urafiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tatizo la Ndoa SI kukosekana Kwa Upendo Bali kukosekana Urafiki baina ya wanandoa.

    Baada ya Salam. Hebu Leo tuangalie nafasi ya Urafiki katika ndoa maana wengi hujikuta tunaoa au kuolewa Kwa sababu tofauti. -Kuna wanaolewa/kuoa sababu ya Mali au umaarufu -Kuolewa-kuoa baada ya mistake ya mimba -Kuolewa-kuoa sababu ya umri kuwa mkubwa au umri wa kuolewa kufika -Kuolewa-kuoa...
  2. JamiiForums Tanzania Urafiki, mipaka na mahaba

    Hii ni stori ya ukweli iliyo tokea nchini Tanzania, jijini Arusha mnamo mwaka 2021, mwezi wa septemba ( 9 ) tarehe Kama ya leo 09. usiku wa saa 7, mwanadada mrembo aliye amua kujiua mwenyewe, kuilazimisha roho itoke pasipo idhini ya Mola Mlezi. Watoto , ndugu , Jamaa na marafiki mpaka...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kuinuka kwa uhusiano kati ya China Benin kwaonesha dhana ya ukweli, uhalisi, urafiki na udhati ya China kwa Afrika

    Rais wa China Xi Jinping hivi karibuni alifanya mazungumzo na Rais wa Benin Patrice Talon, ambaye alikuwa ziarani nchini China, na kutangaza kuanzishwa kwa ushirikiano wa wenzi wa kimkakati kati ya nchi hizo mbili. Kuinuka kwa uhusiano kati ya nchi hizo mbili kutasukuma mbele zaidi ushirikiano...
  4. JamiiForums Tanzania Hayupo awaye yeyote anaweza kuuvunja urafiki wa damu ladha mixer ya Hanson choice na Mo energy

    Wasalaam JF, Nikiwa nakula vibe la amapiano kali nitoe ujumbe na rai ya kutambua urafiki wa damu kati ya Mo energy na Hanson choice. Ni ujio pekee wa Yesu ndio unaweza kuamua vinginevyo. Nawasilisha kwa mengineyo Shukrani 🙏 🙏🙏 Wadiz sina ufungamano na kuuzwa kwa Bandari zetu
  5. JamiiForums Tanzania Urafiki na madereva wa masafa marefu ukiwatumia hela 75% hesabu umetoa sadaka

    Hawa jamaa wanakuwaga na shida mbalimbali katika safari zao wakipatwa na shida. Unakuta mzee msaada hapa gari imepata tatizo nisaidie kunitumia hela mimi bosi wa gari akinitumia nitakutumia na shida ninunue spea kufnge chapu niendelee na safari. Baada ya kutuma mzee asante sana nimepata...
  6. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Urafiki wa kawaida kati ya muislam na muislam una mashiko ya kweli kuliko urafiki wa mkristo na mkristo mwenzie

    Wasalaam JF, Tafadhari niwape hio changamoto kila mmoja ajaribu kufuatilia urafiki baina ya vijana waislam, wadada waislam, wamama waislam, wababa waislam, na makundi hayo upande wa wakristo tena tujiangalie wenyewe. Na hii haina nia mbaya bali naileta kama chagizo na changamoto Kwa pande zote...
  7. JamiiForums Tanzania Sio T.R.A tu, mamlaka za kodi dunia nzima zinaogopeka na hazina "urafiki" na walipa Kodi, moja kati ya hizo ni "TRA" ya Marekani, inaogopwa mno!

    Mamlaka za kodi ni "polisi wa mapato" inachukua halali ya serikali, na kawaida, ni jbo gumu kwenda kuchukua kwa mtu fedha yake, lazima alalamike. Watanzania hatujiulizi kwa nini makusanyo Sasa ni trilioni mbili? Wakati mwanzo ilikuwa trilioni moja na bilioni 200? Nani hawa walikuwa wanakwepa...
  8. JamiiForums Tanzania SoC03 Urafiki wa Tumbili na Mamba

    Mwandishi: Saadala muaza Lilikuwa ni ziwa lenye uzuri wa ajabu.Uzuri ambao ulipambwa kwa miti mirefu iliyojaa rangi ya kijani. Pembezoni mwa ziwa hili kulikaliwa na nyasi zilizosambaza mbawa zake na kulipa sura ya peponi ziwa hili. Katika moja wapo ya miti mizuuri iliyopatikana katika ziwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mchungaji Kimaro amelewa urafiki wake na matajiri

    Wasalaam JF, Hekima na busara ni speed governor ya kuzuia kuropoka na kufoka, dhana ya matajiri na maskini ndani ya kanisa si yenye afya, kanisa ni pahala jumuishi, uchakataji wa jumbe za injili unahitaji maandalizi , busara, hekima na ukomavu katika madhabahu. Yawezekana KKKT imemfanya Mch...
  10. JamiiForums Tanzania Upendo, Muda na urafiki

