaka/uliemuoa anakupenda kwa dhati.
Mwanamke aliewahi kuwa na mahusiano kadhaa nyuma huwa anaolewa kwasababu ya vitu na sio upendo wa kweli.
Sasaivi sio jambo...
Kupigia kura mtandaoni imekuwa njia yenye urahisi mkubwa katika michakato ya kupiga kura kipindi cha uchaguzi, baadhi ya nchi haswa za ulaya, nchi za Baltic kama vile Estonia, zimetumia njia hii tangu mwaka 2005.
Hii njia inapunguza kupoteza muda ikilinganishwa na mfumo wa kura za jadi...
Kwa sababu Chanika kuna " uhai" .
Huhitaji kuwa expert wa kusoma alama za anga na alama za ardhi kun'gamua kwamba chanika kuna " uhai" . Kama sauti yako ya ndani ( inner voice) ipo active and effective, siku ukifika Chanika uta detect " uhai" juu ya ardhi ya chanika.
Siku hizi wafanya biashara...
Mimi naamini kati ya mtihani mkubwa ambao mungu amewapa wanawake ni kusubiri atongozwe,maana yake ili kumpata unayemtaka inabidi utongozwe Sana vinginevyo inabidi ukubaliane na yoyte hata kama Hana vigezo unavyo taka.
Hata ivyo katika miaka ya ivi karibuni wanaume wamepunguza kutongoza kwa...
Mkopoa!
Mahitaji mayai,karoti,hoho,chumvi,kitunguu maji, mkate Na mafuta ya kupikia (mimi nimetumia hoho na kitunguu kidogo sana)viungo inategemea na mapenz Yako
Jinsi ya kupika
vunja mayai Yako katika bakuli weka viungo kias utachopenda pia kulingana na mayai Yako Changanya mayai na viungo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.