    FAHAMU MAMBO MATATU(3) KWENYE MAISHA HAPA DUNIANI. [ ] MUDA. [ ] URAFIKI. [ ] UPENDO. • habari za wakati huu... Kijana unatumia vipi muda wako katika (nyakati hizi) Muda ni mali aya muda unakuwaje mali sasa maana muda wote tuko bize mitandaoni vipi tunatumia mitandao kufanya mambo SAHIHI au...
  11. JamiiForums Tanzania Mfumo wa uongozi ambao unategemea uwezo, ujuzi na uzoefu wa mtu, badala ya uhusiano wa kichama, kifamilia au urafiki

    Ni muhimu sana kwa Serikali kuwa na mfumo wa uongozi ambao unategemea uwezo, ujuzi na uzoefu wa mtu, badala ya uhusiano wa kichama, kifamilia au urafiki. Kuweka ndugu au marafiki kwenye nafasi za uongozi bila kuzingatia uwezo wao ni hatari kwa maendeleo ya nchi yetu. Kwa hiyo, ni muhimu kuwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Mwajame Dossa Aziz Anaemeza Urafiki Ndugu Baina ya Baba Yake na Julius Nyerere

  13. JamiiForums Tanzania Humu JamiiForums hakuna wife material, kijana usidanganyike

    Inawezekana Nina pasaka chache na eid chache humu JF lakini kwa uchunguzi wangu mke bora hayupo JF, wanawake wengi wapo JF kwa ajili ya stress zao za mahusiano au ndoa. Embu niambie Kuna member gani waliwahi kukutana JF mpaka wakaoana, na kuwa na familia kabisa, mtakaonijibu mje na ushaidi...
  14. JamiiForums Tanzania Uzi kwa Mdada anaetambua umuhimu wa Mahusiano ya Urafiki

    Mimi ni kijana wa miaka 30 ... natafuta rafiki wa kike mwenye kujua umuhimu wa urafiki lakini lengo langu kubwa ni kuwa na mpnz wa kudumu nae milele .. katika safari yangu ya maisha sikuwah kupata muda wa kuwa karibu sana na wasichana kwa sababu fulani , lakini kwa sasa niko available kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Urafiki wa CHADEMA na Rais Samia; Je, anajua vita hii kwa Wahafidhina ndani ya CCM?

    Salaam, Hilo ni swali kwa wana CCM na chawa wa Rais Samia. Je, mmejipanga au mnawahadaa CHADEMA, Wahafidhina ndani ya CCM hawashindwi wanakuacha ujimwambafy kwa muda tu. Tunawacheki tu na hayo maigizo yenu ya kulambishana asali.
  16. K

    JamiiForums Tanzania Urafiki wa Joseph Mbilinyi (Sugu) na Rais Samia unampa shida Dkt. Tulia

    Sugu na Mama ni marafiki bila kujali siasa. Hakuna kitu wala mtu yeyote anaweza kubadilisha hilo maana ndiyo ubinadamu kuna wakati watu wanakuwa marafiki bila kujali siasa. Uhusiano wa Dkt. Tulia na Rais ni wa kisiasa tu na ni vigumu kuona hata Mama akicheka akiwa na Tulia. Hii inamuogopesha...
  17. JamiiForums Tanzania Urafiki wa Mkapa na Magufuli ulianzia Kagera ukafia Lushoto

    1995 Benjamin William Mkapa anachukua fomu ya kugombea Urais, gazeti moja kwa kebehi likaandika "Mkapa naye achukua fomu." Hili neno "Naye" kwa sisi wana fasihi tuliona ni dongo, maana kipindi hicho habari ya mjini ilikuwa Boyz II Men, Lowassa na Jakaya Kikwete, wakiwa vijana kabisa hakuna...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Nimeanza mwaka kwa kupiga simu ya ma X!

    Habari, Kuna namba za ma x nimepotezana nao kitambo. Nikaamua mwaka huu namba ambazo hazina umuhimu ni kbra kupunguza storage. Nikaanza kuzipiga, yaani kumbe bado hawajanifuta; zaidi wameniambia tutafutane. Naogopa maana ni muda mno umepita sana na sasa kudanga ndo habari ya mjini. Vipi wewe...
  19. JamiiForums Tanzania Marafiki na ndugu yangu wananirudisha nyuma

    Habari, Katika maisha huwezi kukwepa kuwa na rafiki, lakini mimi hilo nimelikataa maishani mwangu kabisa; ila nina watu ambao tuna fahamiana sana. Lakini watu hawa wamekuwa kichomi kwangu, pindi napokuwa mimi nashida hakuna anaenisaidia na kuhisi mimi sina shida natania. Sasa siku mmoja...
  20. JamiiForums Tanzania Urafiki kati ya mwanaume na mwanamke yaani kaka na dada unawezekana?

    Kwa kuheshimu muda wako, ngoja niandike kwa ufupi sana. Je, urafiki kati ya mwanaume na mwanamke tena mke wa mtu, unaojionyesha kwa code ya "Kaka" na "Dada" huwa upo kweli au kuna kitu kinafunikwa hapo? Ndugu yangu, sina sababu ya kuelezea kilichofanya niulize swali hili hapa, lakini bila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…